Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
- Thread starter
-
- #21
Yani kufanyia kazi ccm unaweza kuonekana kama mwakilishi wa shetani Duniani
Hebu fikiria eti unatakiwa useme "lissu alijipiga risasi 30 Ili apate ufalme wa kisiasa"
TL ni mwanasheria nguli kwa nini aogope kufuata sheria? TL asijifanyie huruma ya Watanzania kuendeleza agenda zake binafsi? Hii ni nchi na lazima iwepo na iendelee kama yupo au la?Eti mtu aliyepigwa risasi 16 anaambiwa na na polisi kuwa wanamtafuta wamkabe !
Ni dhahiri Sirro anamtisha Lissu ili asije nchini hawamtaki Lissu kwenye hii ardhi kwa sababu amewazidi nguvu.View attachment 1487155
Yashangaza halafu Ni watu wazima wenye akili timamu wanamshuku victim eti kajipiga risasi[emoji44][emoji44]Kwa hiyo alieshambuliwa anageuka kua mhalifu? [emoji1552][emoji1740]
Eti mtu aliyepigwa risasi 16 anaambiwa na na polisi kuwa wanamtafuta wamkabe !
Ni dhahiri Sirro anamtisha Lissu ili asije nchini hawamtaki Lissu kwenye hii ardhi kwa sababu amewazidi nguvu.View attachment 1487155
Huo ndio utaratibu kwa sababu kuna watu walitaka kumuua. TL kama mwanasheria analifahamu hilo hata waliomuwekea dhamana kawakimbia. Just imagine inamuwekea dhamana then unapata matatizo, uzuri wameondoa zile dhamana. Hivi vyama vya mfukoni ooops vyama vya Ukoo oops ni SACOS ina shida inamtajirisha Mbowe na familia yake pekee..
Kama hata upelelezi wa kushambuliwa kwa Mbowe hakna taarifa itakuwa ya Lissu miaka mtatu nyuma?
kama wewe unafahamu hilo kwa nini TL asifahamu?Lisu akijua mbowe ni mastermind wa tukio lake sijui itakuwaje
Ww na Ukoo wako hapo sawaCCM tunamwogopa sana Lissu hadi mimi naona aibu!
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
kweli karne ya ishirini ccm mnatengeneza scenario ya eti kajipiga mwenyewe? kweli mungu kawapofusha msiweze kuonaYashangaza halafu Ni watu wazima wenye akili timamu wanamshuku victim eti kajipiga risasi[emoji44][emoji44]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nchi ya ajabu hii[emoji37]
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM tunamwogopa sana Lissu hadi mimi naona aibu!
TL ni mwanasheria nguli kwa nini aogope kufuata sheria? TL asijifanyie huruma ya Watanzania kuendeleza agenda zake binafsi? Hii ni nchi na lazima iwepo na iendelee kama yupo au la?
Mastermind wa game lote View attachment 1487160
Ww na Ukoo wako hapo sawa
Nikisema wewe shosti nitakuwa nimekosea?Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
kweli karne ya ishirini ccm mnatengeneza scenario ya eti kajipiga mwenyewe? kweli mungu kawapofusha msiweze kuona
Mbowe pia akitoka hospital sense polisi akaseme kilitokea nini
Lissu haogopi kufata sheria bali aliondoshwa nchini kwa kuwaogopa nyie mliotaka kumuua kwa risasi 16 mlizommiminia mwilini mchana kweupe.TL ni mwanasheria nguli kwa nini aogope kufuata sheria? TL asijifanyie huruma ya Watanzania kuendeleza agenda zake binafsi? Hii ni nchi na lazima iwepo na iendelee kama yupo au la?