Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,270
- 6,344
Kwa hiyo Lissu ndo dereva?Mkuu lile shambulio lina utata
Hujiulizi Kwanini dereva hakuumia?
Kwa hiyo Lissu ndo dereva?Mkuu lile shambulio lina utata
Hujiulizi Kwanini dereva hakuumia?
Kwasababu hataki kujua na kaaminishwa vyenginekama wewe unafahamu hilo kwa nini TL asifahamu?
Mambokale anatroti huko alipo...Mwambie IGP akamuonye kwanza yule RPC wa Arusha maana mpaka Mh Rais kashindwa kuvumilia.
Huu upumbavu kuna siku utasababisha umwagaji wa damu,Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Duuh!Eti mtu aliyepigwa risasi 16 anaambiwa na na polisi kuwa wanamtafuta wamkabe !
Ni dhahiri Sirro anamtisha Lissu ili asije nchini hawamtaki Lissu kwenye hii ardhi kwa sababu amewazidi nguvu.View attachment 1487155
Nikisema wewe shosti nitakuwa nimekosea?
Lissu haogopi kufata sheria bali aliondoshwa nchini kwa kuwaogopa nyie mliotaka kumuua kwa risasi 16 mlizommiminia mwilini mchana kweupe.
Lissu yupo tayari kurudi na anarudi soon na maelezo yataanzia pale mlipochomoa cctv camera nyumbani kwa Dr.Kalemani punde baada ya tukio la Lissu kumiminiwa risasi.
Na mahakama inamsubiri kwa hamu.Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Waulize ndugu zako kama wanakuona upo sawasawa. Maana ulivyoandika ni ile typical ya mtu aliyepatwa na uwendawazimu.Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Lissu ni mhaini, Hapaswi kuachwa huru.
Wenzio wanaenda vyuoni wanaondoka na maarifa. Wewe uliambulia 'oops' tu!!Huo ndio utaratibu kwa sababu kuna watu walitaka kumuua. TL kama mwanasheria analifahamu hilo hata waliomuwekea dhamana kawakimbia. Just imagine inamuwekea dhamana then unapata matatizo, uzuri wameondoa zile dhamana. Hivi vyama vya mfukoni ooops vyama vya Ukoo oops ni SACOS ina shida inamtajirisha Mbowe na familia yake pekee..
SEPA ZAKO KWANI MIMI NAKUTHAMINI MTU KAMA WEWE?Wewe huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Kwa hiyo Lissu ndo dereva?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2484]Yani kufanyia kazi ccm unaweza kuonekana kama mwakilishi wa shetani Duniani
Hebu fikiria eti unatakiwa useme "lissu alijipiga risasi 30 Ili apate ufalme wa kisiasa"
Angalieni mada imeletwa na mtu gani. IGP haiwezekani akawa ametamka hivyo. Kuripoti kitu kama kilivyo kunahitaji akili ya kiwango fulani. Kama huna, unaishia kuleta habari kama alivyoileta huyu bwana.Yani kufanyia kazi ccm unaweza kuonekana kama mwakilishi wa shetani Duniani
Hebu fikiria eti unatakiwa useme "lissu alijipiga risasi 30 Ili apate ufalme wa kisiasa"
UKIWA CCM NI SHIDAHii nchi ina vituko vya kipumbavu sana.
Unashindwa kuwakaba askari waliokuwa zamu pale Area D unasema unamsubiri lisu.
Mwabuduni tu huyo Magufuli ila ipo siku mtafukiwa makaburini