IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

Maendeleo yapi? Pesa zake binafsi toka mfukoni? Pesa za walipa kodi lazima ilete maendeleo siyo ombi, maendeleo ni haki ya watanzania siyo Hisani ya CCM. Nchi ina zaidi ya miaka 50 haina maendeleo leo hii mnakuja na tuviendeleo kiduchu wenye ufisadi mwingi kampuni zenu zenye 10% kila kona mnataka watu waone ni maendeleo? Kwanza vitu vingi ni mwendelezo wa kikwete alivyokuwa kaviacha njiani.
Kikwete ni chama gani vile
 
Mkuu kuna mengi nyuma ya pazia tusiyoyajua acha tunyamaze tu
Nyuma ya pazia wenzako wanapiga pesa huko CCM wewe endelea kukariri ujinga toka kwa Le mutuz, kila kitu ni fursa huko CCM, wenzako wametajirika kwa 10% mbalimbali zinazomimika juu ya kurejesha mfumo wa chama kimoja.
 
Basi wale ni wahuni tu sio Wataalamu wa kupiga risasi
Tunaomba dereva ahojiwe tupate ukweli
Mbona hauhoji kuhusu cctv wataka mumpate dereva mmalize ushahid..maana kwa akil ya kawaida kama camera zimefichwa je dereva akipatikana nae si watampoteza mzee
 
Wale inavyoonekana hawakupanga kumuua wakipanga kumjeruhi tu
Tena wale ni wahuni wa mtaani tu wanaojua kufyatua risasi
Sawa mlegeza pua.Kukiri MUNGU kamponya LISU kwenye lengo lenu la kumuuwa mtampa sifa sana. MIUWAJI UTAIJUA TU. MUNGU KAWAUMBUA SANA. ATUKUZWE MUNGU ALIYEMPONYA LISU NA MASHETANI.
 
Kuhusu camera kufichwa sifahamu Mkuu
Mbona hauhoji kuhusu cctv wataka mumpate dereva mmalize ushahid..maana kwa akil ya kawaida kama camera zimefichwa je dereva akipatikana nae si watampoteza mzee
 
Hakuna Nchi duniani yenye chuo kikuu kila wilaya acha bangi
Wewe ndiyo unavuta Bangi kwani lazima kuiga Nchi zingine kwenye maendeleo? Tanzania ni Nchi tajiri ina rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani.
 
Lisu akijua mbowe ni mastermind wa tukio lake sijui itakuwaje
Basi Mbowe kaiweka serikali mfukoni kwake yaani afanye tukio kubwa kama lile alafu asikamatwe...na ndugu wa Lissu wasimshitaki?ndani ya majengo ya viongozi yanayolindwa na Suma JKT..punguzeni vioja mnaonekana wa ovyo..
 
Kuhusu camera kufichwa sifahamu Mkuu
cctv camera na walinzi wa getini unawajua vizuri wewe ndiyo ulipanga na kuratibu shambulio lote juu ya Tundu lisu ndiyo maana unajaribu kupotosha ukizani watanzania ni wajinga hawatakujua
 
Basi Mbowe kaiweka serikali mfukoni kwake yaani afanye tukio kubwa kama lile alafu asikamatwe...na ndugu wa Lissu wasimshitaki?ndani ya majengo ya viongozi yanayolindwa na Suma JKT..punguzeni vioja mnaonekana wa ovyo..
Tatizo la watetezi wa CCM mitandaoni wengi wapo gheto kwa cyprian Musiba na le mutuz wakikaririshwa ujinga wao ndiyo maana wakija mitandaoni utetezi wao unafanana na Akili zile zile ndogo za le mutuz.
 
Chuo kikuu kila wilaya? Wewe ni bure kabisa hayo majengo labda yawe ya kufugia panya
Wewe ndiyo unavuta Bangi kwani lazima kuiga Nchi zingine kwenye maendeleo? Tanzania ni Nchi tajiri ina rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani.
 
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake

Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Mharifu sana huyu kijana Lisu. Serikali imkamate kupitia interpol wamlete mzobemzombe mpaka gereza la keko
 
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake

Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Aya ndiyo mambo sasa sio polisi inakua busy na mafisadi,watoa rushwa za baiskeli na piki piki alafu inamuacha Lissu.
Hitler alitumia mbinu hizi kuwamaliza wote wale walio pinga harakati zake za kujenga uchumi na Demokrasia huko Ujerumani. IGP afanye kazi hii kwa weledi maana hamna umuhimu wa watu wenye hoja tofauti nasi.
 
Mkuu lile shambulio lina utata hujiulizi kwanini dereva wake hakushambuliwa?

Na kwanini dereva wamemficha?
Na kwanini dereva alimpeleka lissu kushambuliwa?
Hilo swali la kifala kwani kila shambulio wote hujeruhiwa? Wapo wanaonusurika, hata ajali wapo wanaokufa na kunusurika acha mifano ya kijuha, Dereva hajafichwa wanasubiria mlete cctv camera na walinzi wa getini kwanza
 
hakuna muda mchafu wa kubembeleza wahuni ni jela tu.
Mda mchafu ni ule wa kuwabambikia kesi huko jela hata wewe ipo siku utakuwa huko nani alijua Rais wa Sudan mda huu angekuwa jela? Walikuwepo akina Iddy Amin Dada, Abacha, chiluba, mabutu, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein na wenzao wapo wapi sasa?
 
Ujinga ujinga huu huu kama wa CCM huko malawi sasa wanaenda kuingia gharama za kurudia uchaguzi
 
Back
Top Bottom