Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Kama hata IGP ni msemaji wa serikali kwenye mambo ya afya sasa tunaponaje?
Hii awamu ya Jiwe ni UTAWALA WA KAMBARE....Kila mmoja ana sharubu. Kila Kiongozi ni mjuaji! Pambaf....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hata IGP ni msemaji wa serikali kwenye mambo ya afya sasa tunaponaje?
Protocol imezingatiwa kweli hapo?
AU ndo ukoo wa kambare baba ndevu mtoto ndevu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mpaka? Watu waanze kufa 40 Kwa siku kama Italy ndo wataamka?
Suala sio kufunga Tu mipaka
Suala ni ni kutowapima wanaoingia Hadi wanaenda wenyewe hospitali
Hata viongozi wa Iran walikuwa wakiwaza hivyo, sasa imegonga hadi kwa maayotola
Lakini ngoma ikishanoga nyie ndo wazee, kinga zenu ziko chini kuliko sisi damu moto, Corona inapenda kweli watu wa umri wenu
Tanzania ni nchi ya pekee duniani,ambayo mtu anaweza kuingia moja kwa moja akitokea mbinguni.
TwafaaaaUmaskini ni mbaya sana hii yote ni kuzuga kupata pesa za watalii (ambao ki uhalisia wanakimbia korona huko kwao). Siku ikishika vizuri ndio mtajua mtu aliye sema kinga ni bora kuliko tiba alikua ana maanisha nini.
Sent using Jamii Forums mobile app