IGP Sirro: Ukiwa na mtoto mhalifu halafu usitoe ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama wewe ni tatizo kwa Watanzania

Nyani haoni kundule, yeye ni hasara kwa u-IGP wake kwa taifa kama Hamza alivyo hasara kwa wazazi wake
 
Kwa muonekano wa yule gaidi askari walifanya makosa kumuamini
Ndo nnachoshangaa,muuaji kaua kapora bunduki bado mnamfata na akawa front kindezindezi.
Huyo alishapagawa pale kajua hachomoki kaona aondoke nao tu.
Ilikua mida hiyo polisi wawe makini sana na huyo mtu.

Wamemfata kijinga kawamaliza nasijui ukweli ni upi maana kuna madai ya muuaji kuporwa madini ndio kawehuka.

Polisi tabia hiyo wanayo.
Miaka mingi nyuma buguruni pale nasubiri bus la gongolamboto sa tano usiku wakanikamata twende kituoni najaribu kujieleza hamna wakaniunga tu na vibaka waliisomba mtaani huko polisi nikapigwa sachi wakalamba hela zote mda wananitoa masharti nisiulize maswali nikapewa 80elfu wakati nilikabidhi 187000.

Simu yangu motorola ya saa hawakunirudishia.
 

ccm nako kuna ugaidi kumbe?
 

Duu anamanisha barakashia aliyovaa jamaa nini?
 
Asante sana mzee wetu Siro maana hawa magaidi wamezidi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…