Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna lolote wanalolitafuta hao mapolisi, zaidi ya kutaka kuzidhibiti nyumba za ibada.IGP SIMON SIRRO AJA NA MAPYA: JESHI LA POLISI SASA KUCHUNGUZA MAFUNDISHO (DOGMA) MAKANISANI NA MISIKITINI!
Mkaguzi wa Mtaala ni lazima aujue mtaala au awe na elimu kuhusu mitaala! Mitaala ya Shule ya Jumapili (Sunday School Curriculum) hutungwa na wasomi na wataalamu wa Theologia (Theology), Masomo ya Biblia (Biblical Studies), Falsafa (Philosophy) na Elimu ya Dini (Religious Studies/Education). Jeshi la Polisi nchini Tanzania linataka kujipa kazi ya kukagua Mitaala ya Sunday School Makanisani. Tunawakaribisha Askari Polisi kujiunga katika Vyuo vya Theologia na kwenye Seminari Kuu ili kusomea masomo hayo. Liandae watu wenye sifa kwa ajili ya kusomea Shahada za Theologia na Falsafa. Baada ya hapo wakasome ubingwa (Shahada za Juu) katika masomo hayo wakibobea katika Mitaala!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
View attachment 1934136
😍Katika hili nimemuelewa Sirro. Polisi wana wajibu wa kulinda raia na mali zao. Kama wanahisi kuna mafundisho ambayo si sahihi wana haki ya kuelewa.
Katika hili polisi wanahitaji ushirikiano mkubwa na viongozi wa dini. Si hapo tu, raia pia wanapaswa kutaarifu polisi mienendo isiyo salama.
Katika hili nimemuelewa Sirro. Polisi wana wajibu wa kulinda raia na mali zao. Kama wanahisi kuna mafundisho ambayo si sahihi wana haki ya kuelewa.
Katika hili polisi wanahitaji ushirikiano mkubwa na viongozi wa dini. Si hapo tu, raia pia wanapaswa kutaarifu polisi mienendo isiyo salama.
Alienda kusomea theology RwandaIGP SIMON SIRRO AJA NA MAPYA: JESHI LA POLISI SASA KUCHUNGUZA MAFUNDISHO (DOGMA) MAKANISANI NA MISIKITINI!
Mkaguzi wa Mtaala ni lazima aujue mtaala au awe na elimu kuhusu mitaala! Mitaala ya Shule ya Jumapili (Sunday School Curriculum) hutungwa na wasomi na wataalamu wa Theologia (Theology), Masomo ya Biblia (Biblical Studies), Falsafa (Philosophy) na Elimu ya Dini (Religious Studies/Education). Jeshi la Polisi nchini Tanzania linataka kujipa kazi ya kukagua Mitaala ya Sunday School Makanisani. Tunawakaribisha Askari Polisi kujiunga katika Vyuo vya Theologia na kwenye Seminari Kuu ili kusomea masomo hayo. Liandae watu wenye sifa kwa ajili ya kusomea Shahada za Theologia na Falsafa. Baada ya hapo wakasome ubingwa (Shahada za Juu) katika masomo hayo wakibobea katika Mitaala!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
View attachment 1934136
Kwishney huyu mzee kuna mambo mengine ya usalama si lazima utangaze hadharani au useme umeiga kutoka wapi...! Sirro ni wa kupumzika sasa AMECHOKAIGP SIMON SIRRO AJA NA MAPYA: JESHI LA POLISI SASA KUCHUNGUZA MAFUNDISHO (DOGMA) MAKANISANI NA MISIKITINI!
Mkaguzi wa Mtaala ni lazima aujue mtaala au awe na elimu kuhusu mitaala! Mitaala ya Shule ya Jumapili (Sunday School Curriculum) hutungwa na wasomi na wataalamu wa Theologia (Theology), Masomo ya Biblia (Biblical Studies), Falsafa (Philosophy) na Elimu ya Dini (Religious Studies/Education). Jeshi la Polisi nchini Tanzania linataka kujipa kazi ya kukagua Mitaala ya Sunday School Makanisani. Tunawakaribisha Askari Polisi kujiunga katika Vyuo vya Theologia na kwenye Seminari Kuu ili kusomea masomo hayo. Liandae watu wenye sifa kwa ajili ya kusomea Shahada za Theologia na Falsafa. Baada ya hapo wakasome ubingwa (Shahada za Juu) katika masomo hayo wakibobea katika Mitaala!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
View attachment 1934136
Tatizo ninalo liona hapa ni budget ya zoezi hili alilotangaza IGP. Hii issue inahitaji pesa nyingi, kwanza kuwapa mafunzo polisi waelewe na kutofautisha wacha dini na hao wanaowatafuta. Pili unahitajika manpower ya kutosha hasa sehemu za Taasisi kama vyuoni.Jeshi lake ni la kigaidi ndiyo sababu linachukiwa sana na Watozonia. Hawezi kujipa mamlaka asiyokuwa nayo na kwa maoni yangu madrasa ingekuwa ni tatizo nchi hii ingeshawaka moto.
Yaani kati ya watu duniani wanao zeeka vibaya ni Siro. Huku Mh. Rais an ahamasisha utalii na uwekezaji, huku Siro ana tangaza ugaidi na kuokotwa risasi za Ak 47.Kwishney huyu mzee kuna mambo mengine ya usalama si lazima utangaze hadharani au useme umeiga kutoka wapi...! Sirro ni wa kupumzika sasa AMECHOKA
Tatizo ninalo liona hapa ni budget ya zoezi hili alilotangaza IGP. Hii issue inahitaji pesa nyingi, kwanza kuwapa mafunzo polisi waelewe na kutofautisha wacha dini na hao wanaowatafuta. Pili unahitajika manpower ya kutosha hasa sehemu za Taasisi kama vyuoni.
Angefanya kimya kimyaKwishney huyu mzee kuna mambo mengine ya usalama si lazima utangaze hadharani au useme umeiga kutoka wapi...! Sirro ni wa kupumzika sasa AMECHOKA
Yeah ama angeishia tu kusema amejifunza mengiAngefanya kimya kimya
Waende hadi Vatican na Saudi kuchunguza mashina ya mafundisho hayo.IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.
Chanzo: Swahili times
My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti...
Wataenda Iran!Waende hadi Vatican na Saudi kuchunguza mashina ya mafundisho hayo.
Sent from my A71 using JamiiForums mobile app
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.
Chanzo: Swahili times
My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti...
Ya Rwanda yaliishia janga la 1994 kupitia ukabila. Kama tunataka kujifunza kutoka huko; KanzaTujiulize CCM na huu uchifu umerudishwa ili iweje?Waende hadi Vatican na Saudi kuchunguza mashina ya mafundisho hayo.
Sent from my A71 using JamiiForums mobile app