IGP Sirro: Jeshi la Polisi kukagua yanayofundishwa kwenye nyumba za Ibada

IGP Sirro: Jeshi la Polisi kukagua yanayofundishwa kwenye nyumba za Ibada

Hebu tuonyeshe hizo nyumba za mtume huku Tanzania ziki wapi? Second kwani kujifunza judo ni kosa?? Nchi ngapi wanajifunza umewahi kusikia ni kosa,pole sana,you are sick
Mbagala
 
Yaani hata hili Dogo nalo alienda kujifunza Rwanda. Nilidhani angekuja na karipio la kupiga marufuku makanisa ya mitaani.
Rwanda ni Nchi ya kidikteta hakuna uhuru wa kuabudu, ni Aibu kubwa kwa Tanzania kujifunza mbinu haramu za kishetani toka Rwanda
 
Aseme tu wanataka kukagua misikiti na madrasa sio kutubabaisha kwa kutaja sijui na sunday schools, niseme tu mtindo unaotumika kupambana na hicho wanachokiita ugaidi pia ndio unafanya huo uhalifu unazidi kuchipuka kwani inawafanya baadhi ya watu kuaminisha wengine kwamba wanaonewa hivyo inahitajika wapambane.
 
Aseme tu wanataka kukagua misikiti na madrasa sio kutubabaisha kwa kutaja sijui na sunday schools, niseme tu mtindo unaotumika kupambana na hicho wanachoita ugaidi pia ndio unafanya huo uhalifu unazidi kuchipuka kwani inawafanya baadhi ya watu kuaminisha wengine kwamba wanaonewa hivyo inahitajika wapambane.
Polisiccm inaenda kuongeza chuki kubwa tokea kwa wananchi kwa ujumla ni hao hao Polisiccm wataimaliza CCM kwani jumuia za kimataifa zinaenda kuichoka CCM na ndipo utakuwa mwisho wa CCM, walikuwepo akina Bokasa, Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada chiluba Abacha mabutu wapo wapi sasa ?mpigie seleman 0715132277 au 0787132277 anajua story zote za nchi
 
Ukitaka story zote mapungufu yote ya Polisiccm mpigie seleman 0715132277 au 0787132277 anazo story zao zote
 
Polisiccm inaenda kuongeza chuki kubwa tokea kwa wananchi kwa ujumla ni hao hao Polisiccm wataimaliza CCM kwani jumuia za kimataifa zinaenda kuichoka CCM na ndipo utakuwa mwisho wa CCM, walikuwepo akina Bokasa, Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada chiluba Abacha mabutu wapo wapi sasa ?mpigie seleman 0715132277 au 0787132277 anajua story zote za nchi
Acha ubwege wako na utumwa wako wa kipuuzi,huyo selemani mimi ananihusu nini hadi nimpigie simu, tujadili nini? Acha kutumika na hao mabwana zenu kwa ujira wa vihela kidogo mnavyoongwa huko na kuumiza wengine huku mkifikiri mtaishi milele mbona bwana wenu mzandiki mkuu mmeshindwa kumfanya aishi milele.
 
Wananchi tushirikiane na police kufichia wale wanaojificha kwenye mgongo wa dini kueneza ugaidi
 
Ila mm wa nyarwanda uwa na mashaka nao sana aisee sijui kwanini...
 
Nchi inachafuka kwa kuonekana kuna magaidi wakati hakuna ugaidi wowote Tanzania
Si ndo hapo wanajua ukweli wanapindisha mambo hali ya kuwa wanaichafua nchi hawa mbweha. Ni sawa na kilichokua kinaendelea Kibiti, fika walengwa walikua CCM lakini wakai-divert kwa kusema ni Ugaidi hawa wapuuzi. Hayajua impact ya kusema hivyo kwa national welfare status
 
Wananchi tushirikiane na police kufichia wale wanaojificha kwenye mgongo wa dini kueneza ugaidi
Hao mnaowaita magaidi mnawatengeneza wenyewe kwa sababu ya chuki zenu mnawafanya baadhi ya watu wanaonewa hivyo wanatakiwa wapambane.
 
Tunajua nyumba za ibada wanazozilenga. Lakini ukweli ni kwamba hakuna mtu anajifunzia ugaidi msikitini, sio Tanzania labda nchi nyingine huko.

Badala ya kutafuta sababu za msingi na vyanzo halisi vya ugaidi wao wanaanza kutafuta chuki na uhasama na dini fulani. Upumbavu nao ni kipaji.
Sunday school ni kisingizio.
 
Acha ubwege wako na utumwa wako wa kipuuzi,huyo selemani mimi ananihusu nini hadi nimpigie simu, tujadili nini? Acha kutumika na hao mabwana zenu kwa ujira wa vihela kidogo mnavyoongwa huko na kuumiza wengine huku mkifikiri mtaishi milele mbona bwana wenu mzandiki mkuu mmeshindwa kumfanya aishi milele.
Seleman ni bwawa yako aliniambia ukiongea ufala nikuambie umpigie acha kutumikia bwawa zako kuja na Sheria za Rwanda kuwaonea watu badala ya kutumia katiba na Sheria za Nchi, umehongwa wewe mbweha hadi umejitoa fahamu zote ukafikri kila mmoja anahongwa kama wewe acha ufala wako Tambua kuwa Tundu lisu ni mpinzani anafanya kazi ya kuikosoa Serikali
 
Anachokitafuta huyo IGP dhidi ya waisilamu atakipata. Asilete akili za kipolisi kwenye nyumba za Mwenyezi Mungu. Hako kacheo chake kacmfanye akajiona mungu mtu, ipo siku ataingia mtaani na atakutana na wajanja zaidi yake.

Tangu lini nyumba za ibada zikafundisha ugaidi!!!! Au polisi wake ndiyo magaidi!!!! Huyu ni mtanzania kweli!!!!!!

Sasa ajaribu kuwareta hao polisi njaa misikitini, sehemu ya ibada, iliyo nadhifu na haitaki mtu mchafu mchafu na mlevi.

Kama nikweri kayaongea hayo, bac Mama samia kuwanae makini sana huyu kiumbe, atavuruga amani ya nchi. Na ikiwezekana mtimue kabla hajaaribu.
 
Back
Top Bottom