Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu huyu wa chanika? Ambaye ni mtoto wa inspector general na bado anapulizia watu bangi usoni? Baba yake ndiye alimfundisha hivyo?Kaka yake hamza amesema hamza ni mbabaifu tangu utotoni kitu kilichopekekea baba yake kumpeleka Egypt kusoma dini....... kwa kauli za igp atakua anayajua mengi sana ya malezi ya hamza, sio kwamba ameropoka
Haipingiki kwamba kuwa na raia wema malezi mema lazima yaanzie kwa wazazi. Hakuna mzazi bingwa wa malezi lakini wazazi tupambane kulea tukimtanguliza Mungu huku tukikubali kurekebishwa pale tunapokosea kwenyebmalezi.
Mambo ya hamza ni mengi sana
Mrekodini matukio yake kisha mturushie humu ili na Sisi wa mikoani tuweze kumfahamu.Huyo ni Mtoto wa Sirro anasumbua watu sana mtaani kwa ubabe wake na anavuta bangi hadharani. Muda Mwingi anashinda Chanika kwenye Bar ya Baba yake.
Uongo mkubwa. Lenana ya Mchaga mmoja kutoka huko Kibosho.
Nasikia Kuna mtoto akiwa na genge lake aliwahi kudhulumu wazungu dhahabu ya mabilioni ya fweza akakimbilia airport kwenda mwanza Cha ajabu hakuna data zozote zilizoonekana airport zote mbili alikotoka na alikotua eti data hizo zilifichwa kimagumashi je Toto hilo ni lanani?IGP Sirro jana umetoa kauli nzito na ngumu mno kutolewa na kiongozi wa aina yako na mtu mwenye umri mkubwa kama wewe na mtu anayeheshimika kwa cheo chake kama wewe.
Angalia sana ulimi wako jinsi unenavyo, muombe sana Mungu akupe hekima ili kabla ya kutamka neno lolote hekima ikutangulie.
Jana ulitamka maneno haya nami nakunukuu.
" Watanzania kuweni makini msije mkazaa mtoto wa hovyo hovyo kama Hamza aliyetuletea majanga Watanzania, wazazi wa Hamza mnajisikiaje kuzaa mtoto kama huyo? Na nyie ndugu zake mnajisikiaje kuwa na ndugu kama Hamza?".
Mwisho wa kunukuu.
IGP Sirro, hakuna mzazi anayepanga azae mtoto wa aina gani, Binadamu tunazaa mwili hatuzai Roho.
Kuna kijana anasumbua sana mitaani, anajitapa kwamba hakuna wa kumfanya lolote kwa sababu Baba yake ana cheo kikubwa mno serikarini, kijana huyo huvuta unga na kwenda hadi kwenye Hotel ya Baba yake iliyoko Chanika ambako hufanya vituko vya ajabu,ukiwemo kupiga watu.
Je?! unajua huyo mtoto ni wa nani? Tafadhali sana, wazazi wa Hamza hawakujua kama wanazaa mtoto wa aina gani, hata wazazi wako wewe Sirro hawakujua kama ipo siku utakuja kuwa IGP.
JITOKEZE UIOMBE MSAMAHA FAMILIA YA HAMZA ILI ULINDE HESHIMA YAKO.
Hata mimi jamaa nilikuwa namkubali sana speech zake kipindi kile anawapa mawaidha wakina mambosasa.Siro ukimwangalia mwonekano wake kimwili utadhani ni mtu wa kuheshimika sana!
Hapana, kuna wakati hata matamshi yake yalionekana kuwa ya mtu mwenye busara.
Haieleweki ni kitu gani hasa kimembadilisha akili kiasi hiki alivyokuwa sasa?
Unajua, inasemekana damu za binaadam zikimwagwa kwa uonevu tu, hazimwachi mtu anayesababisha zimwagike, ni lazima atadhurika tu kwa njia moja au nyingine.
