Fidia ya nni? Hilo jambo lipo kisheria kabisa.Utawalipa fidia ukikuta ni halali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fidia ya nni? Hilo jambo lipo kisheria kabisa.Utawalipa fidia ukikuta ni halali?
Africa hamnaga haki, haki ni siku ukifa - Geneza lako pale unasikia - Katangulia mbele ya HAKI.Haki za binadamu siyo kipaumbele cha serikali za Kiafrika.
Tukisema intel yenu iko very weak mnapiga kelele sasa mko under watchdog sijui kama mtavusha ata mia, Muda ni mwalimu tunawasubiri mpitishe bakuliChadema hizi pesa walitakiwa waziingize hata mwaka jana au wangeangalia Taasisi nyingine kuliko kumtumia huyu Ole Ngurumwa ambaye anajulikana yuko upande gani.
Kuliko saiz hizi pesa kuziingiza zote mwaka huu.!
Mkuu njia za magaidi ni nyingi. Unaweza kuta hizo ni hela za kuvuruga amani. Tena wakomae nao kabisa.Ina maana siku hizi donors kutuma hela kwa wadau hairuusiwi tena kwan mboga mboga mnaogopa nini
Hivi Snowden ni muafrika?Africa hamnaga haki, haki ni siku ukifa - Geneza lako pale unasikia - Katangulia mbele ya HAKI.
Ukiwa duniani hasa Africa - Haki yako ipo kaburini.
Hio IGP ku announce Public ni Wake up call kuwa Ivi NGO vyote viwe aware visije kutumika Kuvusha mpunga kiholela haswa kipindi hichi kuelekea uchaguzi hizo inshu zipo sana na hazikuwa kuwa announced publiclyNchi zingine wanakaribisha fedha kama hizo kama uwekezaji,mradi tu taratibu wezeshi ziingie kihalali na kukaguliwa zinafanya nini zikishaingia.Hapa kwetu muda siyo mrefu ukiwa na fedha Benki zinaweza kuchukuliwa na mamlaka kwa visingizio visivyo na mashiko. Tunapopambana na adui umaskini huku tunakataa raslimali ikiwemo misaada ya Diaspora au uraia wa nchi mbil(Duo-Citizenship),yote hiyo ni kuwafungia wasomi na watu wajanja ili wasije kuwafumbua Watanzania macho kuhusu Dunia inavyoendeshwa kisayansi huku tukihakikisha wananchi wanabaki gizani.Ujinga ni mtaji wa CCM na Umaskini wetu ni silaha ya kujilinda na Ujinga ndiyo Jela ya Watanzania.
Hii Nchi ni Yetu sote,Kituo cha Haki za Binadamu kinahitaji fedha za Uendeshaji,Serikali inayojitambua ingekipatia fedha ila hapa kwetu ni kinyume chake.Wakipata fedha toka kwa Wasamaria wema pia inakuwa nongwa?Kazi ya Kutetea Haki za Binadamu haisadii Serikali ya CCM?Nani hasa anayevunja Haki za Binadamu?Serikali haiwezi kuweka namna ya kufanya ukaguzi wa mapato/matumizi ya NGO's zinazofanya kazi nchini?Sheria zilizoanzisha hizo NGO inasemaje?Taratibu,Sheria na Kanuni zilizoanzisha hizi taasisi zinaruhusu Disputes zake kuwekwa Public kwa jinsi hiyo hata kabla ya Uchunguzi?Hapo wanataka kusema wameshatoa hint kwa wachunguzi/wapelelezi kuwa ni aina gani ya matokeo ya uchunguzi yanatarajiwa na watawala.Hawawezi kuja na hoja zitakazoonyesha kuwa IGP alikurupuka kuutangazia umma jambo ambalo hajalifanyia utaifiti wa kutosha.
Sifahamu aina hii ya Uongozi inayotumika na huyu Kamanda na Watawala wetu inaitwaje?Democratic,Autocratic,Buerocratic,Laizer's Fare or Dictatorship type of Admistration?
unaelewa maana ya hii sentensi?Hivi Snowden ni muafrika?
