Chadema buana, sasa mkeo akikuomba hela ya kusuka ndio unakuja kunitag Mimi mama D ππππUnaombaje Hela ya Kusuka wakati nchi Ipo kwenye uchaguzi mkuu?
Hivi wanawake wa ccm Mbona mnakosa Uzalendo Jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
ccm wamepoteana sasa kilichobaki ni kuwatumia polisi wa ccm kuchokoza wapinzani ili wakijibu wasingizie wameleta fujo wapate kisingizio cha kuwapiga kuwaonea kuwafanyizia vyote walivyotumwa na ccm yaoChadema buana, sasa mkeo akikuomba hela ya kusuka ndio unakuja kunitag Mimi mama D ππππ
Haya sema shida za mke wako zote makomred waje wakusaidie Crimea MAGUFULI MAGUFULI Kawe Alumni johnthebaptist TUJITEGEMEE waje wakusaidie
Wakuu nimewatag kuna mtu anaomba pesa mkewe akasuke hukuπ€£π€£π€£π€£π€£
Nguvu ya umma ni tofauti na genge la watu wachache wahalifu ,tofautisha,shuleni mlienda kusomea upumbavu?Sirro huwezi ku deal na nguvu ya umma.
Nguvu ya umma ni tofauti na genge la watu wachache wahalifu ,tofautisha,shuleni mlienda kusomea upumbavu?
Kila ikifika wakati wa uchaguzi yanarudiwa maneno hayo hayo ya kuwajengea watu hofu lakini hakuna hata mwaka mmoja kulitokea viashiria vya fujo.Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema hadi sasa wananchi wengi wamekuwa watulivu licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu wachache walioandaliwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa ajili ya kufanya vurugu na kujiingiza kwenye uhalifu.
IGP Sirro amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na kuwataka baadhi ya viongozi kufanya masuala ya siasa na kuacha kuwatumia vijana na kuwaingiza kwenye uhalifu na kwamba yeyote atakayebainika atachukuliwa hatua za kisheria.
Kuhusu upigaji wa kura Zanzibar, IGP Sirro amesema, wapo baadhi ya watu wanaohamasisha baadhi ya watu au kikundi cha watu kuvunja sheria wakati wa zoezi la upigaji kura kinyume cha sheria, kanuni na taratibu zilizopo.
IGP usikonde. Himiza NEC kutenda haki na amani itatamalaki. La sivyo itabidi utumie "nuclear Weapon" kuwaondosha wasiotendewa haki.Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema hadi sasa wananchi wengi wamekuwa watulivu licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu wachache walioandaliwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa ajili ya kufanya vurugu na kujiingiza kwenye uhalifu.
IGP Sirro amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na kuwataka baadhi ya viongozi kufanya masuala ya siasa na kuacha kuwatumia vijana na kuwaingiza kwenye uhalifu na kwamba yeyote atakayebainika atachukuliwa hatua za kisheria.
Kuhusu upigaji wa kura Zanzibar, IGP Sirro amesema, wapo baadhi ya watu wanaohamasisha baadhi ya watu au kikundi cha watu kuvunja sheria wakati wa zoezi la upigaji kura kinyume cha sheria, kanuni na taratibu zilizopo.
Hakuna busara bila haki.Busara itumike
Huyo hana jipya ataishi kwa kuamrishwa mpka na mashetaniMkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema hadi sasa wananchi wengi wamekuwa watulivu licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu wachache walioandaliwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa ajili ya kufanya vurugu na kujiingiza kwenye uhalifu.
IGP Sirro amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na kuwataka baadhi ya viongozi kufanya masuala ya siasa na kuacha kuwatumia vijana na kuwaingiza kwenye uhalifu na kwamba yeyote atakayebainika atachukuliwa hatua za kisheria.
Kuhusu upigaji wa kura Zanzibar, IGP Sirro amesema, wapo baadhi ya watu wanaohamasisha baadhi ya watu au kikundi cha watu kuvunja sheria wakati wa zoezi la upigaji kura kinyume cha sheria, kanuni na taratibu zilizopo.
SaitakuajeHakuna busara bila haki.