IGP Sirro: Hatuna barua ya kumkamata Askofu Gwajima, utaratibu ufuatwe

Sirro ndiyo IGP wa hovyo kuwahi kutokea kwenye hii Nchi.Nimeanza kuelewa kwanini Mambosasa alikuwa anamdharau sana hadi Sirro akaleta Mipasho kuwa Mambosasa ni mshamba.
 
Sasa imejulikana ni akina nani wapo nyuma ya askofu gwajima na kwa jeuri hii ya afande sirro huenda hata Rais Samia akawa yupo mifukoni mwa watu
Ambalo pengine mama hajalifahamu ni kwamba anazungukwa na watu wenye nia ovu juu yake, muda utaongea.
 
Hata akikamatwa ni sawa na bure tu. mwili utakuwa gerezani mawazo yalisha zagaaa mtaani kazi ni kwa vibaraka wa siasa uchwala
 
Anaye weza kusimami mwelekeo mzuri wa nchi hii kwa sasa ni mmoja tu CDF Mabeyo kama alivyo simamia mama kupewa nchi toka mikononi kwa Mahafadhina wa CCM waliotaka kumpora.

Hivyo asimamie tupate KATIBA tuishi kwa haki na Amani hii ya kukamatana hovyo iondoke. Mabeyo Mungu alikuandaa kukomboa nchi hii wewe ni Mcha Mungu wa kweli FSimamia hili Unauwezo nalo kama ulivyo wazima Mahafadhina wa CCM wakina Luku na kundi lake
 
Mwana CCM akitaka kukamatwa lazima barua ya maandishi itokee...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Utawala uliofikinika na unaofitinishwa na wasimamia sheria wa taifa hili.
 
Kwa hivyo tuhuma mama kula mlungula kurusu chanjo ni jambo la kupuuza?
Ni kweri alikula,mm natamani mda wake wa kulidhi upite twende kwenye uchaguzi,halafu aje lissu tuone kama atahimili supana za lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…