kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
IgpMkuu ongeza nyama, nani ana bar Chanika ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IgpMkuu ongeza nyama, nani ana bar Chanika ?
Rubani Mkuu wa Rais ni mtoto wa Polisi aliyewahi kuwa IGP wa Tanzania miaka ya huko nyuma. Naamini kauli za ujumla jumla hazitusaidii.Tujiulize wajumbe humu wapi mliwahiona mtto was polisi emekuwa daktari,injinia,hakimu,rubani nk. Hawa ni wa2 waliolaanika kwa matendo yao ya dhambi. Bora kuwa na mtto Kama Hamza Mana amejionesha kuwa alikuwa brave enough.
Hii iko Tegeta kwa mpemba/AzaniaKapataje hali ni mtumishi mshahara wake unajulikana
Fuatilia background yake usikute jamaa alishahudumu huko Interpol ambapo wanalipwa mishahara minono,usikute kesha hudumu katika misheni mbalimbali za ulinzi wa amani.Tunawadharau tu hawa jamaa ila wanasehemu nyingi zakupatia chambichambi.Iliyoko Pasiansi? Kumbe ni hotel ya Sirro? Basi kuna ufisadi mahali, huwezi kujenga kwa mshahara wa u IGP!
Na kukilimbikizia mali haramuDamu za watu waliopoteza uhai kwenye uongozi wa Sirro hazitamwacha salama. Mwisho wake ni mbaya sana.
Upo sayari ipi jamaa?[emoji1]Tujiulize wajumbe humu wapi mliwahiona mtto was polisi emekuwa daktari,injinia,hakimu,rubani nk. Hawa ni wa2 waliolaanika kwa matendo yao ya dhambi. Bora kuwa na mtto Kama Hamza Mana amejionesha kuwa alikuwa brave enough.
bold kabisa, wachache wamekuelewa.Ila watu tunatofautiana sana aiseee...!
Kwangu mimi huyu Hamza mbona ni kijana shujaa sana? Mimi natamani nipate mtoto kama Hamza ili akionewa aweze kujisimamia na kuitafuta haki yake bila kujipendekeza kwa mtu au kulialia.
Mwenyezi Mungu mjaalie Hamza pumziko jema.Wale wengine waweke popote tu utakapoona panafaa.
Kwahiyo unahalalisha hizo kauli za Sirro? kwanini usione kuwa Sirro pia nae kakosea?
Mwambie basi atuambie Mkewe Sirro alizaa vp wanae ili watanzania wajifunze jinsi ya kuzaa vizuri ili wapate watoto wakamilifu kama yeye?
IGP Sirro jana umetoa kauli nzito na ngumu mno kutolewa na kiongozi wa aina yako na mtu mwenye umri mkubwa kama wewe na mtu anayeheshimika kwa cheo chake kama wewe.
Angalia sana ulimi wako jinsi unenavyo, muombe sana Mungu akupe hekima ili kabla ya kutamka neno lolote hekima ikutangulie.
Jana ulitamka maneno haya nami nakunukuu.
" Watanzania kuweni makini msije mkazaa mtoto wa hovyo hovyo kama Hamza aliyetuletea majanga Watanzania, wazazi wa Hamza mnajisikiaje kuzaa mtoto kama huyo? Na nyie ndugu zake mnajisikiaje kuwa na ndugu kama Hamza?".
Mwisho wa kunukuu.
IGP Sirro, hakuna mzazi anayepanga azae mtoto wa aina gani, Binadamu tunazaa mwili hatuzai Roho.
Kuna kijana anasumbua sana mitaani, anajitapa kwamba hakuna wa kumfanya lolote kwa sababu Baba yake ana cheo kikubwa mno serikarini, kijana huyo huvuta unga na kwenda hadi kwenye Hotel ya Baba yake iliyoko Chanika ambako hufanya vituko vya ajabu,ukiwemo kupiga watu.
Je?! unajua huyo mtoto ni wa nani? Tafadhali sana, wazazi wa Hamza hawakujua kama wanazaa mtoto wa aina gani, hata wazazi wako wewe Sirro hawakujua kama ipo siku utakuja kuwa IGP.
JITOKEZE UIOMBE MSAMAHA FAMILIA YA HAMZA ILI ULINDE HESHIMA YAKO.
Kuna siku nilishangaa sana kuna mdau alikuwa anamsimulia mwenzake anasema kuna rafiki yake askari polisi wa cheo cha konstebu alipata shavu la kwenda mishen nje kuna mishen ambazo kwa mwezi unalipwa mpaka dola 4500 na huko wao hukaa mwaka mzima na mishahara yao iko pale pale.Fuatilia background yake usikute jamaa alishahudumu huko Interpol ambapo wanalipwa mishahara minono,usikute kesha hudumu katika misheni mbalimbali za ulinzi wa amani.Tunawadharau tu hawa jamaa ila wanasehemu nyingi zakupatia chambichambi.
Swali:mishahara ya polisi ipoje?
Hawajiulizi kwanini Mkomavu anamiliki gari kali.Kuna siku nilishangaa sana kuna mdau alikuwa anamsimulia mwenzake anasema kuna rafiki yake askari polisi wa cheo cha konstebu alipata shavu la kwenda mishen nje kuna mishen ambazo kwa mwezi unalipwa mpaka dola 4500 na huko wao hukaa mwaka mzima na mishahara yao iko pale pale.
