IGP Sirro tafakari sana maneno ya mtu aliewaua Polisi aliposikika akisema "Nawatafuta Polisi"


mbona wakisikia ni chadema wanakuja mazima [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

He Made My Day[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji1787][emoji1787][emoji2223]
 
tusipende sana kila jambo tunashutumu Polisi, hebu tujaribu kuwa na shukrani hata kwa kile kidogo wanachofanya...hivi hamuoni wanavyotulinda mitaani huku na kutatua changamoto za kila siku mtaani huku, hivi hatuoni hawa traffic police wanavyotusaidia huku mabarabarani pamoja na ujira mdogo wanaolipwa?... hakuna kazi isiyo na changamoto duniani hapa na hakuna police walio perfect dunia pote hapa tuache lawama....

Hivi hatujaona ile effort ya wale askari waliojitolea kuzikwepa risasi na kuleta amani pahala pale?.....kwa hiyo wangemuacha tu yule jamaa na bunduki zake anapiga marisasi na kuleta taharuki huku kazi zimesimama nk..
 
Tunajua kuna Polisi ambao ni wazuri tu, lakini ni wachache sana, na hil halitafanya tuache kusema ukweli kwamba uhusiano wa jeshi la Polisi la Tanzania na raia ni mbovu na wala hawajali hilo. Sasa hao Polisi wachache wazuru hawawezi kuficha ukweli wa jumla juu ya Polisi wa Tanzania.
 

wapi duniani kuna uhusiano mzuri wa jeshi la polisi na raia?
 
wapi duniani kuna uhusiano mzuri wa jeshi la polisi na raia?
Norway, Sweden, Japan, Botswana, Uingereza, nk nk

Angalia pia South Afrika, polisi wana bifu na majambazi tu, lakini kwa raia wa kawaida hawana tatizo na wanahusiana vizuri sana
 
Tatizo SMG na Glock Tanzania ni adimu eeh?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu umejuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…