IGP Sirro: Jeshi la Polisi kukagua yanayofundishwa kwenye nyumba za Ibada

Seleman ni bwawa yako aliniambia ukiongea ufala nikuambie umpigie acha kutumikia bwawa zako kuja na Sheria za Rwanda kuwaonea watu badala ya kutumia katiba na Sheria za Nchi, umehongwa wewe mbweha hadi umejitoa fahamu zote ukafikri kila mmoja anahongwa kama wewe acha ufala wako Tambua kuwa Tundu lisu ni mpinzani anafanya kazi ya kuikosoa Serikali
Wapi nimesema kuhusu sheria za Rwanda au huyo tundu lissu,umechanganyikiwa wewe.
Halafu jifunze kuandika ndio uje tena.
 
Hao mnaowaita magaidi mnawatengeneza wenyewe kwa sababu ya chuki zenu mnawafanya baadhi ya watu wanaonewa hivyo wanatakiwa wapambane.
Wewe mbweha mie nakataa Nchi isichafuliwe kwa IGP kutangaza ugaidi cha ajabu unanipinga
 
Nchi zote hufanya hivyo kuna wale waarabu wanamuminika Sana tanzania kwa mgongo wa kusaidia msikitini kumbe Wana ajenda nyingine

Yani wewe hunaga hoja za msingi, wewe kila ki2 waarabu na uisilamu, all the time unawawaza wao tu. Ebu tupe cri mzee walikufanya nini???? Chuki mbaya sana, apo unahic na huna uhakika unachokiongea. Kazi ipo aise,,,hata hao unaoishinao itakuwa wanakuvumilia.
 
Wapi nimesema kuhusu sheria za Rwanda au huyo tundu lissu,umechanganyikiwa wewe.
Halafu jifunze kuandika ndio uje tena.
Wewe unavuta Bangi gheto unawezaje kujua nilichoandika?
 
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.

Chanzo: Swahili times

My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti.
===
Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo wanayofundishwa watoto katika madrasa na shule za Jumapili (Sunday schools) kufahamu aina ya mafundisho yanayotolewa.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro ameeleza hayo wakati akizungumzia ziara yake ya siku nne nchini Rwanda na kusema wamejifunza hilo kutoka huko, hivyo ni vyema wapite kwenye maneno hayo kujua malengo ya mafunzo yanayotolewa.

“Tumeona wenzetu hizi shule za dini, kwa mfano haya Madrasa, kwa mfano hizo Sunday schools kuna kikosi maalum kuona mafunzo yanayofundishwa. Je! Mafunzo yale yanatolewa kwa ajili ya uzalendo, au ni mafunzo yanayotolewa kwa ajili ya kuharibu nchi,” amesema Sirro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Sirro ameeleza utaratibu huo ni mzuri na kwamba watawashirikisha viongozi wa dini na timu ya kupambana na makosa ya kigaidi kuona namna ya kupitia mafunzo yanayofundishwa kwenye shule za dini na shule za elimu dunia, hadi ngazi ya vyuo vikuu, kuona kama mafunzo yanawajenga au yanawabomoa vijana.

Aidha, ameitaka jamii kutoa taarifa endapo itabaini kuna mtu ana tabia au mwenendo kinyume na jamii husika, na kwamba sio lazima mhusika afungwe, bali wanaweza kumsaidia kuwa mtu mwema na akaendelea na shughuli zake.
Huyu Sirro vipi?

Yaani anategemea kweli Sunday schools na Madrasa kufundishwa Uzalendo...!! I can't believe his thinking.
 
Anachokitafuta huyo IGP dhidi ya waisilamu atakipata. Asilete akili za kipolisi kwenye nyumba za Mwenyezi Mungu. Hako kacheo chake kacmfanye akajiona mungu mtu, ipo siku ataingia mtaani na atakutana na wajanja zaidi yake.

Tangu lini nyumba za ibada zikafundisha ugaidi!!!! Au polisi wake ndiyo magaidi!!!! Huyu ni mtanzania kweli!!!!!!

Sasa ajaribu kuwareta hao polisi njaa misikitini, sehemu ya ibada, iliyo nadhifu na haitaki mtu mchafu mchafu na mlevi.

