The Hague inawahusu wanaokutumaLissu aje fasta ajibu tuhuma,na jela itamuhusu.
Chini ya CCM lolote linawezekana, ujue CCM ilishawadharau watanzania kwa kiwango cha kutisha sana na hicho ndicho kipimo mojawapo.Maajabu ya Tz na dunia ndio haya "ina maana TL angelikufa upelelelezi usingelifanyika kwa kuwa ni mfu?
Nini hasa maana ya kitengo cha upelelezi ndani ya nchi yetu?
Nyumbu huwa ni CCM hata mbugani nyumbu huwa ni wengi kama walivyo CCMNyumbu Wana akili kuzidi wewe taahira kabisa
Kwahiyo hiyo haikutoshi mpaka utake taarifa nyingine?Msukuma na lijuakali walivaa mask wakamshambulia mbowe na kutokomea majumbani mwao anzia hapo na kuendelea
Kwahiyo unakili CCM ni wengi? Sasa wakishinda uchaguzi usituletee porojo kuwa mmeibiwa kura maana wengi ndiyo hushinda.Nyumbu huwa ni CCM hata mbugani nyumbu huwa ni wengi kama walivyo CCM
The Hague ingewahusu akina M7 na PK lakini badala yake hao akina PK ndo vipenzi vya mabeberu.The Hague inawahusu wanaokutuma
Hauoni hata aibu?Lissu arudi aje atoe ushahidi isije kuwa kuna kitu wanakificha
Hapo kwenye maoni hilo si oni ni swali.Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Wewe unajua kuliko Polisi?Lisu akijua mbowe ni mastermind wa tukio lake sijui itakuwaje
Siyo kila anayetaka kuuawa na Serikali hufa wengi hunusurika sehemu nyingi Duniani hata kagame amewahi kujaribu kumuua mkuu wake wa majeshi wa zamani akanusurika Mlinzi wake akafa, mungu akiona unaonewa huwezi kufa hata wakituma ndege za kivita zipige nyumba yako wanakosea target tu, hizo fikra za kumsingizia mbowe ni fikra za mtu mbumbumbu kilaza juwa wa mwisho ni kilaza pekee anaweza kukaa kuamini huo ujinga.Ndio ujiulize Kama kweli serikali ilitaka kumuuwa wasingemkosa mwenye lile tukio na wangemuuwa popote alipo hata angekimbilia sayari ya Mars, serikali ina mkono mrefu ikikutaka haikukosi,sio mbowe amejaribu kumpoteza lisu kijinga mpaka kanusurika
umechemka ulipojipendekeza hupendwi na hutakiwi kwa unafki wako, tulia hukohukoCCM tunamwogopa sana Lissu hadi mimi naona aibu!
Sawa wewe pambana kwa ajili ya Lissu lakini muda mchache Lissu ataunga mkono juhudi na ubalozi utamuhusu.sijui mtajificha wapi kwa aibu.Mda mchafu ni ule wa kuwabambikia kesi huko jela hata wewe ipo siku utakuwa huko nani alijua Rais wa Sudan mda huu angekuwa jela? Walikuwepo akina Iddy Amin Dada, Abacha, chiluba, mabutu, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein na wenzao wapo wapi sasa?
Tangu lini mtu akapona risasi 16?hao walengaji vilaza kabisaEti mtu aliyepigwa risasi 16 anaambiwa na polisi kuwa wanamtafuta wamkabe !
Ni dhahiri Sirro anamtisha Lissu ili asije nchini hawamtaki Lissu kwenye hii ardhi kwa sababu amewazidi nguvu.View attachment 1487155
Basi unajiona IGP? Kumbe fyamba tu.Tangu lini mtu akapona risasi 16?hao walengaji vilaza kabisa
Tangu risasi Kumi na sita zimpige Lisu tu na zimkose Dereva wake ikiwa uelekeo wa risasi n mmoja walipo wote wawili??
Hapo tunakamata Lisu tunakamata na Dereva wake watoe maelezo hili n tukio tatanishi
Malawi kuna wapinzani makini ila hapa Tanzania kuna wapinzani njaa tu.Ujinga ujinga huu huu kama wa CCM huko malawi sasa wanaenda kuingia gharama za kurudia uchaguzi
Hofu madalali wa siasa CCM wanasubiria Dereva wampe pesa kisha amsariti Tundu lisu wamfundishe propaganda uzushi wa kijinga wote, chadema walishajua hilo mapema ndiyo maana wanadai cctv camera na walinzi wa getini kwanza wao ndiyo walishuhudia pia na cctv zitaleta picha zote ikiwemo namba za magari, CCM mjue kila njama zenu zote huvuja kupitia kwa cyprian Musiba na le mutuz.Mnahofia nini nyie, atakamatwa na kuhojiwa kuhusu kupigwa kwake risasi sasa hofu ya nini?
Achana na hilo kumbuka pia ana kesi zake zipo mahakamani kwa hiyo akija acha akawajibike
Basi unajiona IGP? Kumbe fyamba tu.
Halafu "Ngapulila kikwetu ni kojoleo la ng'ombe jike".
Atakamatwa atachukuliwa maelezo yake hatutaki drama kwenye mambo ya msingi.Hii nchi bila kusimamia sheria itatushinda
Mbona CCM inawabambikia kesi?Malawi kuna wapinzani makini ila hapa Tanzania kuna wapinzani njaa tu.