IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

Inavyoonekana lissu anakwepa kuhojiwa
Hivi haiwezekani Lissu akahojiwa akiwa ubalozini huko Ubelgiji?

Ama haiwezekani akahojiwa kwa njia ya video?

Polisi watumalizie hii kadhia,waseme tu njia gani itumike siyo mambo ya kumsubiria eti hadi arudi.
 
Chunga maneno yako ndugu!
Hii inji ina ukondoo mwingi. Tungekuwa ni watu wa visasi, nadhani viongozi wa ccm wasingekuwa wanadhurura hovyo. Wangeshukula chuma za kutosha tu.

Mungu aendelee kulijalia taifa hili watu wenye moyo wa nyama.
 
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake

Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Tafsiri yake ni moja tu.

"UOGA"

Swali linakuja ,, kwanini uwe mwoga ilhali unauhakika kuwa unapendwa na kukubalika na watz wote?


Jibu: Unajua umechokwa hivyo unalazimishia kwa kutumia mikwala kama hiyo kwenye post.

Ushauri: Kama ni hela umeshakula sana hata kama utashindwa huwezi kufa masikini.
Hivyo kubali challange , weka uwanja uliosawa ili ushinde kihalali.


Wapiga dili wa zamani kweli wengi wametoka kwenye mtandao lakini sasa wapo wapya na kwasababu ni waoga hivyo basi wakikuta pa kupiga wanapiga hasa.
 
Lisu akijua mbowe ni mastermind wa tukio lake sijui itakuwaje
Na ndiye aliyezing'oa na kuzificha kamera za CCTV eneo lile na zile za nyumba ya kalemani! Uwe unaandika Jambo unalolijua kwa kina lisilo na mashaka. Mjinga na nusu!
 
Magufuli aache vurugu, aruhusu Membe achukue fomu ili kuleta demokrasia ndani ya chama na kunogesha kukubalika kwake.
 
Mbowe naona alishakutia akakutelekeza hivyo huwa humsahau hapo kwa baba yenu a
Tatizo Mimi sio nyumbu wake,maanake anasifa ya kuzaa na kuwanyanyasa nyumbu wake na Kwavile wewe Ni mmoja wa nyumbu itakuwa amekupitia hili Sina shaka nalo [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Hii inji ina ukondoo mwingi. Tungekuwa ni watu wa visasi, nadhani viongozi wa ccm wasingekuwa wanadhurura hovyo. Wangeshukula chuma za kutosha tu.

Mungu aendelee kulijalia taifa hili watu wenye moyo wa nyama.
Hii kazi anaiweza mwamba peke yake
 
Na ndiye aliyezing'oa na kuzificha kamera za CCTV eneo lile na zile za nyumba ya kalemani! Uwe unaandika Jambo unalolijua kwa kina lisilo na mashaka. Mjinga na nusu!
Hakuna kinachoshindikana Kama kaweza kumficha dereva atashindwa kung'oa hizo CCTV
 
Angalieni mada imeletwa na mtu gani. IGP haiwezekani akawa ametamka hivyo. Kuripoti kitu kama kilivyo kunahitaji akili ya kiwango fulani. Kama huna, unaishia kuleta habari kama alivyoileta huyu bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani MODS wamelala?
Acha dharau,ndiyo maana mods wapo,wameverify ndiyomaan wakaiacha hii taarifa iendelee kuwepo.
 
Back
Top Bottom