Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
comical ally katika ubora wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama jiwe.Kuna watu wana allergy na 'haki za binadamu'
soma sheria ya Utakitashi wa fedha, na sheria ya ugaidi, zinawapa mamlaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujiridhisha na upokeaji au utumaji wa fedha kutoka nchi/ mtu/taasisi moja kwenda nchi/mtu/ taasisi nyingine.Bilioni 6 si ni pesa ya mboga.
Au wao polisi wanataka hicho kituo cha haki za binadamu wasipokee pesa toka kwa mabeberu wao watatoa ruzuku?
Sana Mkuu alafu kwa Shirika la kutetea haki sijui anatagemea Shirika kama lile litoe Mil 2 kwa miaka 2 au??? Ni umaskini tu na kujipendekeza kwa magu aonekane anafanya kaziiiBilion 6 hela nyingi?
Kuzaliwa masikini shida sana.
soma sheria ya Utakitashi wa fedha, na sheria ya ugaidi, zinawapa mamlaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujiridhisha na upokeaji au utumaji wa fedha kutoka nchi/ mtu/taasisi moja kwenda nchi/mtu/ taasisi nyingine.
soma sheria ya Utakitashi wa fedha, na sheria ya ugaidi, zinawapa mamlaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujiridhisha na upokeaji au utumaji wa fedha kutoka nchi/ mtu/taasisi moja kwenda nchi/mtu/ taasisi nyingine.
Kwenye sheria ya Anti Money Laundary(AML) kuna guideline inayosisitiza kitu kinaitwa Customer due deligency(CCD) kimataifa inaitaka nchi ambayo pesa zinaingia kwa njia ya wire transfer or any other, zichunguzwe ili kujiridhisha kama pesa zimeingia si kwa lengo la kufund terrorism activities. Nchi ambayo pesa zinaingia isipofanya hivyo na kutoa report kwa nchi wanachama wengine basi iwapo nchi ambako pesa zimetoka ikifanya hivyo na ikagundulika pesa zina harufu mbaya, basi Tanzania itaingia kwenye matatizo.soma sheria ya Utakitashi wa fedha, na sheria ya ugaidi, zinawapa mamlaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujiridhisha na upokeaji au utumaji wa fedha kutoka nchi/ mtu/taasisi moja kwenda nchi/mtu/ taasisi nyingine.
ni kweli ni muhimu kuchunguza lakini ni lazima pia mamlaka zetu zisome wakati ukutami. Sasa hivi itaonekana ni politically-orchestrated moveSometime transfers kama hizi hutumika katika utakatishaji pesa na kufund vikundi vya kigaidi.
Siyo jambo baya kuchunguza ila tu kwa nchi yetu ilipofikia itaonekana kama vile kuna rafu inataka kuchezwa.
Ni baada ya unga kuzidiwa na majiNa ndio haohao tuliowapongeza baada ya kuonyesha weled wakat wa kumsindikiza lisu akitafuta wadhamin
Kwa kazi gani waliyowapa, patheticBilioni 6 si ni pesa ya mboga.
Au wao polisi wanataka hicho kituo cha haki za binadamu wasipokee pesa toka kwa mabeberu wao watatoa ruzuku?
Kwa nini Leo? Kwa nini sasa?Sometime transfers kama hizi hutumika katika utakatishaji pesa na kufund vikundi vya kigaidi.
Siyo jambo baya kuchunguza ila tu kwa nchi yetu ilipofikia itaonekana kama vile kuna rafu inataka kuchezwa.
Kumbe!Hicho ni kituo cha kutetea haki za Chadema
Jifunze kuandika kwanza ndo uje kucomment
Narudia tena, kajifunze kuandika kiswahili au rudi kwenu kwa wahutu[emoji1437][emoji1437][emoji1437] pokwea zawidi [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji2][emoji2][emoji2]
Panic button.....[emoji1787]Narudia tena acha UZWAZWA
Umepaniki mkuuAfrica hamnaga haki, haki ni siku ukifa - Geneza lako pale unasikia - Katangulia mbele ya HAKI.
Ukiwa duniani hasa Africa - Haki yako ipo kaburini.
Ana digrii ya sheria llbAcha wivu huku wajua.. hawuna jipya.. elimu yake.. wewe hujamufikia.. kaa ulie sasa..
Upelelezi gani unatangazwa kama tangazo,acha kua mpumbavu na lofa...police wamepiga pesa nyingi awamu hii,uchunguzi wa lugumi umefikia wapi?Kwani hizo hela wewe unajua zimetoka wapi na zilikuwa na kazi gani?