IGP Sirro: Jeshi la Polisi kukagua yanayofundishwa kwenye nyumba za Ibada

IGP Sirro: Jeshi la Polisi kukagua yanayofundishwa kwenye nyumba za Ibada

Ukute CCM inakutegemea! Hii nchi tuna bahati mbaya sana.
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.

Source: Swahili times

My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti!
 
Akakague kwanza kile chuo cha polissi Moshi kuweza kujua polisi wanafundishwa nini kule kiasi cha kuwafanya kuwa genge la waovu badala ya kuwa walinzi na watunzaji wa usalama na amani.
KUle wana mtaala ulio wazi kabisa.. kama vile chuoni. Na wao wana syllabus.

Kama vyuo vingine vilivyo kwenye kundi la wanafunzi wema .. wanafunzi wabovu nao hutokea.
 
Tunajua nyumba za ibada wanazozilenga. Lakini ukweli ni kwamba hakuna mtu anajifunzia ugaidi msikitini, sio Tanzania labda nchi nyingine huko.

Badala ya kutafuta sababu za msingi na vyanzo halisi vya ugaidi wao wanaanza kutafuta chuki na uhasama na dini fulani. Upumbavu nao ni kipaji.
Sorry even dini iko kwenye list. Tena kama kama mafundisho ni ya hitikadi kali.
Although hii ni according to nchi zinazosumbuliwa sana na ugaidi
 
Tunajua nyumba za ibada wanazozilenga. Lakini ukweli ni kwamba hakuna mtu anajifunzia ugaidi msikitini, sio Tanzania labda nchi nyingine huko.

Badala ya kutafuta sababu za msingi na vyanzo halisi vya ugaidi wao wanaanza kutafuta chuki na uhasama na dini fulani. Upumbavu nao ni kipaji.
Umemalizaaa,facts over hate and negative opinions
 
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.

Source: Swahili times

My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti!
Karate ni ugaidi ?
Hili nalo tatizo inabidi tutafute sehemu ya kuliweka isije kuwa ni moja kati ya yale matatizo ya kuambiwa kuwa ukiwa na upara utaajiriwa benki.
 
Vyombo vya usalama kuanza kuingilia ibada za watu ndio chanzo cha kutengeneza ugaidi.
Kama sababu ni Hamza basi kwanza waanglie mafunzo wanayopewa vijana wa CCM kwa vile Hamza alikuwa ccm kindaki ndaki.
 
Yaani nyumba za ibada ziache kufundisha imani eti zianze kufundisha uzalendo😃😃😃.

Uzalendo ni matokeo yanayokua influenced na watawala kwa matendo yao na namna wanavyofuata sheria na katiba. Nje ya hapo wafumbe mabakuli yao na kuachana na mambo ya uzalendo.
 
Mmmh!apo sasa ndo wanataka kuuchochea Moto zaidi badala ya kuuzima.
 
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.

Source: Swahili times

My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti!
Hatutakubali kutawaliwa na Paul Kagame
 
Aidha, ameitaka jamii kutoa taarifa endapo itabaini kuna mtu ana tabia au mwenendo kinyume na jamii husika, na kwamba sio lazima mhusika afungwe, bali wanaweza kumsaidia kuwa mtu mwema na akaendelea na shughuli zake
Kuna kijana ni teja (anakula madawa ya kulevya) huwa anatabia ya kwenda kwenye vitega uchumi vya baba yake maeneo ya Tegeta na kuwashinikiza wampe pesa...namripoti huyu anakwenda mwenendo kinyume na jamii
 
Inamaana jeshi letu la polisi lina mbinu kiduchu mpaka kamanda wake emeenda kwenye nchi ndogo kama Rwanda kwenda kuchukua mbinu?
 
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.

Source: Swahili times

My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti!
wawe spacific nyumba za ibada gani? yaani za dini gani?
 
Back
Top Bottom