IGP Sirro, huyo ni mtoto wa nani?

IGP Sirro, huyo ni mtoto wa nani?

Huwa wanakuwa na akili za punda hao.Mwingine aliita watoto wa watu vilaza.Mara hataki wanafunzi waliopata watoto waendelee na masomo.Tafrani tupu.Saa hizi anapiga soga na mashetani wenzie tu huko kuzimu.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Mara binti akadisco university . Sijui yeye hakuwa kilaza ?!
 
Kwanini mnaeneza chuki?

Itawasaidia nini?!
kuna watu pia wanataka kupitishia ajenda zao kwenye hili jambo maana kuna wanaoutaka u IGP wameanza kampeni lazima watumie mistake yeyete ambayo Siro atafanya kumu attack awe mwangalifu kwa kauli na matendo yake amalizie muda wake vizuri
 
Hakuna mwanadamu apangaye nani azaliwe duniani isipokuwa Mola pekee.

Suala la mtu kuwa wa namna fulani ni choice zake mwenyewe kutokana na jinsi anavyoyachukulia maisha na matukio yake.

Huwezi kuwasononesha ndugu na wazazi wa Hamza kwa jambo lile.Wao inawahusu nini?

Yeye polisi badala ya kufanya uchunguzi kwa weledi wake akatuletea sababu yenye mashiko kulikuwa na nini kati ya vijana wale wa kitanzania hadi wakapigana risasi,anaanza kuleta shombo za ajabu ajabu.

Sina kawaida ya kuwasema viongozi lakini huyu mzee ameniboa sana.Wamtoe pale,hafai kuongoza jeshi letu tena.

Hivi mzee Sirro na wale wanaozaa taahira nao unataka tuwalaumu wazazi wao kwa kuzaa vilema wasiochangia chochote kwenye nguvu kazi ya taifa?

tutafika kweli tukiwa na falsafa za aina hii?unaelewa upana wa kauli yako mzee wangu?!inasikitisha sana!
 
IGP Sirro jana umetoa kauli nzito na ngumu mno kutolewa na kiongozi wa aina yako na mtu mwenye umri mkubwa kama wewe na mtu anayeheshimika kwa cheo chake kama wewe.

Angalia sana ulimi wako jinsi unenavyo, muombe sana Mungu akupe hekima ili kabla ya kutamka neno lolote hekima ikutangulie.

Jana ulitamka maneno haya nami nakunukuu.
" Watanzania kuweni makini msije mkazaa mtoto wa hovyo hovyo kama Hamza aliyetuletea majanga Watanzania, wazazi wa Hamza mnajisikiaje kuzaa mtoto kama huyo? Na nyie ndugu zake mnajisikiaje kuwa na ndugu kama Hamza?".
Mwisho wa kunukuu.

IGP Sirro, hakuna mzazi anayepanga azae mtoto wa aina gani, Binadamu tunazaa mwili hatuzai Roho.
Kuna kijana anasumbua sana mitaani, anajitapa kwamba hakuna wa kumfanya lolote kwa sababu Baba yake ana cheo kikubwa mno serikarini, kijana huyo huvuta unga na kwenda hadi kwenye Hotel ya Baba yake iliyoko Chanika ambako hufanya vituko vya ajabu,ukiwemo kupiga watu.

Je?! unajua huyo mtoto ni wa nani? Tafadhali sana, wazazi wa Hamza hawakujua kama wanazaa mtoto wa aina gani, hata wazazi wako wewe Sirro hawakujua kama ipo siku utakuja kuwa IGP.

JITOKEZE UIOMBE MSAMAHA FAMILIA YA HAMZA ILI ULINDE HESHIMA YAKO.
Mtoa uzi, shikamoo....!!!!. Inawezekana nakuzidi umri,lkn nimekupa salamu hii km ishara ya kuheshimu busara zako zilizoonekana ktk uzi huu, Kweli pale hatuna IGP, nashangaa Kwanini amekuwa na mihemko kiasi kile, nadhani angejikita kujua Kwanini mtu ambaye Chama tawala kilimwani hata kuwa mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Ilala,Dola yenyewe ilimwamini ndio maana alimiliki silaha kisheria,Haya hata ktk kuua,aliua Askari tu,na si raia, Kwanini??.Sirro km mtu mzima ilipaswa atafakari hayo na si kuwalaumu Wazazi wake Hamza na kuwapaka matope.
 
Siro ukimwangalia mwonekano wake kimwili utadhani ni mtu wa kuheshimika sana!

Hapana, kuna wakati hata matamshi yake yalionekana kuwa ya mtu mwenye busara.

Haieleweki ni kitu gani hasa kimembadilisha akili kiasi hiki alivyokuwa sasa?

Unajua, inasemekana damu za binaadam zikimwagwa kwa uonevu tu, hazimwachi mtu anayesababisha zimwagike, ni lazima atadhurika tu kwa njia moja au nyingine.

Siro ni mhanga wa umwagaji wa damu za waTanzania ambao hawakustahili kuuliwa au kuumizwa.

Maisha yake ya uhai wake uliosalia yatakuwa ya matatizo tupu.
Umenena vema Mkuu.Na tiba pekee kwake ni toba na kumrudia MUNGU.
 
Acheni kuwatoa watu kwenye mstari wa kujadili Ugaidi kwa kumnyooshea kidore IGP.

