Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo kwavile lisu anafika hadi kenya ndio mkaamua kung'oa cctv camera ili kuficha ushahidi?.Lisu ametekwa na nani? Si yupo anazura hadi Kenya.
Anayetakiwa kuhojiwa ni lissu kwanini alipigwa risasi au walinzi waliotoa camera na polisi kufanya uchunguzi.Kwa nini Lissu hataki kwenda kuhojiwa?
Ahojiwe basiAnayetakiwa kuhojiwa ni lissu kwanini alipigwa risasi au walinzi waliotoa camera na polisi kufanya uchunguzi.
Hakuna njia nyingine yakuchunguza hadi ahojiwe muathirika?
Huwa namkubali sana Siro,ila hapo huwa simuelewi
Yani ndiyo sirro anamuita Lissu kituoni umuhoji katikati ya ratiba za mikutano ya kampeni za urais??
Siku zote hizo Lissu alizoomba kuhojiwa hata kwa video call mlikua wapi???
Hili nacho ni kitu chakushangaza kwani?Kumbe IGP ana namba ya Lissu
Hehe daah,
Jamaa anatumia tukio lake kama njia ya kuipatia kipato na kulelewa na wazungu??
Arudi nyumbani sasa.
Sasa kuna mtu kashangaa hapa bwana SirroHili nacho ni kitu chakushangaza kwani?
Unajuaje kama akina mbowe hawakuhonga hao mahakimu wabatilishe kesi kwa kuwa waliambiwa waewe huru ila kuingikiwaIGP aliyeshindwa Kutimiza Majukumu yake Polisi Wampige Risasi Akwilina kwa Mujibu wa Mambosasa Kina Mbowe Washtakiwa kuhusika Jaji Awaondolee Mashtaka kuna IGP hapo
Hapana ndugu mwananchi, Lissu ni kiongozi wa siku nyingi namba zipo pia wewe kuzipata sio kazi kubwaSasa kuna mtu kashangaa hapa bwana Sirro
Cct camera na Lisu nani mwenye uwezo wa kujieleza zaidi mbele polisi?
Ukweli ninaoujua ni kwamba Lissu baada ya kuona shambulio lile ni mtaji wa kisiasa na kimaslahi akaamua kulitumia ipasavyo na ndilo linalomuweka mjini Brussels hadi leo hii
Lisu hana akili mpaka akamatwe ndiyo atoe ushirikiano kwenye kesi inayomhusu yeye?Na kamaHuyon TL hataki ushirikiano, kwani nini wasimkate kwa msaada wa interpol? Jinai ilifanyika ambayo ilihatarisha usalama wa nchi, haijalishi alitendea Lisu au nani, Jeshin la polisi lina wajibu wa kuchunguza hata kama Tundu Lisu anataka au hataki... huyo Kamanyoro Sirro anacheza tu na maneno... aache kuzunga mbuyu, atumbie watanzania, uchunguzi umefikia wapi na riport ya awali inasema nini ? Attempted murder ya Lisu ililichafua taifa na hata sasa bado inaendelea kulichafua kwa kuwan hakuna uchunguzi wa maana uliofanyika...
Kasema lini huu ujinga?Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo.
Sirro amesema Tundu Lissu anatumia hilo shambulio kama njia ya kujipatia kipato na kuweza kulelewa na wazungu Ulaya.
View attachment 1849358
Lisu hana akili mpaka akamatwe ndiyo atoe ushirikiano kwenye kesi inayomhusu yeye?