IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

Mbona km unahasira kiongozi
Hivi huko CCM hakuna mwenye akili akaona kuwa hawa vijana mliowaweka mitandaoni kukitetea chama wanafanya utoto na upumbavu mwingi unaoashiria kuwa CCM iko maji ya shingo kiasi hata haijui ifanye nini kipindi hiki?
 
lissu atakuwa sababu ya kuanguka na kupona kwa ccm nasema hivi akipewa kijiti mmekwisha maana yule jamaaa siyo lowasa atakomaa mpaka mwisho wa gemu
Hujuma yoyote itakayofanywa na watawala, itatusababishia mambo mabaya kama nchi.
Viongozi wa nchi hii wanafikiria kutawala tu kushibisha matumbo yao.
Hawafikirii madhara yatakayowapata wananchi.
 
Huo ndio utaratibu kwa sababu kuna watu walitaka kumuua. TL kama mwanasheria analifahamu hilo hata waliomuwekea dhamana kawakimbia. Just imagine inamuwekea dhamana then unapata matatizo, uzuri wameondoa zile dhamana. Hivi vyama vya mfukoni ooops vyama vya Ukoo oops ni SACOS ina shida inamtajirisha Mbowe na familia yake pekee..

Wakati Elbashir anatamba na madaraka hapo Sudan, viongozi wa vyombo vya dola pia alikuwa anawatumia hivyo hivyo kufanya atakalo. Ila leo yuko ndani, wale wote walioshirikiana naye kutekeleza uovu, hakuna hata mmoja anayemtetea. Hata hapa iko siku kila mtu atakabidhi hesabu. Mfano mrahisi wa kiburi cha madaraka ni Membe, wakati yuko madarakani alikuwa anaona tume ya uchaguzi ni huru, leo yuko nje anaouna uhalisia kuwa tume si huru!
 
Sudan na Tanzania vitu viwili tofauti.
 
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake

Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Mbowe ndio Aliemficha dereva sio lisu
Huo ndio utaratibu kwa sababu kuna watu walitaka kumuua. TL kama mwanasheria analifahamu hilo hata waliomuwekea dhamana kawakimbia. Just imagine inamuwekea dhamana then unapata matatizo, uzuri wameondoa zile dhamana. Hivi vyama vya mfukoni ooops vyama vya Ukoo oops ni SACOS ina shida inamtajirisha Mbowe na familia yake pekee..
Mbowe ni mafia
Lissu arudi aje atoe ushahidi isije kuwa kuna kitu wanakificha
Mkishindwa hoja mnaanza vioja.
Tupo na udanganyifu wa lissu leo
Tindu lissu aliingia kichwa kichwa kwenye siasa anajuta sasa
Mkuu lile shambulio lina utata
Hujiulizi Kwanini dereva hakuumia?
Upumbavu mtupu! MATAGA akili ziko makalioni?
 
Kuna watu wanawashwa sana.
Mnaojua kukuna njooni huku muwakune haswa.
Sisi wengine ni haramu kwetu.
 
Kwanini dereva wake wanaficha
Hii nchi ina vituko vya kipumbavu sana.
Unashindwa kuwakaba askari waliokuwa zamu pale Area D unasema unamsubiri lisu.
Mwabuduni tu huyo Magufuli ila ipo siku mtafukiwa makaburini
 
Back
Top Bottom