IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja

IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja

[emoji3] [emoji3] [emoji3] Hili tukio la TL nalo ifike wakati liishe na watu wafanye mambo mengine.
Hili tukio haliwezi kwisha nakwambia kuna watu lazima watapandishwa kizimbani.
Kesi ya jinai haina mwisho .
Inataka iishe bila wahusuka kuwajibishwa ?
 
IGP SIRRO hana utu huyu mtu. Anadai Lissu anakimbia kuhojiwa lakini ameshasahau kuwa kuna siku Lissu akiwa Dodoma alijipeleka mwenyewe kwa Moroto sijui Mroto ili akahojiwe na pia akachukue gari lake kulikuwa na shida gani kumkamata! Amekaa hapa anazurula na kupanda mwendokasi kwanini wasimkamate.

Anajibu kifedhuli sana eti Lissu anapenda kulelewa mtu ambaye ilitoka order ya kuuliwa akakimbia unadai anapenda kulelewa? Sirro ajaribu kuwa na moyo binadamu.

Hapa anataka kutuambia kuwa maafisa wa Balozi zilizohusika kumpeleka Lissu uwanja wa ndege ni waongo?

Sirro nilipomsikia anasema raia ambaye atagoma kushiriki ulinzi shirikishi ataozwe faini nikajua huyu kazeeka tayari. Ni kati ya viogozi wa kudharauliwa sana.
 
Mbona unamshambulia mtu badala ya kujibu hoja yake? Siyo uungwana huo. Kama hauna hoja ni bora kunyamaza. Sasa hao ndugu zake wanahusikaje hapa? Mnafurahia vifo na maumivu ya watu ambao hawana kosa lolote. Ndio maana Mungu wa mbinguni anafanya analolijua yeye. Chuki ya nini?
Mama yako au baba yako au kaka yako au dada yako au hata wewe ungepigiwa.
Nyumbu mkubwa
 
Hii ishu lazima ile vichwa vya watu, ni suala la muda watu wataenda ishi maisha wasiyoyategemea.
 
Yani ndiyo sirro anamuita Lissu kituoni umuhoji katikati ya ratiba za mikutano ya kampeni za urais??

Siku zote hizo Lissu alizoomba kuhojiwa hata kwa video call mlikua wapi???
Sasa uhai wake na kampeni kipi bora na je alivyomaliza kampeni alienda?
 
Ingependeza lisu awaambie yupo tayar kufanya mahojiano live kupitia TV zote..

Tena yafanyikie pale uwanja wa mzee wa Lupaso.
 
Mbona unamshambulia mtu badala ya kujibu hoja yake? Siyo uungwana huo. Kama hauna hoja ni bora kunyamaza. Sasa hao ndugu zake wanahusikaje hapa? Mnafurahia vifo na maumivu ya watu ambao hawana kosa lolote. Ndio maana Mungu wa mbinguni anafanya analolijua yeye. Chuki ya nini?
Nani aliyechukiwa?

Una akili timamu?
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo.

Sirro amesema Tundu Lissu anatumia hilo shambulio kama njia ya kujipatia kipato na kuweza kulelewa na wazungu Ulaya.
View attachment 1849358
Huyu mzee hana akili timamu, inamaana Lissu angekufa asingefanya uchunguzi? mpuuzi kabisa
 
Ngoja muda ufike tuanze kuziachia video clip zao humu mitandaoni katika hayo maeneo.

Labda itasaidia. Ukutaka kumkata kuchwa kobe..
 
Huyu hajui anachokisema
Kwa hio tuseme lissu angekufa siku hio na uchunguzi ndio ungeishia siku hio!?
Haya mambo hay?
Tukio la mo ndio maana hata magu alishawahi kuwaambia kua hawakueleweka kwa jamii ni nini hasa kilimtokea mo
Huyu akiendelea watu hawatakaa wafanye mikutano ya hadhara au kuidai katiba mpya kwa maandamano ya amani
Tusahau hilo
Ukitoa Said Mwema hii nchi haijawahi kuwa na IGP tena ina makada wa CCM tupu
 
Sasa uhai wake na kampeni kipi bora na je alivyomaliza kampeni alienda?
Kila siku Lissu tangu yupo Nairobi mpaka ameenda Belgium kwenye matibu amekua akiomba kuhojiwa na polisi kwa kufatwa alipo au hata kwa teknolojia ya video mkamkwepa mmesubiri hadi alipoanza kumtia misumari mzee pombe kwenye kampeni ndiyo mnamuita kituo cha polisi,
hivi hata kama ingemuwa wewe ungewaamini na kujipeleka kuhojiwa?
 
Wanajitahidi sana kututoa nje ya reli

Mjadala wa madai katiba mpya haufutiki upo palepale
 
Back
Top Bottom