Siro ni mhanga wa umwagaji wa damu za waTanzania ambao hawakustahili kuuliwa au kuumizwa.
Maisha yake ya uhai wake uliosalia yatakuwa ya matatizo tupu.
Bado ipo na ameongeza nyingine mpya mtaa wa pili inaitwa Nyakoro Bar & LodgeHivi sirro ile Lodge yake kule tegeta bado ipo?
Na sio hizo tu anazo nyingi sana zikianza kuorodheshwa humu zitafika hata 10Iliyoko Pasiansi? Kumbe ni hotel ya Sirro? Basi kuna ufisadi mahali, huwezi kujenga kwa mshahara wa u IGP! Zirro achunguzwe!
Yaani Huyo kamanda utadhani Hamza na Yeyr hawako chama kimoja. Kila kauli inaonesha anamkana.IGP Sirro jana umetoa kauli nzito na ngumu mno kutolewa na kiongozi wa aina yako na mtu mwenye umri mkubwa kama wewe na mtu anayeheshimika kwa cheo chake kama wewe.
Angalia sana ulimi wako jinsi unenavyo, muombe sana Mungu akupe hekima ili kabla ya kutamka neno lolote hekima ikutangulie.
Jana ulitamka maneno haya nami nakunukuu.
" Watanzania kuweni makini msije mkazaa mtoto wa hovyo hovyo kama Hamza aliyetuletea majanga Watanzania, wazazi wa Hamza mnajisikiaje kuzaa mtoto kama huyo? Na nyie ndugu zake mnajisikiaje kuwa na ndugu kama Hamza?".
Mwisho wa kunukuu.
IGP Sirro, hakuna mzazi anayepanga azae mtoto wa aina gani, Binadamu tunazaa mwili hatuzai Roho.
Kuna kijana anasumbua sana mitaani, anajitapa kwamba hakuna wa kumfanya lolote kwa sababu Baba yake ana cheo kikubwa mno serikarini, kijana huyo huvuta unga na kwenda hadi kwenye Hotel ya Baba yake iliyoko Chanika ambako hufanya vituko vya ajabu,ukiwemo kupiga watu.
Je?! unajua huyo mtoto ni wa nani? Tafadhali sana, wazazi wa Hamza hawakujua kama wanazaa mtoto wa aina gani, hata wazazi wako wewe Sirro hawakujua kama ipo siku utakuja kuwa IGP.
JITOKEZE UIOMBE MSAMAHA FAMILIA YA HAMZA ILI ULINDE HESHIMA YAKO.
Watu wengi hamjuwi kilichopo moyoni mwa IGP ila nataka niwahakikishie ndani yake ameshasoma alama za nyakati na anatamani aruhusiwe kustaafu maana alisha staafu sema wakamkatalia sasa moyo wake anatamani kustaafu na ndio maana anaongea sentence tata atumbuliwe basi. Ila ndio wana kaa kimya. Hata ingekuwa wewe ungetamani kustaafu maana muda wake ktk utumishi wa umma umefika then watafute mwingine. Nadhani hayo ndio siri moyoni mwake.IGP Sirro jana umetoa kauli nzito na ngumu mno kutolewa na kiongozi wa aina yako na mtu mwenye umri mkubwa kama wewe na mtu anayeheshimika kwa cheo chake kama wewe.
Angalia sana ulimi wako jinsi unenavyo, muombe sana Mungu akupe hekima ili kabla ya kutamka neno lolote hekima ikutangulie.
Jana ulitamka maneno haya nami nakunukuu.
" Watanzania kuweni makini msije mkazaa mtoto wa hovyo hovyo kama Hamza aliyetuletea majanga Watanzania, wazazi wa Hamza mnajisikiaje kuzaa mtoto kama huyo? Na nyie ndugu zake mnajisikiaje kuwa na ndugu kama Hamza?".
Mwisho wa kunukuu.
