IGP Sirro: Hatuna barua ya kumkamata Askofu Gwajima, utaratibu ufuatwe

Kwa ujumla huyo ziro hajitambui, hajielewi, amejawa na unafiki. Hakuna anachosimamia, ziidi ya unafiki
 
Ungeweka vifungu vya katiba vinavyo fafanua majukumu ya wote hao ungeeleweka ili usionekane umeandika kutokana na mazoea
 
Ni wazi inahitajika Semina elekezi kwa mawaziri wapya. Huyu Dr Gwajima angefikiria zaidi haikuwa na haja ya kuongea maneni yote yale bali angeandika barua kwa Polisi ili wamchunguze na kudhibiti tuhuma zinazotolewa na askofu Gwajima.

Kuna vielelezo vya wazi vya mkanganyiko kwani kuna watu wanakamatwa bila ya maandishi lakini gwajima kaibuka king mwenyewe kajibu mpaka maaandishi. Tuna safari ndefu na yenye tabu nyingi kwenye haki jinai tanzania
 
Uko sawa Pascal Mayalla . Lakini hayo huwa yanafuatwa wakati wa kuwakamata wapinzani ?! .
 
IGP Siro sasa ijulikane wzi kuwa katika utawala huu yuko msimamo gani.
Anahitaji barua toka kwa waziri kumkamata mtu liyetoa matamko tofauti na ya Mama Samia, mtu anayeisumbu Awamu ya Sita juu ya chanjo ya Corona.

IGP hakuhitaji barua kukamata watu wanaokwenda kuwaombea makanisani wapendwa wao wa kisiasa!
Serious double standards.
RC Chalamila alitoa tu kauli ya wananchi waandie mabango hata ya matusi akija mama Mwanza , na alitumbuliwa asap!
At least tunajua sasa kuwa kundi linalompinga mama linavyojiinua.
 
Nileteeni Gwajimaaaa

Zero akikumbuka hiyo sauti anaufyata.. Achana kabisa na nguvu za mwendakuzimu
 
Hajiamini hata kidogo huyu jamaa anahofu kubwa sana, Waziri kaongea mtandaoni na yeye kawahi kuongea kabla wenzio wenye udhubutu hawajaenda kumkamata
 
Atumbuliwe na nani? Tuanzie hapa kwanza.
 
Huwa najiuliza kama Siro ndio jina lake original au kuna wakati lilikuwa Ziro
 
Chanjo ni maamuzi ya mtu.

Acheni kila mtu aongee.. Wakati serikali inahimiza kuchanjwa wacheni wawepo na wa kupinga. Hadi pale kila mtu atakapo elewa na kuamua kuchanja.
 
Hata kama pangekuwa na upungufu kwenye agizo la Waziri wa Afya..Kitendo cha polisi kugwaya na kutolea hadharani msimamo wa kuonekana anamuunga gwaji boy na si mjumbe au mkuu wa nchi .. Ameonyesha hapaswi kuendelea kuwa kwenye nafasi hiyo... Siro omba upumzike huwezi kufika 2025 mbali mno, siasa zitakumaliza kabla ya wakati.
 

Kukamata mtu bila sababu ya mashiko ni kinyume na utawala bora wa sheria. Lazima awe na mwongozo kwanini anamkamata. Imezoeleka siku hizi mawaziri kuamuru watu wawekwe ndani bila sababu yoyote.
Ni kinyume cha sheria. Kuwekwa ndani lazima kuwe na makosa yanayoeleweka na sio fantansy za mtu
 
Kwahiyo hii nchi Waziri si chochote si lolote siku hizi, au tulikuwa tunawapa umuhimu wasiokuwa nao. Tuliona RC Mtaka alisema watu wa Dodoma wasimsikilize Waziri. Leo tunaona IGP akipuuzia wito wa Waziri na kukimbilia mtandaoni kusema Gwajima asikamatwe.
Nani aliyemkubwa nchi hii? Je Rais mwenyewe ana nguvu hizo tunazozisoma kwenye Katiba?? Au ndio mpaka apate watu kama kina Sabaya wakutuma usiku?
 
Duuh nilikuwa sijui, kwahiyo kumbe Mkuu wa majeshi ya Tanzania ni mdogo kimajukumu kwa mkuu wa wilaya?

Sasa nimeelewa😂.
 
hili jitu sijui vipi, mama ssh mchinjie baharini hili jamaa
 
P
Tumekuona tukiona Mawaziri Wanatoa amri Watu wakamatwe, For Reference Wakati Ummy Mwalimu akiwa Huko Ukerewe alitoa amri wakamatwe na wawekwe ndani M/ndaji wa Kijiji+M/kiti pia, Je Wanatumia Hizi Amri Vibaya?
 
Kwa wapinzani haulizagi wala kufata hixo formality
Hili jamaa nchi zenye skili lingekuwa jela kitambo.
Kwa vile manchi yenyewe ni shithole tuvumilie hadi natural checks zifanye yake tuchinje mbuzi tusherehekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…