IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

Lissu hata akigombea udiwani hapati, aje ajibu tuhuma zinazo mkabili kisha arudi kwa waume zake kugo ngwa
Tuhuma zipi? Tuhuma za kumbambikia kesi? Huko alipo alipenda kwenda huko? au roho yako mbaya ya kumpiga risasi ndiyo imemfanya awepo huko?
 
Tatizo la CCM wamewadharau watanzania kwa kiwango cha kutisha sana wamesahau kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho wanajua mabaya yao yatadumu milele hawajifunzi Sudan, Iraq, Zambia, Congo, Nigeria, uganda, libya, Zimbabwe
 
Mhe.IGP tukio la Lissu kupigwa Risasi katika sehemu mbali mbali za mwili wake kila Mtanzania Mwenye afya njema ya akili lilimshitua.Mbona kauli yako juu ya Lissu inaleta ukakasi?

Jitahidi kutumia nafasi uliyopewa kutenda haki,Mungu aliyetuumba hakutufanya kuwa wachochezi wa uvunjifu wa AMANI.Hivi vyeo tulivikuta na tutaviaacha.

Kumbuka maneno haya "AMANI YANGU NAWAPA AMANI NAWAACHIENI" Hakuna Amani bila haki.
 
Mhe.IGP tukio la Lissu kupigwa Risasi katika sehemu mbali mbali za mwili wake kila Mtanzania Mwenye afya njema ya akili lilimshitua. Mbona kauli yako juu ya Lissu inaleta ukakasi?

Jitahidi kutumia nafasi uliyopewa kutenda haki, Mungu aliyetuumba hakutufanya kuwa wachochezi wa uvunjifu wa AMANI.Hivi vyeo tulivikuta na tutaviaacha.

Kumbuka maneno haya "AMANI YANGU NAWAPA AMANI NAWAACHIENI" Hakuna Amani bila haki.
 
L
Ini utawashitaki? Au unajisemea kimoyo moyo?
Tinaeashitaki kila siku kwa hakimu asiyepokea hongo, hakimu wa mahakimu wote. Bado tu anaendelea kusikiliza ushahidi wetu. Hana harka.ya hukumu. Akitowa hukumu yake inakuwa.haina doa. Mahakama waliyokwenda Warundi!
 
Tangu lini mtu akapona risasi 16?hao walengaji vilaza kabisa

Tangu risasi Kumi na sita zimpige Lisu tu na zimkose Dereva wake ikiwa uelekeo wa risasi n mmoja walipo wote wawili??
Hapo tunakamata Lisu tunakamata na Dereva wake watoe maelezo hili n tukio tatanishi
Huu ugoro kajadili na house girl wenu hapo nyumbani ndiyo atakuelewa.
 
Humu ndani kuna watu wana chuki, daaah!!!, had nawaza hivi huyu TL kawafanyia ubaya gan hawa watu???...
 
Kaa utulie uone kama kuna kesi.Zito kila kukicha anapeleka umbea kwa mabalozi wakati ndani ya mabalozi kuna mabalozi wa serikali.
Zito anasema ukweli lakini CCM ya sasa msema ukweli huwa Adui na asipokuwa makini anabambikiwa kesi au kipigwa risasi
 
Zito anasema ukweli lakini CCM ya sasa msema ukweli huwa Adui na asipokuwa makini anabambikiwa kesi au kipigwa risasi
Zito sio mkweli ndo.maana hata Chadema walimfukuza.anachofanya ni kuwaonyesha mabeberu kuwa serikali ni mbaya wakati sio kweli.
 
Zito sio mkweli ndo.maana hata Chadema walimfukuza.anachofanya ni kuwaonyesha mabeberu kuwa serikali ni mbaya wakati sio kweli.
CCM acheni kuwaita wanaume wenzenu mabeberu kwani nyinyi ni mbuzi jike?
 
TL ni mwanasheria nguli kwa nini aogope kufuata sheria? TL asijifanyie huruma ya Watanzania kuendeleza agenda zake binafsi? Hii ni nchi na lazima iwepo na iendelee kama yupo au la?
Ina maana Lissu angekufa uchunguzi usingefanyika? Mpaka sasa Sirro ameshahoji watu wangapi kuhusu tukio hili la kihalifu? Ni kichekesho kuwa mhanga wa tukio ndo anakuwa mshukiwa nr 1! Hii inawezekana Tanzania tu!
 
Dunia bwana etii dereva amefichwa Yani kabisa unataka kuamini serekali iki mtaka dereva kumuhoji inashindwa kisa amefichwa wakati mwingine tuwe serious na nchi yetu tuachee kuonge vitu vya wazi kwa uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom