peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
"Kwa Sasa wenye fedha zao,epukeni mabank Kama ukoma"IGP Sirro amesema jeshi la polisi linakichunguza kituo cha Kutetea Haki za Binadamu kinachoongozwa na Ole Nguruma baada ya kituo hicho kupokea kiasi kikubwa cha fedha kutoka nje.
Sirro amesema kwa mwaka huu pekee kuanzia mwezi January kituo hicho kimepokea takribani Tsh bilioni 6 kutoka nje hivyo Jeshi linataka kujiridhisha uhalali wa fedha hizo zisijekutumika kwa nia ovu ikiwemo ugaidi na utakatishaji.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Maendeleo hayana vyama!
Kwani hela wanazotoa za kulipia elimu yenu, kuwalipia dawa za ukimwi na malaria wananufaikaje ????Nambie hao mabeberu wananufaikaje na hilo shirika hapa tanzania?
Swali kifikirishi je unaweza kujenga nyumba ya bilioni 5 kama inawezekana basi hizo pesa siyo nyingiIGP Sirro amesema jeshi la polisi linakichunguza Kituo cha Kutetea Haki za Binadamu kinachoongozwa na Ole Nguruma baada ya kituo hicho kupokea kiasi kikubwa cha fedha kutoka nje.
Sirro amesema kwa mwaka huu pekee kuanzia mwezi January kituo hicho kimepokea takriban Tsh. bilioni 6 kutoka nje hivyo Jeshi linataka kujiridhisha uhalali wa fedha hizo zisijekutumika kwa nia ovu ikiwemo ugaidi na utakatishaji.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Maendeleo hayana vyama!
Huwa tuna warudishia kwani hutoa bure?Kwani hela wanazotoa za kulipia elimu yenu, kuwalipia dawa za ukimwi na malaria wananufaikaje ????
Wewe unafikiri Donors wanatoatoa tu pesa!! Kama ni halali si waseme ni za nini?? Siyo kuja kuanza kufadhiri magaidi hapa nchini si umeona kuna watz watatu wamefikishwa mahakamani jana kwa tuhuma za ugaidi!!Ina maana siku hizi donors kutuma hela kwa wadau hairuusiwi tena kwan mboga mboga mnaogopa nini
Mbona wakati Kituo hiki kinapata pesa hio ilitangazwa katika vyombo vya habari? Haikufanyika kwa kificho na ilielezwa makusudi ya pesa hizo. Hao donors walitangaza fursa ya ruzuku hio, Kituo kikapeleka proposal kikapata. Shida iko wapi? Au wanataka zikajenge reli? Kama hazitaki basi wazirudishe zilikotoka!Dah hii ni Tanzania.Kaka yangu Ole Ngurumwa hata wakizuia Pesa.lazima tutawanyoosha tu kwenye sanduku la kura ije jua ije mvua.
Nchi zingine wanakaribisha fedha kama hizo kama uwekezaji,mradi tu taratibu wezeshi ziingie kihalali na kukaguliwa zinafanya nini zikishaingia.Hapa kwetu muda siyo mrefu ukiwa na fedha Benki zinaweza kuchukuliwa na mamlaka kwa visingizio visivyo na mashiko. Tunapopambana na adui umaskini huku tunakataa raslimali ikiwemo misaada ya Diaspora au uraia wa nchi mbil(Duo-Citizenship),yote hiyo ni kuwafungia wasomi na watu wajanja ili wasije kuwafumbua Watanzania macho kuhusu Dunia inavyoendeshwa kisayansi huku tukihakikisha wananchi wanabaki gizani.Ujinga ni mtaji wa CCM na Umaskini wetu ni silaha ya kujilinda na Ujinga ndiyo Jela ya Watanzania.Wanaogopa zitatumika kumsaidia kijana mtukutu kufanya kampeni kuna muda nawaza nimezaliwa Tz bahati mbaya au makusudi ila najikuta naichukia tu nchi yangu kwa ujinga mwingi badala ku focus na mambo ya msingi na yenye mantiki siasa tu mda wote
Mkuu
Utakufa kwa vidonda vya tumbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Safi sana.IGP Sirro amesema jeshi la polisi linakichunguza Kituo cha Kutetea Haki za Binadamu kinachoongozwa na Ole Nguruma baada ya kituo hicho kupokea kiasi kikubwa cha fedha kutoka nje.
Sirro amesema kwa mwaka huu pekee kuanzia mwezi January kituo hicho kimepokea takriban Tsh. bilioni 6 kutoka nje hivyo Jeshi linataka kujiridhisha uhalali wa fedha hizo zisijekutumika kwa nia ovu ikiwemo ugaidi na utakatishaji.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Maendeleo hayana vyama!
Diplomatic language ni shida Tanzania.
Kulikuwa na namna nyingi za kutolea maelezo kwanini serikali imeamua kuchunguza.
Mfano IGP angeweza sema historical income and expenditure ya taasisi inaonyesha funding ya mwaka huu ni kubwa sana kushinda previous years kwa ivyo serikali inataka kujua kwanini wakati hakuna ushahidi wa kuongezeka kwa huduma zao unaoenda sambasamba na ukubwa wa funding iliyoingia ndani ya mwaka.
Kwa sababu iyo serikali inachunguza kama kuna fraud activities ambapo taasisi ime overstate it’s budget ili kujipatia hela zaidi kwa makusudi ya watu wachache wajinufaishe, au kuna money laundering, au kuchunguza source ya hizo hela kama zinatoka kwa regular funders wa kila siku.
Yote hayo ni kwenye kazi ya jeshi la polisi (serious fraud unit) kuhakikisha matumizi ya hizo hela zinaenda kutumika kulingana na budget iliyopangwa na taasisi, katiba yao na sio mambo mengine kinyume na shughuli za usajili wao au sheria za Tanzania
Sababu alizotoa Sirro sio za ki IGP ni za level ya mtu kama Musiba petty and the explanation given is not in per with top civil servants language anatakiwa ajue kutumia diplomatic language.
Unasema wale wa madaraja?KITUO CHA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU, kuna watu hawapendi kabisa kusikia hilo neno.
Sheria ya utakatishaji wa pesa inalazimisha uchunguzi ufanyike kabla kuruhusu kutumika hizo pesa. Uchunguzi kama huo ni kawaida ila haitangazwi.Ina maana siku hizi donors kutuma hela kwa wadau hairuusiwi tena kwan mboga mboga mnaogopa nini
Hawaichukui wanataka wajue matumizi yake ...alichokosea ni kutangaza public ila nchi zote taasisi isiyo ya kiserikali ikipokea fedha za mashaka wanafatilia hata wasipotangazaUonevu usio na maana
Tulia tumalize Uchaguzi.Wacha UZWAZWA!