IGP Sirro, huyo ni mtoto wa nani?

Wewe ndio umeongea chanzo hasa cha Kamanda kuchanganyikiwa

Damu za watu ziko juu yake.
 
Ohhoo even yule mtangulizi ana kijana sampuli hiyo hiyo even the top top lady wana kijana sampuli hiyo hiyo.

Mwambieni afute hiyo kauli aende kwa gwajima akarudishwe kwenye line
Alafu wanachoshidwa kuelewa mimi mwenyewe natamani nikipata mtoto wa kiume awe dizaini ya hamza sio mtoto wa kiume unakuwa laini unaonewa kifala....!!! Yani hao wazazi wa hamza wamezaa mtoto kweri kweri.... Siro lazima imuume sana lakini mimi bado naamini uyu chalii lazima kuna kitu waliopishana akawachapa!!!! Na issue yakutumia silaha ni jambo Dogo sana ukiwa unamiliki pistol... Kuna mafunzo unapata ya namna gani utajilinda na iyo silaha uliyonunua so iyo kujua kutumia silaha ni jambo la kawaida issue ni kwann aliamua kuwapiga risasi? R.I.P HAMZA & vijana wa Siro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya Zombe ilikuwaje?
 
Chanika...Butiama?
Hiyo si mali ya Sirro?
 
Ana stress kiasi,kesi Mahakama kuu,kifo Cha Hamza,uu staafu wake
Mambo ni mengi jamani........,
mlioko nje ya system ham oni ila walio ndani wanatamani kikombe kiwapite mbali lakini wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…