Mnahold kwa vigezo vya kuwashukia kutakatisha fedha?Je,kituo hicho kilisajiliwa baada ya kuzingatia sheria,vyanzo vyao vya mapato viliwekwa wazi?Taasisi hii ina umri gani sasa?Fedha walizopokea ni mara yao ya kwanza?Ukimaliza huo uchunguzi utakuta hizo fedha zote hazipo. Dawa kuzifungia kwanza ukimaliza uchunguzi kama ni halali unaziachia. Kama zina walakini unazihold mpaka waseme Meeee kama mbuzi
Hayo Maswali yako yote nadhani ndo polisi wanataka kuyajuaMnahold kwa vigezo vya kuwashukia kutakatisha fedha?Je,kituo hicho kilisajiliwa baada ya kuzingatia sheria,vyanzo vyao vya mapato viliwekwa wazi?Taasisi hii ina umri gani sasa?Fedha walizopokea ni mara yao ya kwanza?
Kivipi hasa?Fafanua tafadhali,ugaidi upo Tanzania?Mkuu njia za magaidi ni nyingi. Unaweza kuta hizo ni hela za kuvuruga amani. Tena wakomae nao kabisa.
Lisu ni gaidiKivipi hasa?Fafanua tafadhali,ugaidi upo Tanzania?
Una ushahidi wa hiyo tuhuma?Unaweza kuisaidia nchi endapo utawasilisha ushahidi wa hilo.Unapokaa kimya au kuleta taarifa JF badala ya vyombo vya kusimamia sheria unastahili kushtakiwa kwa kuficha ushahidi kwa kukusudia,wewe utakuwa msaliti.Yakitokea mashamulizi ya kigaidi nafsi yako itakuwa huru?Lisu ni gaidi
Inabidi ukaisikilize interview yenyewe aliyofanya BBC ili uelewe perspective yangu.Kwa nini unataka IGP atoe maelezo kwa namna unayotaka wewe wakati kosa lililotendwa na taasisi ni la kisheria? Sheria ya udhibiti wa fedha za wafadhiri kwa NGO's/vyama vya siasa, imetungwa na bunge na kazi ya polisi ni kusimamia utekelezaji wa sheria.
Na ndio haohao tuliowapongeza baada ya kuonyesha weled wakat wa kumsindikiza lisu akitafuta wadhaminHawa Polisi wakikwambia 10 usishike hata moja. Ndiyo hawa hawa wanabambikia kesi FAKE Watanzania wengi wasio na hatia hivyo hata huu ushahidi wao pia unaweza kuwa ni FAKE. Kumbukeni kesi chungu nzima FAKE walizobambikiwa Watanzania mbali mbali ikiwemo yule Kabendera na kusababisha kifo cha mama yake mzazi.
johnthebaptist,
Labda kipind hiki wamepokea nying tofaut na wanavyopewagaHivi kwa taasisi kama ile Billioni 6 ni nyingi sana eeeh?
kwanza wakuu ingekua vizuri mwenye kujua atujuze kwamaba hasa kipindi kama hichi tunapoelekea uchaguzi ni yapi huwa ni majukum ya taasisi kama izi ingetusaidia kupata mwangaHivi taasisi kama hivyo bil 6 ni fedha nyingi? Mmepitia proposal zao kujua hivyo bil 6 waliomba kwa mchanganuo gani? Onesmo ni mtetezi wa haki za Binadmu kweli,polisi acheni kutumika na wanasiasa.
Labda hao wanaotetewa wamelalamika fedha zao kutowafikia?Ina maana siku hizi donors kutuma hela kwa wadau hairuusiwi tena kwan mboga mboga mnaogopa nini
mkuu sikia chadema mpaka sasa wakitaka bil 20 ndani ya siku tano kwa kuchangiwa na wananchi wanapata mkuu, ni swala la wao kutangaza tu basi , so hawawezi kukosa pesa na hata hivyo wamejipanga mda mrefu na sio ajabu yanayotokea leo waliyajua hata miaka miwili kabla,Baada ya hizi pesa kupigwa pin, naona chadema wehairisha ziara zao za kutafuta udhamini mkoa wa songea.
Naunganisha tu dots
Mwisho utasema nia ya polisi. Wanafikiri kuwa hiyo pesa ni ya kusaidia kampeni ya TAL?Hicho ni kituo cha kutetea haki za Chadema
Sawa kabisa mkuu. Yeye anadhani wana-CHADEMA na viongozi wao ni vilaza. They know Precise Planning (PP).mkuu sikia chadema mpaka sasa wakitaka bil 20 ndani ya siku tano kwa kuchangiwa na wananchi wanapata mkuu, ni swala la wao kutangaza tu basi , so hawawezi kukosa pesa na hata hivyo wamejipanga mda mrefu na sio ajabu yanayotokea leo waliyajua hata miaka miwili kabla,