Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 4,062
- 5,741
Afatwe alipo yeye amekua NANI?Kila siku Lissu tangu yupo Nairobi mpaka ameenda Belgium kwenye matibu amekua akiomba kuhojiwa na polisi kwa kufatwa alipo au hata kwa teknolojia ya video mkamkwepa mmesubiri hadi alipoanza kumtia misumari mzee pombe kwenye kampeni ndiyo mnamuita kituo cha polisi,
hivi hata kama ingemuwa wewe ungewaamini na kujipeleka kuhojiwa?