auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,292
Anayo haki. wote hao wamo kwenye serikali inayowajibika kwa wananchi, mwananchi mmoja mmoja na wote kwa ujumla. wananchi ndio waajiri wao. yaani hata hili kichwa yako inalishindwaKwa nini Lisu anapenda kutoa mashariti kwa viongozi?
Rais anampa mashariti
IGP anampa mashariti
Angekuwa mwanasiasa mbona siyo ajabu sana kwa Tanzania. Huyu jamaa ni mchumia tumbo, lijamaa limoja lisilo na utu, lililoamua kujitoa ufahamu ili maisha yake yanyooke. Hawa wametumiwa sana kuleta maangamizi katika nchi ya Tanzania. Damu za watu zilizomwagika zitawalaani.
Toka ile tukio hadi leo mo hawezi kukaa vizurimlisha muhoji MO ile sinema yenu ya kihindui ya kuvishana khanga? tuanzie hapo.
Kama cctv hazina msada mbona serikali iliziondoa iliogopa nini?Cct camera na Lisu nani mwenye uwezo wa kujieleza zaidi mbele polisi?
Mseminari Simon Sirro anakwambia Tundu Lissu kwa asili ni mkaidiMkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo.
Sirro amesema Tundu Lissu anatumia hilo shambulio kama njia ya kujipatia kipato na kuweza kulelewa na wazungu Ulaya.
View attachment 1849358
narudia, akili yako ni ndogo mno. umeuliza kwanini TL anapenda kutoa mashariti kwa viongozi?Viongozi hawana haki?
Unapiga push up kujimwambafai una afya njema huku ukimcheka lowassa ila mwisho wa siku unatangulia mwenyewe kufa🤣🤣🤣Haya maisha teh....yani kwa mfano tu unapanga kumuua mtu halafu hafi unakufa wewe 😁 inafurahisha
Utofauti wake ni upi mjane?Kuna utofauti mkubwa kati ya kesi ya mauaji na kesi ya kujeruhiwa
Sijui wananchi wenzangu nani amewaroga??? Angekua anahofia uhai wake angerudi kufanya kampeni na changanyikeni ile tena korona ikiwa ya moto ... nyuma akiwa na mlinzi mmoja mwenye mkuki kama Mmasai??Hiyo sio kesi ya Tundu Lissu. Ni kesi ya JMT dhidi ya waliomshambulia TL. Kila mwananchi wa JMT anaweza kukutwa na tatizo kama lile na hivyo lazima polisi walitatue hilo kwa njia zozote.
Kama mhanga anahofia uhai wake watafute njia zingine za kuchukua maelezo yake. Teknolojia ilivyo pana siku hizi hauhitaji kukutana na mtu ana kwa ana ili upate maelezo yake. watuambie lini walimtafuta kwa zoom au kwa skype au hata kwa watsap video call akawakatalia kutoa maelezo.
Tatizo ni pale JMT inaposita kuchukua hatua stahiki ya kuwasaka waliohatarisha uhai wa mwananchi wa JMT eti mpaka mhanga atoe ushirikiano.
Yamemkuta madhila makubwa sana bwana yule, kila mtu anajua lakini alipoanza kuyatumia kama mtaji... anafanya watu waanze kumfananisha na wale ombaomba ambao wanatembea kuonyesha vidonda au magonjwa ila wakitokea wasamaria wakuwapeleka hospitali, wanakimbia..hivi unaamini Lissu ana-enjoy kuwa mlemavu, kuliko kuwa mbunge, wakili wa mahakama kuu, na kuishi kwa usalama?
..mbona Lissu alikuwa na kazi yake nzuri na akiishi Marekani kabla hajarudi nchini na kugombea ubunge?
..Lissu angekuwa anapenda maisha ya "ulaya" na angekuwa hana uzalendo na wito wa kutetea Watz wenzake asingeacha kazi Marekani na kurudi nchini kuhangaika na siasa za upinzani za Tz.
The moment jamaa amewaambia anafuatiliwa walichukua hatua gani?Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo.
Sirro amesema Tundu Lissu anatumia hilo shambulio kama njia ya kujipatia kipato na kuweza kulelewa na wazungu Ulaya.
View attachment 1849358
Una akili sana mkuuYamemkuta madhila makubwa sana bwana yule, kila mtu anajua lakini alipoanza kuyatumia kama mtaji... anafanya watu waanze kumfananisha na wale ombaomba ambao wanatembea kuonyesha vidonda au magonjwa ila wakitokea wasamaria wakuwapeleka hospitali, wanakimbia
Taarifa ya kufuatiliwa aliitoa kabla hajashambuliwa, usiwe popoma Kiasi hicho.Unafuatiliwa alafu unakuja kufanya kampeni
Kafanya nini?Charles mbowe?
Polisi wanamlinda anafanya kampeni ,polisi haohao hataki wamhoji