Nikasema jamaa kumbe wanachance wanaweza kutusua huku mtaani tukisema mafisadi.
Sasa assume mtu kama sirro ndo kaenda mara tatu nne si unaweza sema fisadi
Hebu fikiri nje ya kisanduku, kwamba Je,Ni watu wangapi wameuawa na Polisi bila kuwa na hatia?,Ni watu wangapi wamedhurumiwa haki zao na hao Polisi unaowatetea?,Ni watu wangapi wamembambikiziwa kesi na hao Polisi?. Halafu njoo hapa tena.Hayo maneno si kitu kabisa unapolinganisha na kosa kubwa alofanya Msomali la kuua watu wasio na hatia!
Uhai wa binadamu unathamani kubwa sana isiyo mithiri.
Uhai wa mwanadamu ukishapotea hauwezi kupatikana popote Duniani hata kwa kuuzwa !
Acheni chuki jamani !
Na akapewa na silahaNa bado akawa kiongozi wa CCM na ubabaifu wake.
Kumbe ni msaza kodi zetu, mnufaika wa ccm,thus uilinda ccm kwa jasho na damu.Hii iko Tegeta kwa mpemba/AzaniaView attachment 1914300
Kauli hii ilishtua mpaka mishipa ya damu ilisisimka kwani sikuamini kauli hiyo inaweza kutolewa na mtu anayemuamini Mungu.Ni kauli tata sana ya Bwana mkubwa huyu ya kututaka tuwe makini tusizae watoto wa ovyovyo.IGP Sirro jana umetoa kauli nzito na ngumu mno kutolewa na kiongozi wa aina yako na mtu mwenye umri mkubwa kama wewe na mtu anayeheshimika kwa cheo chake kama wewe.
Angalia sana ulimi wako jinsi unenavyo, muombe sana Mungu akupe hekima ili kabla ya kutamka neno lolote hekima ikutangulie.
Jana ulitamka maneno haya nami nakunukuu.
" Watanzania kuweni makini msije mkazaa mtoto wa hovyo hovyo kama Hamza aliyetuletea majanga Watanzania, wazazi wa Hamza mnajisikiaje kuzaa mtoto kama huyo? Na nyie ndugu zake mnajisikiaje kuwa na ndugu kama Hamza?".
Mwisho wa kunukuu.
IGP Sirro, hakuna mzazi anayepanga azae mtoto wa aina gani, Binadamu tunazaa mwili hatuzai Roho.
Kuna kijana anasumbua sana mitaani, anajitapa kwamba hakuna wa kumfanya lolote kwa sababu Baba yake ana cheo kikubwa mno serikarini, kijana huyo huvuta unga na kwenda hadi kwenye Hotel ya Baba yake iliyoko Chanika ambako hufanya vituko vya ajabu,ukiwemo kupiga watu.
Je?! unajua huyo mtoto ni wa nani? Tafadhali sana, wazazi wa Hamza hawakujua kama wanazaa mtoto wa aina gani, hata wazazi wako wewe Sirro hawakujua kama ipo siku utakuja kuwa IGP.
JITOKEZE UIOMBE MSAMAHA FAMILIA YA HAMZA ILI ULINDE HESHIMA YAKO.
So far nazifahamu logdes zake kama Dar ziko 3, Mwanza, Mara na Arusha hii bado mbichi ni kubwa inatisha, Iko Njiro wanaita maeneo ya Kwa IgpKumbe ni msaza kodi zetu, mnufaika wa ccm,thus uilinda ccm kwa jasho na damu.
Baada ya kustaafu biashara huwa zinakufa maana uendeshaji wake unategemea ofisi.
Hawana ujanja wa kuishi nje ya mshahara hawa.
Malori,mabus,mahoteli,nk hufa yanakufa mshahara ukigota.
Soma comment za wakuu juu tayari ana toto tunduKauli hii ilishtua mpaka mishipa ya damu ilisisimka kwani sikuamini kauli hiyo inaweza kutolewa na mtu anayemuamini Mungu.Ni kauli tata sana ya Bwana mkubwa huyu ya kututaka tuwe makini tusizae watoto wa ovyovyo.
Mkuu Siro,kila mtu anapenda azae mtoto mzuri mwenye faida si kwa wazazi wake tu hata kwa jamii nzima.Kama tulivyosikia kule Chunya jinsi Hamza alivyokuwa na msaada kwa jamii iliyokuwa ikimzunguka.
Tukio lile lililohusisha kupotea nafsi za WATU lilikuwa baya ila tumuombe Mwenyezi Mungu Mungu ajaalie ile kauli ya afande Siro iwe imetoka kwa bahati mbaya na amsamehe.Na vilevile amjaalie mkuu awe na watoto wazuri,wenye nidhamu na kukubalika na mfano mzuri katika jamii.
Tupia pichaSo far nazifahamu logdes zake kama Dar ziko 3, Mwanza, Mara na Arusha hii bado mbichi ni kubwa inatisha, Iko Njiro wanaita maeneo ya Kwa Igp