IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake

Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
wewe Mbona umewaficha walinzi wa getini na zile cctv camera? Acha ujinga hao walinzi umewahoji lini? Dereva wa Lisu angekufa mngesingizia nini?
 
Jaribu tu kiongozi kurusha jiwe ndio utajua Tanzania ikoje
Hawa jamaa wanasaidia ccm Ila ikumbuke INA mwisho wake Ila tutapambana nao na uchaguzi tutatembea na mawe mfukoni wakizingua tu unampiga moja LA kichwa kisha unauchuna mbona watajirekebisha bila hivi watatuonea sana
 
Hawa wanamkwara nyuma ya keyboard
Tulia dogo mengine yanamalizwa kisiasa

Usivyo na akili unasema ishu ya Lissu kwanini Mbowe hajakamatwa

Halafu unasahau unasema Lissu akikamatwa patachimbika

Hebu fungua akili kidogo mpuuzi wewe
 
Jaribu tu kiongozi kurusha jiwe ndio utajua Tanzania ikoje
Tanzania ipi? Kuwabambikia kesi wapinzani ndiyo Tanzania? au Tanzania yako binafsi? Watanzania hawapo na wewe hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anapenda uonevu wenu.
 
Lisu akijua mbowe ni mastermind wa tukio lake sijui itakuwaje
Huo ujinga haiwezi kutokea kwa Tundu lisu uzuri anajua kuwa siku zote CCM hutengeneza huo uchonganishi na propaganda za kishamba kama hizo
 
Inawezekana ni mchezo ndani ya chama
Huo ujinga haiwezi kutokea kwa Tundu lisu uzuri anajua kuwa siku zote CCM hutengeneza huo uchonganishi na propaganda za kishamba kama hizo
 
Mropkaji aogopwe kwa lipi?
Pesa inayotumika kuwabambikia kesi kuwahujumu chadema ni pesa ambazo mngekuwa mmewekeza kwenye maendeleo mngepata uungwaji mkono toka kwa wananchi pasipo kutumia mbinu za kishamba kuwadhoofisha chadema.
 
Maendeleo aliyotuletea Magufuli haujawahi kutokea hata ulaya
Tanzania imebadilika
Pesa inayotumika kuwabambikia kesi kuwahujumu chadema ni pesa ambazo mngekuwa mmewekeza kwenye maendeleo mngepata uungwaji mkono toka kwa wananchi pasipo kutumia mbinu za kishamba kuwadhoofisha chadema.
 
Kuna watu wanashanganza sana, yaani post zao au comment zao nikama wanajitoa ufahamu wa mambo vile
 
Back
Top Bottom