Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Haha Gestapo walikuwa na section ya religious sect ku-monitor makanisa naona tumefika huko sasa polisi wa ulinzi na usalama wa raia ma mali zao wamekuwa political police kama gestapoGestapo
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.
Source: Swahili times
My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti!
KUle wana mtaala ulio wazi kabisa.. kama vile chuoni. Na wao wana syllabus.Akakague kwanza kile chuo cha polissi Moshi kuweza kujua polisi wanafundishwa nini kule kiasi cha kuwafanya kuwa genge la waovu badala ya kuwa walinzi na watunzaji wa usalama na amani.
Sorry even dini iko kwenye list. Tena kama kama mafundisho ni ya hitikadi kali.Tunajua nyumba za ibada wanazozilenga. Lakini ukweli ni kwamba hakuna mtu anajifunzia ugaidi msikitini, sio Tanzania labda nchi nyingine huko.
Badala ya kutafuta sababu za msingi na vyanzo halisi vya ugaidi wao wanaanza kutafuta chuki na uhasama na dini fulani. Upumbavu nao ni kipaji.
Umemalizaaa,facts over hate and negative opinionsTunajua nyumba za ibada wanazozilenga. Lakini ukweli ni kwamba hakuna mtu anajifunzia ugaidi msikitini, sio Tanzania labda nchi nyingine huko.
Badala ya kutafuta sababu za msingi na vyanzo halisi vya ugaidi wao wanaanza kutafuta chuki na uhasama na dini fulani. Upumbavu nao ni kipaji.
Karate ni ugaidi ?IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.
Source: Swahili times
My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti!
Kareti ndio ugaidi?IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.
Source: Swahili times
My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti!
Hatutakubali kutawaliwa na Paul KagameIGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.
Source: Swahili times
My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti!
Hivi kujua karate ndio ugaidi ? Hii nchi hata maombi hayatasaidia chochote , tuachane nayo tuIGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.
Source: Swahili times
My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti!
Kuna kijana ni teja (anakula madawa ya kulevya) huwa anatabia ya kwenda kwenye vitega uchumi vya baba yake maeneo ya Tegeta na kuwashinikiza wampe pesa...namripoti huyu anakwenda mwenendo kinyume na jamiiAidha, ameitaka jamii kutoa taarifa endapo itabaini kuna mtu ana tabia au mwenendo kinyume na jamii husika, na kwamba sio lazima mhusika afungwe, bali wanaweza kumsaidia kuwa mtu mwema na akaendelea na shughuli zake
wawe spacific nyumba za ibada gani? yaani za dini gani?IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.
Source: Swahili times
My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti!
Hahahaaaa.....!Hahahahah
'Saimoni' anataka kuvamia Msitu wa Amazon na 'Topaz'