NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Aseme dhahabu ya Hamza iko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro wakati akitoa salamu za jeshi la polisi kwenye msiba wa polisi waliouawa na jamaa aliyejulikana kwa jina la Hamza , ametoa wito kwa jamii kuwa makini na watoto wao kwani kama ikitokea ukawa na mtoto gaidi na anayefanya mambo ya hovyo hovyo kama aliyokuwa anafanya Hamza andika maumivu kwani vyombo vya usalama vikimpata hatabaki salama.
Ndo nnachoshangaa,muuaji kaua kapora bunduki bado mnamfata na akawa front kindezindezi.Kwa muonekano wa yule gaidi askari walifanya makosa kumuamini
wanawatengeneza kivipiAmbacho hakijui hao anaowaita vijana wa hovyo ndio wamejaa mtaani na polisi kwa % kubwa ndio wanawatengeza hao vijana wa hovyo
Alipokuwa (kwenye video clip) akiendelea kumiminiwa rasasi kibao hadi umauti, baada ya kuanguka chini kwa rasasi ya kwanza, basi wengine tukajua hiyo huenda ni namna fulani ya mbinu ya funika juu (cover-up).Madini ya huyu gaidi Hamza yarejeshwe
Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro wakati akitoa salamu za jeshi la polisi kwenye msiba wa polisi waliouawa na jamaa aliyejulikana kwa jina la Hamza , ametoa wito kwa jamii kuwa makini na watoto wao kwani kama ikitokea ukawa na mtoto gaidi na anayefanya mambo ya hovyo hovyo kama aliyokuwa anafanya Hamza andika maumivu kwani vyombo vya usalama vikimpata hatabaki salama.
Basi pata hata darasa la uandishi kwanza.wanawatengeneza kivipi
"Huwa nawaambia siku zote, usicheze na mtu wa hovyo hovyo, usimwamini kila mtu. Walipomuona huyu mtu wa hovyo hovyo Hamza anawasogelea, walijua ni Mtanzania wa kawaida, kumbe alikuwa na pistol na akafanya alichofanya."- IGP Simon Sirro katika ibada ya kuaga miili ya askari wanne https://t.co/wboL2HHZVt
Hii ndio tabu yake , angesubiri uchunguziAmeshahukumu kabla ya ripoti ya uchunguzi
Halafu wewe ukivamiwa utakimbilia kwa HamzaMpaka vije vimpate kashawapunguza wa 4
Asante sana mzee wetu Siro maana hawa magaidi wamezidi sanaMkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro wakati akitoa salamu za jeshi la polisi kwenye msiba wa polisi waliouawa na jamaa aliyejulikana kwa jina la Hamza , ametoa wito kwa jamii kuwa makini na watoto wao kwani kama ikitokea ukawa na mtoto gaidi na anayefanya mambo ya hovyo hovyo kama aliyokuwa anafanya Hamza andika maumivu kwani vyombo vya usalama vikimpata hatabaki salama.