IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Huu upumbavu kuna siku utasababisha umwagaji wa damu,
 
Swali Kwanini dereva wake hakuumia?
 
Hii nchi ina vituko vya kipumbavu sana.
Unashindwa kuwakaba askari waliokuwa zamu pale Area D unasema unamsubiri lisu.
Mwabuduni tu huyo Magufuli ila ipo siku mtafukiwa makaburini
 
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Na mahakama inamsubiri kwa hamu.
 
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Waulize ndugu zako kama wanakuona upo sawasawa. Maana ulivyoandika ni ile typical ya mtu aliyepatwa na uwendawazimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzio wanaenda vyuoni wanaondoka na maarifa. Wewe uliambulia 'oops' tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kufanyia kazi ccm unaweza kuonekana kama mwakilishi wa shetani Duniani

Hebu fikiria eti unatakiwa useme "lissu alijipiga risasi 30 Ili apate ufalme wa kisiasa"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2484]
 
Yani kufanyia kazi ccm unaweza kuonekana kama mwakilishi wa shetani Duniani

Hebu fikiria eti unatakiwa useme "lissu alijipiga risasi 30 Ili apate ufalme wa kisiasa"
Angalieni mada imeletwa na mtu gani. IGP haiwezekani akawa ametamka hivyo. Kuripoti kitu kama kilivyo kunahitaji akili ya kiwango fulani. Kama huna, unaishia kuleta habari kama alivyoileta huyu bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…