IGP Sirro: Tunakichunguza Kituo cha Kutetea Haki za Binadamu baada ya kupokea fedha nyingi takriban Tsh. bilioni 6 kutoka nje

Bilioni 6 si ni pesa ya mboga.

Au wao polisi wanataka hicho kituo cha haki za binadamu wasipokee pesa toka kwa mabeberu wao watatoa ruzuku?
soma sheria ya Utakitashi wa fedha, na sheria ya ugaidi, zinawapa mamlaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujiridhisha na upokeaji au utumaji wa fedha kutoka nchi/ mtu/taasisi moja kwenda nchi/mtu/ taasisi nyingine.
 
Bilion 6 hela nyingi?

Kuzaliwa masikini shida sana.
Sana Mkuu alafu kwa Shirika la kutetea haki sijui anatagemea Shirika kama lile litoe Mil 2 kwa miaka 2 au??? Ni umaskini tu na kujipendekeza kwa magu aonekane anafanya kaziii
 
Hilo shirika halijaanza kazi leo wala kupokea 6B sio wameanza mwaka huu,au hizo sheria zimetungwa 2020?
soma sheria ya Utakitashi wa fedha, na sheria ya ugaidi, zinawapa mamlaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujiridhisha na upokeaji au utumaji wa fedha kutoka nchi/ mtu/taasisi moja kwenda nchi/mtu/ taasisi nyingine.
 
Hilo shirika halijaanza kazi leo wala kupokea 6B sio wameanza mwaka huu,au hizo sheria zimetungwa 2020?
soma sheria ya Utakitashi wa fedha, na sheria ya ugaidi, zinawapa mamlaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujiridhisha na upokeaji au utumaji wa fedha kutoka nchi/ mtu/taasisi moja kwenda nchi/mtu/ taasisi nyingine.
 
soma sheria ya Utakitashi wa fedha, na sheria ya ugaidi, zinawapa mamlaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujiridhisha na upokeaji au utumaji wa fedha kutoka nchi/ mtu/taasisi moja kwenda nchi/mtu/ taasisi nyingine.
Kwenye sheria ya Anti Money Laundary(AML) kuna guideline inayosisitiza kitu kinaitwa Customer due deligency(CCD) kimataifa inaitaka nchi ambayo pesa zinaingia kwa njia ya wire transfer or any other, zichunguzwe ili kujiridhisha kama pesa zimeingia si kwa lengo la kufund terrorism activities. Nchi ambayo pesa zinaingia isipofanya hivyo na kutoa report kwa nchi wanachama wengine basi iwapo nchi ambako pesa zimetoka ikifanya hivyo na ikagundulika pesa zina harufu mbaya, basi Tanzania itaingia kwenye matatizo.
Kinachofanywa na jeshi la polisi ni matakwa ya sheria za kimataifa za kuzuia ugaidi ambazo Tanzania imeridhia kuziheshimu. so kuweni wapole dawa iwaingia
 
Sometime transfers kama hizi hutumika katika utakatishaji pesa na kufund vikundi vya kigaidi.

Siyo jambo baya kuchunguza ila tu kwa nchi yetu ilipofikia itaonekana kama vile kuna rafu inataka kuchezwa.
ni kweli ni muhimu kuchunguza lakini ni lazima pia mamlaka zetu zisome wakati ukutami. Sasa hivi itaonekana ni politically-orchestrated move
 
Sometime transfers kama hizi hutumika katika utakatishaji pesa na kufund vikundi vya kigaidi.

Siyo jambo baya kuchunguza ila tu kwa nchi yetu ilipofikia itaonekana kama vile kuna rafu inataka kuchezwa.
Kwa nini Leo? Kwa nini sasa?
 
Myopic , ina maana anajua miradi ya donor inaingiza fedha gani kwa hii miradi? Akaangalie accounts za ngo za HIV/AIDS si atazimia!
 
Africa hamnaga haki, haki ni siku ukifa - Geneza lako pale unasikia - Katangulia mbele ya HAKI.

Ukiwa duniani hasa Africa - Haki yako ipo kaburini.
Umepaniki mkuu

Tulia uchunguzi ukamilike
 
Kwani hizo hela wewe unajua zimetoka wapi na zilikuwa na kazi gani?
Upelelezi gani unatangazwa kama tangazo,acha kua mpumbavu na lofa...police wamepiga pesa nyingi awamu hii,uchunguzi wa lugumi umefikia wapi?
 
Back
Top Bottom