IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja

IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja

Kwa nini Lisu anapenda kutoa mashariti kwa viongozi?
Rais anampa mashariti
IGP anampa mashariti
Anayo haki. wote hao wamo kwenye serikali inayowajibika kwa wananchi, mwananchi mmoja mmoja na wote kwa ujumla. wananchi ndio waajiri wao. yaani hata hili kichwa yako inalishindwa
 
Angekuwa mwanasiasa mbona siyo ajabu sana kwa Tanzania. Huyu jamaa ni mchumia tumbo, lijamaa limoja lisilo na utu, lililoamua kujitoa ufahamu ili maisha yake yanyooke. Hawa wametumiwa sana kuleta maangamizi katika nchi ya Tanzania. Damu za watu zilizomwagika zitawalaani.

..binafsi nimemshangaa sana IGP.

..nimeshangaa maneno ya KASHFA aliyoyatoa dhidi ya Tundu Lissu.

..Ni bahati mbaya kwamba tuna IGP anayetoa kauli za kashfa dhidi ya wahanga wa matukio ya kihalifu.
 
kati ya polisi wa ajabu nchi hii, huyu ni namba moja. angeomba astaafu tu
 
Anayo haki. wote hao wamo kwenye serikali inayowajibika kwa wananchi, mwananchi mmoja mmoja na wote kwa ujumla. wananchi ndio waajiri wao. yaani hata hili kichwa yako inalishindwa
Viongozi hawana haki?
 
Cct camera na Lisu nani mwenye uwezo wa kujieleza zaidi mbele polisi?
Kama cctv hazina msada mbona serikali iliziondoa iliogopa nini?

Baada jeshi la polisi kukili wazi kwamba wameshindwa kupata ushahidi juu ya lile tukio, Kwanini serikali iligoma issue ya kuletwa watalamu kutoka nje ya nchi waje kuchunguza lile tukio?.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo.

Sirro amesema Tundu Lissu anatumia hilo shambulio kama njia ya kujipatia kipato na kuweza kulelewa na wazungu Ulaya.
View attachment 1849358
Mseminari Simon Sirro anakwambia Tundu Lissu kwa asili ni mkaidi
 
Viongozi hawana haki?
narudia, akili yako ni ndogo mno. umeuliza kwanini TL anapenda kutoa mashariti kwa viongozi?
Rais anampa mashariti
IGP anampa mashariti
sasa unachouliza ni kuwa viongozi hawana haki ya kupewa masharti au ni nini. haki walionayo ni kufanya kazi kwa mujibu wa muongozo wa kazi zao ikiwa ni pamoja na kujibu maswali na matakwa ya wananchi waliowaweka madarakani. period
 
Haya maisha teh....yani kwa mfano tu unapanga kumuua mtu halafu hafi unakufa wewe 😁 inafurahisha
Unapiga push up kujimwambafai una afya njema huku ukimcheka lowassa ila mwisho wa siku unatangulia mwenyewe kufa🤣🤣🤣
 
Hiyo sio kesi ya Tundu Lissu. Ni kesi ya JMT dhidi ya waliomshambulia TL. Kila mwananchi wa JMT anaweza kukutwa na tatizo kama lile na hivyo lazima polisi walitatue hilo kwa njia zozote.

Kama mhanga anahofia uhai wake watafute njia zingine za kuchukua maelezo yake. Teknolojia ilivyo pana siku hizi hauhitaji kukutana na mtu ana kwa ana ili upate maelezo yake. watuambie lini walimtafuta kwa zoom au kwa skype au hata kwa watsap video call akawakatalia kutoa maelezo.

Tatizo ni pale JMT inaposita kuchukua hatua stahiki ya kuwasaka waliohatarisha uhai wa mwananchi wa JMT eti mpaka mhanga atoe ushirikiano.
Sijui wananchi wenzangu nani amewaroga??? Angekua anahofia uhai wake angerudi kufanya kampeni na changanyikeni ile tena korona ikiwa ya moto ... nyuma akiwa na mlinzi mmoja mwenye mkuki kama Mmasai??
 
..hivi unaamini Lissu ana-enjoy kuwa mlemavu, kuliko kuwa mbunge, wakili wa mahakama kuu, na kuishi kwa usalama?

..mbona Lissu alikuwa na kazi yake nzuri na akiishi Marekani kabla hajarudi nchini na kugombea ubunge?

..Lissu angekuwa anapenda maisha ya "ulaya" na angekuwa hana uzalendo na wito wa kutetea Watz wenzake asingeacha kazi Marekani na kurudi nchini kuhangaika na siasa za upinzani za Tz.
Yamemkuta madhila makubwa sana bwana yule, kila mtu anajua lakini alipoanza kuyatumia kama mtaji... anafanya watu waanze kumfananisha na wale ombaomba ambao wanatembea kuonyesha vidonda au magonjwa ila wakitokea wasamaria wakuwapeleka hospitali, wanakimbia
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo.

Sirro amesema Tundu Lissu anatumia hilo shambulio kama njia ya kujipatia kipato na kuweza kulelewa na wazungu Ulaya.
View attachment 1849358
The moment jamaa amewaambia anafuatiliwa walichukua hatua gani?

Unafiki mbaya sana.
 
Yamemkuta madhila makubwa sana bwana yule, kila mtu anajua lakini alipoanza kuyatumia kama mtaji... anafanya watu waanze kumfananisha na wale ombaomba ambao wanatembea kuonyesha vidonda au magonjwa ila wakitokea wasamaria wakuwapeleka hospitali, wanakimbia
Una akili sana mkuu
 
Back
Top Bottom