Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Hawezi dhalilisha taifa kwa mwamvuli wa uwana siasa,aje akakae jela na Mdude Nyangali a.k.a wakuwekewa mtego wa mbunye.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya serikali na taifa, jitahidi kujua tofauti ya hivi vitu viwili. Tuhuma za Lisu ni juu ya serikali. Ila wanaotuhumiwa wanajificha kwenye mgongo wa taifa.