IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

Wanao husika na mipaka si wajeda? Wanamtafutia Jiwe sababu ya kuwafuta kazi
 
MVB Jr,
Talking point...!!!
Victims wa CORONA-V wanatakiwa kutengwa completely! Total separation from Public Access...Ndo maana Wachina walijenga Hospital kwa siku 10 inayojitengemea Ili kukwepa kuchanganya Wagonjwa wa Corona na wagonjwa wengine!!

Mgonjwa wa Arusha kapelekwa Mt. Meru Hospital baadaye kahamishiwa Mawenzi na huko kote Kuna Wagonjwa wa magonjwa mengine.,....!!!!Akili ya matope.
 
Wanakatisha tamaa ya maisha.

Ulaya wanafunga mipaka. Sisi tuko vizuri zaidi hatutaki kufunga mipaka? We must be kidding!

Wanaogopa nini kwenda lock down.

Jana Italy wamekuja wagonjwa 465 wa Corona.

Jamani eeh hawa jamaa vipi?
 
Protocol imezingatiwa kweli hapo?
AU ndo ukoo wa kambare baba ndevu mtoto ndevu

Sent using Jamii Forums mobile app

Jirani zetu Uganda mpaka sasa hawana victim hata 1 wa Corona. Dikteta M-7 mwenyewe katoa maagizo ya kufunga mipaka, shule,vyuo, miskti, makanisa na hakuna ndege kutoka wala kuingia...Lakini TANZANIA kina Polepole, Mwalimu, Majaliwa na Ziro ndo wanaotoa maelekezo ya Covic-19!
Hii nji kila kitu ni siasa za CCM....hata kwene serious issues Kama hii....! Hakika ni Upuuzi mtupu.
 
😂😂😂😂😂😂😂....hizi sarakasi mimi hata siziwezi kabisa....tukiwabaina etiii......na wakati kuna vijana wanajitangaza wana maambukizi...na waliingia bila kubainika....
 
Wanapika joto la mwili, wakikuta lipo normal unaenda nyumbani, nimeingia last week from US, honestly bado sijiamini, nimekaa site mpak after 24 days ndio nitakwenda nyumbani maana naona Kama maruweruwe
Kwahiyo mpaka? Watu waanze kufa 40 Kwa siku kama Italy ndo wataamka?
Suala sio kufunga Tu mipaka
Suala ni ni kutowapima wanaoingia Hadi wanaenda wenyewe hospitali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni nchi ya pekee duniani,ambayo mtu anaweza kuingia moja kwa moja akitokea mbinguni.
 
Back
Top Bottom