IGP Sirro, hakuna mzazi anayepanga azae mtoto wa aina gani, Binadamu tunazaa mwili hatuzai Roho.
Kuna kijana anasumbua sana mitaani, anajitapa kwamba hakuna wa kumfanya lolote kwa sababu Baba yake ana cheo kikubwa mno serikarini, kijana huyo huvuta unga na kwenda hadi kwenye Hotel ya Baba yake iliyoko Chanika ambako hufanya vituko vya ajabu,ukiwemo kupiga watu.
Je?! unajua huyo mtoto ni wa nani? Tafadhali sana, wazazi wa Hamza hawakujua kama wanazaa mtoto wa aina gani, hata wazazi wako wewe Sirro hawakujua kama ipo siku utakuja kuwa IGP.
JITOKEZE UIOMBE MSAMAHA FAMILIA YA HAMZA ILI ULINDE HESHIMA YAKO.
Jeshi loote la polisi hawana mtu mbadala wake? Basi kuna shida mahaliWatu wengi hamjuwi kilichopo moyoni mwa IGP ila nataka niwahakikishie ndani yake ameshasoma alama za nyakati na anatamani aruhusiwe kustaafu maana alisha staafu sema wakamkatalia sasa moyo wake anatamani kustaafu na ndio maana anaongea sentence tata atumbuliwe basi. Ila ndio wana kaa kimya. Hata ingekuwa wewe ungetamani kustaafu maana muda wake ktk utumishi wa umma umefika then watafute mwingine. Nadhani hayo ndio siri moyoni mwake.
Mimi ninachokiona ni Kutaka kumbebesha Mzigo Hamza. Tunajua hamza ana makosa makuba kuwaua wale Polisi wetu. Lakini bado ukweli haujulikani wale polisi walikuwa wamemfanya nini. ni Kama kamanda anataka kuonesha upande mmoja tu kuwa Hamza ana makosa pekee yake.Sirro tumbo Ni mithili ya shamba hutoa mazao ya Kila aina,hivyo huwezi kutukana wazazi na familiya Kisha tukupigie makofi kwa ubora wa matusi.Sirro ulichofanya Ni utoto na ulevi wa madaraka ,tubu mapema.Sirro unahisi Kama kizazi chako hakifahamiki? Mbona na wewe ulizaa,kulea,na kukuza mvuta bangi anayesumbua chanika.Hotel zako za mwanza ulizijenga kwa mshahara na lesheni ya upolisi gani.Usitake tuseme yasiyotakiwa kusemwa.kitendo Cha kudhihaki familiya HAPANA HAPANA HAPANA HAKIKUBALIKI.
Sasa alikuaje mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM?!!Kaka yake hamza amesema hamza ni mbabaifu tangu utotoni kitu kilichopekekea baba yake kumpeleka Egypt kusoma dini....... kwa kauli za igp atakua anayajua mengi sana ya malezi ya hamza, sio kwamba ameropoka
Haipingiki kwamba kuwa na raia wema malezi mema lazima yaanzie kwa wazazi. Hakuna mzazi bingwa wa malezi lakini wazazi tupambane kulea tukimtanguliza Mungu huku tukikubali kurekebishwa pale tunapokosea kwenyebmalezi.
Mambo ya hamza ni mengi sana
Lebamanona ni za mchaga Tena nyingine inajengwa mpya omeunganishwa na ya zamani pale pasiasi.
Anawekeza kwa pesa ya uzulumati
Hii biashara ni simple sana na ina pesa ya haraka ila ndio hvyo utachuma dhambi hadi wakati upo kaburini watu wakiendelea kutinduana dhambi zinazidi tu kumiminikaYeye bishara zake ni za watu kutinduana tu.
Hawawezi kukosekana ni mfumo wa ukiritimba tu unasumbuaJeshi loote la polisi hawana mtu mbadala wake? Basi kuna shida mahali