IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

Mkuu lile shambulio lina utata hujiulizi kwanini dereva wake hakushambuliwa?

Na kwanini dereva wamemficha?
Na kwanini dereva alimpeleka lissu kushambuliwa?
Yani kufanyia kazi ccm unaweza kuonekana kama mwakilishi wa shetani Duniani

Hebu fikiria eti unatakiwa useme "lissu alijipiga risasi 30 Ili apate ufalme wa kisiasa"
 
Eti mtu aliyepigwa risasi 16 anaambiwa na na polisi kuwa wanamtafuta wamkabe !
Ni dhahiri Sirro anamtisha Lissu ili asije nchini hawamtaki Lissu kwenye hii ardhi kwa sababu amewazidi nguvu.View attachment 1487155
TL ni mwanasheria nguli kwa nini aogope kufuata sheria? TL asijifanyie huruma ya Watanzania kuendeleza agenda zake binafsi? Hii ni nchi na lazima iwepo na iendelee kama yupo au la?
 
lissu atakuwa sababu ya kuanguka na kupona kwa ccm nasema hivi akipewa kijiti mmekwisha maana yule jamaaa siyo lowasa atakomaa mpaka mwisho wa gemu
Huo ndio utaratibu kwa sababu kuna watu walitaka kumuua. TL kama mwanasheria analifahamu hilo hata waliomuwekea dhamana kawakimbia. Just imagine inamuwekea dhamana then unapata matatizo, uzuri wameondoa zile dhamana. Hivi vyama vya mfukoni ooops vyama vya Ukoo oops ni SACOS ina shida inamtajirisha Mbowe na familia yake pekee..
 
Mastermind wa game lote
FB_IMG_15918718110569346.jpg
 
Mbowe pia akitoka hospital sense polisi akaseme kilitokea nini
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
 
Yashangaza halafu Ni watu wazima wenye akili timamu wanamshuku victim eti kajipiga risasi[emoji44][emoji44]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nchi ya ajabu hii[emoji37]

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli karne ya ishirini ccm mnatengeneza scenario ya eti kajipiga mwenyewe? kweli mungu kawapofusha msiweze kuona
 
Lissu siku anadeka km mtoto
TL ni mwanasheria nguli kwa nini aogope kufuata sheria? TL asijifanyie huruma ya Watanzania kuendeleza agenda zake binafsi? Hii ni nchi na lazima iwepo na iendelee kama yupo au la?
 
TL ni mwanasheria nguli kwa nini aogope kufuata sheria? TL asijifanyie huruma ya Watanzania kuendeleza agenda zake binafsi? Hii ni nchi na lazima iwepo na iendelee kama yupo au la?
Lissu haogopi kufata sheria bali aliondoshwa nchini kwa kuwaogopa nyie mliotaka kumuua kwa risasi 16 mlizommiminia mwilini mchana kweupe.

Lissu yupo tayari kurudi na anarudi soon na maelezo yataanzia pale mlipochomoa cctv camera nyumbani kwa Dr.Kalemani punde baada ya tukio la Lissu kumiminiwa risasi.
 
Back
Top Bottom