IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja

Kijogoodi

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2021
Posts
1,362
Reaction score
2,373
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo.

Sirro amesema Tundu Lissu anatumia hilo shambulio kama njia ya kujipatia kipato na kuweza kulelewa na wazungu Ulaya.

Pia, soma: Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji

Your browser is not able to display this video.
 
Endapo Lisu angekuwa ameuawa siku ya tukio IGP angempigia simu nani,?
Protocol zinatofautiana mtu akiwa amekufa na akiwa amejeruhiwa ... maiti unaweza ukaenda kuifanyia postmortem mzima huwezi
 
Endapo Lisu angekuwa ameuawa siku ya tukio IGP angempigia simu nani,?
Mama yako au baba yako au kaka yako au dada yako au hata wewe ungepigiwa.
Nyumbu mkubwa
 
Wenye nchi wanachagua wenye nchi , kulinda wenye nchi ...wasio na nchi wao ni ziada kwa wenye nchi ......wenye nchi ni 6 tu
 
Huyu hajui anachokisema
Kwa hio tuseme lissu angekufa siku hio na uchunguzi ndio ungeishia siku hio!?
Haya mambo hay?
Tukio la mo ndio maana hata magu alishawahi kuwaambia kua hawakueleweka kwa jamii ni nini hasa kilimtokea mo
Huyu akiendelea watu hawatakaa wafanye mikutano ya hadhara au kuidai katiba mpya kwa maandamano ya amani
Tusahau hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…