Kama nikweri kayaongea hayo, bac Mama samia kuwanae makini sana huyu kiumbe, atavuruga amani ya nchi. Na ikiwezekana mtimue kabla hajaaribu.
Visomo vitaanza kote kuanzia Pemba hata kote bara
 
Tunajua nyumba za ibada wanazozilenga. Lakini ukweli ni kwamba hakuna mtu anajifunzia ugaidi msikitini, sio Tanzania labda nchi nyingine huko.

Badala ya kutafuta sababu za msingi na vyanzo halisi vya ugaidi wao wanaanza kutafuta chuki na uhasama na dini fulani. Upumbavu nao ni kipaji.
Fuatilia vizuri si kuongea tu Jambo ambalo hulijui au hujafanyia utafiti. Hao wapo huko Kila siku wanajua wanachokiongea. Mimi nikiwa chuo mwaka 2012 niliyasikia hayo kwa watu wa mtaani. Wanayajua Sana tu kuwa Kuna mambo yanaendelea huku mtaani si mazuri walisema watoto wa sekondari wanasajiliwa kwenye makundi ya kigaidi
 
Nazani mtaanza kumuelewa Tundu Antipas Lissu vizuri na agenda ya Haki Uhuru na Maendeleo ya watu.
Kwa mwendo huu wa kutawliwa nchi kijeshi kwakuwa chama Chakavu kimekosa Mvuto Polisi ipo siku hawata sita kusema wataanza kukagua wenza Kama mkiwa mnagegedana hamuendi kwa Mpalange.
Halafu nayashangaa Sana Majeshi ya hapa bongo, yanatumikishwa kisia na yenyewe yanakubali tuu. Wanashindwa kufanya wenzao walicho fanya kule Gine. Mtu anaye kupa umfanyie kazi yake ya siasa Ina maana yeye hawezi kuifanya kwahiyo Jeshi lenye Akili wanapindua tuu serikali ya namna hiyo inayotegemea jeshi kuongoza na kundamiza Haki za raia.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo zirro anamaanisha wameandaa mtaala huko kwenye geshi la porisi kufundisha vijana wa madrassa na sunday school uzarendo? kwamba mafundisho ya dini hayatatolewa tena bali mafundisho ya uzarendo yaliyoandaliwa na geshi la zirro! Kwa nini wasifungue taasisi zao za kufundisha uzarendo badala ya kuingilia ratiba za vipindi vya dini....
 
Uhuru wa kuabudu unaolindwa na Katiba uko hatarini sana ndugu zangu.
 
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.

Chanzo: Swahili times

My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti.
===
Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo wanayofundishwa watoto katika madrasa na shule za Jumapili (Sunday schools) kufahamu aina ya mafundisho yanayotolewa.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro ameeleza hayo wakati akizungumzia ziara yake ya siku nne nchini Rwanda na kusema wamejifunza hilo kutoka huko, hivyo ni vyema wapite kwenye maneno hayo kujua malengo ya mafunzo yanayotolewa.

“Tumeona wenzetu hizi shule za dini, kwa mfano haya Madrasa, kwa mfano hizo Sunday schools kuna kikosi maalum kuona mafunzo yanayofundishwa. Je! Mafunzo yale yanatolewa kwa ajili ya uzalendo, au ni mafunzo yanayotolewa kwa ajili ya kuharibu nchi,” amesema Sirro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Sirro ameeleza utaratibu huo ni mzuri na kwamba watawashirikisha viongozi wa dini na timu ya kupambana na makosa ya kigaidi kuona namna ya kupitia mafunzo yanayofundishwa kwenye shule za dini na shule za elimu dunia, hadi ngazi ya vyuo vikuu, kuona kama mafunzo yanawajenga au yanawabomoa vijana.

Aidha, ameitaka jamii kutoa taarifa endapo itabaini kuna mtu ana tabia au mwenendo kinyume na jamii husika, na kwamba sio lazima mhusika afungwe, bali wanaweza kumsaidia kuwa mtu mwema na akaendelea na shughuli zake.

