Sio muhalifu anatakiwa kutoa taarifa zitakazosaidia kumpata mhalifu.Kwa hiyo alieshambuliwa anageuka kua mhalifu? [emoji1552][emoji1740]
Sio muhalifu anatakiwa kutoa taarifa zitakazosaidia kumpata mhalifu.Kwa hiyo alieshambuliwa anageuka kua mhalifu? [emoji1552][emoji1740]
Kama hivi ndivyo basi CCM wote wangekua ndaniAmesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Kwanini na wewe usianzishe chama/saccos yako ufaidike ili usiwe unaumia pale unapoona mbowe anafaidika?Huo ndio utaratibu kwa sababu kuna watu walitaka kumuua. TL kama mwanasheria analifahamu hilo hata waliomuwekea dhamana kawakimbia. Just imagine inamuwekea dhamana then unapata matatizo, uzuri wameondoa zile dhamana. Hivi vyama vya mfukoni ooops vyama vya Ukoo oops ni SACOS ina shida inamtajirisha Mbowe na familia yake pekee..
Mjanja na laghaiMbowe ni mjanja sana
Unajaribu kutuaminisha nini?.. HEBU JIULIZE HAYAAmesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Mbowe peke yake anatumia zaidi ya 50% ya bajeti ya ccm kuua upinzani.Usifananishe hao takataka na raisi wetu raisi wetu kachaguliwa kwa kura hajaingia kwa mtutu wa bunduki, mpako hapo umeonesha wewe Ni kilaza na hata siasa hujui umefuata mkumbo tu, na kwa tanzania mpaka Sasa hakuna chama mbadala wa CCM (bado hakijaanzishwa)na hakuna mgombea wa uraisi wa kushindana na wa CCM (bado hajazaliwa) hao wote MBOWE lisu zito na wengine wote hakuna atakae wahi kuitwa raisi mpaka watazeeka wataitwa wapinzani tu
Tatizo hata dereva amefichwaMaajabu ya Tz na dunia ndio haya "ina maana TL angelikufa upelelelezi usingelifanyika kwa kuwa ni mfu?
Nini hasa maana ya kitengo cha upelelezi ndani ya nchi yetu?
Aya ndiyo mambo sasa sio polisi inakua busy na mafisadi,watoa rushwa za baiskeli na piki piki alafu inamuacha Lissu.
Hitler alitumia mbinu hizi kuwamaliza wote wale walio pinga harakati zake za kujenga uchumi na Demokrasia huko Ujerumani. IGP afanye kazi hii kwa weledi maana hamna umuhimu wa watu wenye hoja tofauti nasi.
Hilo swali la kifala kwani kila shambulio wote hujeruhiwa? Wapo wanaonusurika, hata ajali wapo wanaokufa na kunusurika acha mifano ya kijuha, Dereva hajafichwa wanasubiria mlete cctv camera na walinzi wa getini kwanza
Maajabu ya Tz na dunia ndio haya "ina maana TL angelikufa upelelelezi usingelifanyika kwa kuwa ni mfu?
Nini hasa maana ya kitengo cha upelelezi ndani ya nchi yetu?
Hoja isiyo na mashikoMbowe peke yake anatumia zaidi ya 50% ya bajeti ya ccm kuua upinzani.
Serikali oga kisengeeeee!Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Lisu akijua mbowe ni mastermind wa tukio lake sijui itakuwaje
Sio mchezoWalipanga wote yaani Lissu na Mbowe na wengine pia kwa nia ya kuonyesha kuwa ameshambuliwa lakini asiumie sana. Bahati mbaya kwa Lissu wenzake walibadilisha gear angani wakataka kuchukua roho yake. Hapo yakatokea yaliyotokea.
Tangu lini mtu akapona risasi 16?hao walengaji vilaza kabisa
Tangu risasi Kumi na sita zimpige Lisu tu na zimkose Dereva wake ikiwa uelekeo wa risasi n mmoja walipo wote wawili??
Hapo tunakamata Lisu tunakamata na Dereva wake watoe maelezo hili n tukio tatanishi
Walipanga wote yaani Lissu na Mbowe na wengine pia kwa nia ya kuonyesha kuwa ameshambuliwa lakini asiumie sana. Bahati mbaya kwa Lissu wenzake walibadilisha gear angani wakataka kuchukua roho yake. Hapo yakatokea yaliyotokea.
Serikali oga kisengeeeee!
Kama hivi ndivyo basi CCM wote wangekua ndani
Rudia kusoma tena taratibu, utakachoelewa basi ndio hichi nilimaanishaUnamaanisha Ccm wamekosa?
Hili jambo linahitaji umakini mkubwa ukienda kwa pupa utaishia kuilamu serkali kuna mambo mengi yamejificha nyuma ya paziaUnajaribu kutuaminisha nini?.. HEBU JIULIZE HAYA
1;. Kutokuwepo kwa Lissu kuliwazuia polisi kupeleleza nani aling'oa CCTV camera?.
2;.Kutokuwepo kwa Lissu kunawazuia Polisi kupeleleza nani aliwaondoa Walinzi waliotakiwa kuwepo eneo hilo kama kawaida?..
KWA HIYO LISSU ; Polisi UNATAKA tuamini kua Lissu anamjua alien mshambulia ,,ila Hataki kumweka hadharani kwa Nini?.. UNAWEZA mficha Adui anae tishia uhai wako kwa mamlaka zinazokulinda?... (duh inawezekana kama mamlaka hizo ndo Adui mwenyewe)...
NAJUA SIRRO ANAFANYA HIVI KUWALIDHISHA WALIO MTEUA