Msomali asingefanya ule Ugaidi IGP asingeyasema hayo na ameyasema kwa uchungu mkubwa kitendo kile cha kuua wale watu kinauma sana!
Kwahiyo unahalalisha hizo kauli za Sirro? kwanini usione kuwa Sirro pia nae kakosea?

Mwambie basi atuambie Mkewe Sirro alizaa vp wanae ili watanzania wajifunze jinsi ya kuzaa vizuri ili wapate watoto wakamilifu kama yeye?
 
IGP Sirro jana umetoa kauli nzito na ngumu mno kutolewa na kiongozi wa aina yako na mtu mwenye umri mkubwa kama wewe na mtu anayeheshimika kwa cheo chake kama wewe.

Angalia sana ulimi wako jinsi unenavyo, muombe sana Mungu akupe hekima ili kabla ya kutamka neno lolote hekima ikutangulie.

Jana ulitamka maneno haya nami nakunukuu.
" Watanzania kuweni makini msije mkazaa mtoto wa hovyo hovyo kama Hamza aliyetuletea majanga Watanzania, wazazi wa Hamza mnajisikiaje kuzaa mtoto kama huyo? Na nyie ndugu zake mnajisikiaje kuwa na ndugu kama Hamza?".
Mwisho wa kunukuu.

IGP Sirro, hakuna mzazi anayepanga azae mtoto wa aina gani, Binadamu tunazaa mwili hatuzai Roho.
Kuna kijana anasumbua sana mitaani, anajitapa kwamba hakuna wa kumfanya lolote kwa sababu Baba yake ana cheo kikubwa mno serikarini, kijana huyo huvuta unga na kwenda hadi kwenye Hotel ya Baba yake iliyoko Chanika ambako hufanya vituko vya ajabu,ukiwemo kupiga watu.

Je?! unajua huyo mtoto ni wa nani? Tafadhali sana, wazazi wa Hamza hawakujua kama wanazaa mtoto wa aina gani, hata wazazi wako wewe Sirro hawakujua kama ipo siku utakuja kuwa IGP.

JITOKEZE UIOMBE MSAMAHA FAMILIA YA HAMZA ILI ULINDE HESHIMA YAKO.
Kuna wqtu wqkizeeka, busara huongezeka, lakini kuna wengine hugeuka na kuwa wendawazimu. Huyu Siro, sielewi kadiri umri wake unavyozidi kwenda, anakuwa kwenye kundi gani!

Tangu asubuhi, baadhi ya makamanda wamenipigia simu kuelezea disappoinyments zao dhidi ya Siro.
 
Tujiulize wajumbe humu wapi mliwahiona mtto was polisi emekuwa daktari,injinia,hakimu,rubani nk. Hawa ni wa2 waliolaanika kwa matendo yao ya dhambi. Bora kuwa na mtto Kama Hamza Mana amejionesha kuwa alikuwa brave enough.
 
IGP Sirro jana umetoa kauli nzito na ngumu mno kutolewa na kiongozi wa aina yako na mtu mwenye umri mkubwa kama wewe na mtu anayeheshimika kwa cheo chake kama wewe.

Angalia sana ulimi wako jinsi unenavyo, muombe sana Mungu akupe hekima ili kabla ya kutamka neno lolote hekima ikutangulie.

Jana ulitamka maneno haya nami nakunukuu.
" Watanzania kuweni makini msije mkazaa mtoto wa hovyo hovyo kama Hamza aliyetuletea majanga Watanzania, wazazi wa Hamza mnajisikiaje kuzaa mtoto kama huyo? Na nyie ndugu zake mnajisikiaje kuwa na ndugu kama Hamza?".
Mwisho wa kunukuu.

IGP Sirro, hakuna mzazi anayepanga azae mtoto wa aina gani, Binadamu tunazaa mwili hatuzai Roho.
Kuna kijana anasumbua sana mitaani, anajitapa kwamba hakuna wa kumfanya lolote kwa sababu Baba yake ana cheo kikubwa mno serikarini, kijana huyo huvuta unga na kwenda hadi kwenye Hotel ya Baba yake iliyoko Chanika ambako hufanya vituko vya ajabu,ukiwemo kupiga watu.

Je?! unajua huyo mtoto ni wa nani? Tafadhali sana, wazazi wa Hamza hawakujua kama wanazaa mtoto wa aina gani, hata wazazi wako wewe Sirro hawakujua kama ipo siku utakuja kuwa IGP.

JITOKEZE UIOMBE MSAMAHA FAMILIA YA HAMZA ILI ULINDE HESHIMA YAKO.
huyo mtoto wa nani ? tuanzie hapo ili mada inoge, huyo wa hoteli ya chanika
 
Pongezi kwa "MTOA KAULI" ' aijipii SILO" kwakuwa una mke mzuri sana, labda mke aliolewa akiwa bikra na labda huyo mke mezaa "malaika" hongera sana, mlipanga kuzaa malaika!

mungu saidia walipenda kuzaaa "malaika" ila wakajikuta wamezaa"watoto wa ajabu kama walivyoitwa na "aijipii"
 
Ila watu tunatofautiana sana aiseee...!

Kwangu mimi huyu Hamza mbona ni kijana shujaa sana? Mimi natamani nipate mtoto kama Hamza ili akionewa aweze kujisimamia na kuitafuta haki yake bila kujipendekeza kwa mtu au kulialia.

Mwenyezi Mungu mjaalie Hamza pumziko jema.Wale wengine waweke popote tu utakapoona panafaa.
 
Back
Top Bottom