Mambo sensitive hayatolewi matamko. Yanafanywa covertly. Vyombo maalum kwa kazi hiyo vipo. Inatarajiwa wawe wamekuwa wakifanya kazi yao muda tangu miaka ya 90 ugaidi ulipojitokeza kama tishio nchini.

Kutuambia leo ndio wataanza kupita huko kufuatilia viashiria ni irresponsibility kubwa. Sio huko tu; ziko taasisi nyingi za kuangaliwa mara kwa mara. Wao wamepata umaarufu wa kuifuatilia CHADEMA tu. Shame.

Polisi Tanzania wamejiendekeza kutafuta sifa kama wanasiasa. Wanashinda kwenye media kujitangaza kazi zao na kujisifu huku field mambo yako ovyo tu. Ni aibu. They need to learn to work silently and effectively. Sisi wananchi tutaona weledi wao na kuwasifu ikibidi.
 
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.

Chanzo: Swahili times

My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti.
===
Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo wanayofundishwa watoto katika madrasa na shule za Jumapili (Sunday schools) kufahamu aina ya mafundisho yanayotolewa.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro ameeleza hayo wakati akizungumzia ziara yake ya siku nne nchini Rwanda na kusema wamejifunza hilo kutoka huko, hivyo ni vyema wapite kwenye maneno hayo kujua malengo ya mafunzo yanayotolewa.

“Tumeona wenzetu hizi shule za dini, kwa mfano haya Madrasa, kwa mfano hizo Sunday schools kuna kikosi maalum kuona mafunzo yanayofundishwa. Je! Mafunzo yale yanatolewa kwa ajili ya uzalendo, au ni mafunzo yanayotolewa kwa ajili ya kuharibu nchi,” amesema Sirro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Sirro ameeleza utaratibu huo ni mzuri na kwamba watawashirikisha viongozi wa dini na timu ya kupambana na makosa ya kigaidi kuona namna ya kupitia mafunzo yanayofundishwa kwenye shule za dini na shule za elimu dunia, hadi ngazi ya vyuo vikuu, kuona kama mafunzo yanawajenga au yanawabomoa vijana.

Aidha, ameitaka jamii kutoa taarifa endapo itabaini kuna mtu ana tabia au mwenendo kinyume na jamii husika, na kwamba sio lazima mhusika afungwe, bali wanaweza kumsaidia kuwa mtu mwema na akaendelea na shughuli zake.

huyu jamaa sirro ni mpuuzi wa kiwango cha lami
 
Wewe unavuta Bangi gheto unawezaje kujua nilichoandika?
Wewe na wauwaji wenzio hamjachoka kuua watu na kuwatupa baharini sio! Basi tafuteni mbinu nyingine sio hizo za kutoa namba za simu umwambie mtu apige kwani umesikia natafuta namba ya mtu,jinga sana.
 
Haha Gestapo walikuwa na section ya religious sect ku-monitor makanisa naona tumefika huko sasa polisi wa ulinzi na usalama wa raia ma mali zao wamekuwa political police kama gestapo

Ndio hivyo. Kazi inafanywa kimya kimya kupitia special agents. Hilo ni eneo nyeti la kazi. Kuna masheikh/maimam na wachungaji na waumin ambao ni maajent wa CID/TISS. Walitakiwa wawe wanafanya kazi hiyo tangu tunapata uhuru.

Hii kutangaza hadharani ni kutafuta sifa za kisiasa. Ni aibu. Kama vile ma-informer wa TISS wanavyojitangaza mitaani siku hizi.
 
Wanawatafuta CDM ? Maana siku hizi ....wanakamatwa makanisani....sasa anawalenga wacheza karate misikitini daaa hii vita ugaidi ngumu sana sidhani kama ataiweza
 
Fuatilia vizuri si kuongea tu Jambo ambalo hulijui au hujafanyia utafiti. Hao wapo huko Kila siku wanajua wanachokiongea. Mimi nikiwa chuo mwaka 2012 niliyasikia hayo kwa watu wa mtaani. Wanayajua Sana tu kuwa Kuna mambo yanaendelea huku mtaani si mazuri walisema watoto wa sekondari wanasajiliwa kwenye makundi ya kigaidi
Hizo ni hekaya tu.
 
Back
Top Bottom