NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,278
- 24,079
Lissu aje fasta ajibu tuhuma,na jela itamuhusu.
Sudan na Tanzania vitu viwili tofauti.
Kwasababu nyie wauaji mlielekeza risasi zote kwa Tundu Lissu na mkashindwa kumuua kwa risasi 16 mlizommiminia mwilini.Swali Kwanini dereva wake hakuumia?
Lissu aje fasta ajibu tuhuma,na jela itamuhusu.
Swali Kwanini dereva wake hakuumia?
Kwasababu nyie wauaji mlielekeza risasi zote kwa Tundu Lissu na mkashindwa kumuua kwa risasi 16 mlizommiminia mwilini.
Hadithi za paka na panya hizo au alinacha. Sudan - Military rule: Tanzania tuna rais anayechaguliwa kikatiba. Wacha majungu khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeTofauti yake ni ya kijiografia tu, sio zaidi ya hapo. Au unadhani Sudan walifika hapo kwa bahati mbaya? Walianza hivi hivi.
Kwani aliyewatuma, aliwaagiza pia mumuue na dereva?
Haya nayo pia ni maajabu ya TzKwa hiyo alieshambuliwa anageuka kua mhalifu? [emoji1552][emoji1740]
Siyo mhalifu, anahitajika kusaidia Polisi ili polisi nayo iweze kumsaidia na kubaini waliomuumiza kwa lengo la kumuua watambuliwe na wafikishwe kwenye vyombo vya sheria. Hilo tu.Kwa hiyo alieshambuliwa anageuka kua mhalifu? 🙆🏿🤷🏿
Huna ushahidi ni majungu tu. Twambie basi na Chacha Wangwe ni Serikali? Wacheni upuuzi wenu, mmekalia Sacos kudhulumu hata wabunge wenu leo mje kulalamikia Serikali? Njia za mwongo ni fupi mmeshikwa pabaya. Vipi DJ konyagi ilimtoa knockout!
N.mpumbavu pekee anaeweza kibaliana naww,tumia akili yako ktk siasa wala uctumie siasa ktk akili yko we nguchiro
Hawezi dhalilisha taifa kwa mwamvuli wa uwana siasa,aje akakae jela na Mdude Nyangali a.k.a wakuwekewa mtego wa mbunye.Kwenye nchi za kidictator, hizo ndio mbinu za wanasiasa wachovu.
Hadithi za paka na panya hizo au alinacha. Sudan - Military rule: Tanzania tuna rais anayechaguliwa kikatiba. Wacha majungu khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kwa ninavyo elewa upelelezi hata ukae miaka mingap utakamilika tu ili mradi kupata watu sahihi na vielelezo sahihKama hata upelelezi wa kushambuliwa kwa Mbowe hakna taarifa itakuwa ya Lissu miaka mtatu nyuma?
Mkuu wale sio wauaji walikuwa wahuni tu,
Kwann wasianze na wale walinzi waliokuwa zamu getini waliowafungulia geti magaidiAmesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Mlikuwa wapi kuunda hiyo tume mnayoililia?Hakuna uchaguzi huru chini ya tume isiyo huru ya uchaguzi. Uhuni, ukatili na uhayawani wa wazi kwenye chaguzi zetu, chini ya awamu hii ya tano kila mtu anazifahamu. Au unadhani huyo Elbashir alikaa miaka 30 madarakani bila kuendesha uchaguzi wowote? Alikuwa anaendesha chaguzi, ila alikuwa anatumia tume kama hii hii ya hapa kwetu, na vyombo vya dola kubaki madarakani kama wafanyavyo ccm hapa nchini.
Nenda kafilweHuna ushahidi ni majungu tu. Twambie basi na Chacha Wangwe ni Serikali? Wacheni upuuzi wenu, mmekalia Sacos kudhulumu hata wabunge wenu leo mje kulalamikia Serikali? Njia za mwongo ni fupi mmeshikwa pabaya. Vipi DJ konyagi ilimtoa knockout!
Wanarudi October si mbali,Kwa ninavyo elewa upelelezi hata ukae miaka mingap utakamilika tu ili mradi kupata watu sahihi na vielelezo sahih
Hata waje wakinan toka nje Kama hawajapa ta vielelezo sahihi na wahusika Sasa hiii Ni ngumu
Ndio maaana lisu na dereva wangekubali kuhojiwa Kuna abc zingepatikana juu ya tukio lakin kukaaa kimyA kwako kuna baadhi ya mambo katika upelelez hupungua na saa zingne usitimie kabisa lisu na dereva wake ndio key witness katika tukio lile
Ila wengne wanalifanya mtaji kisiasa