IGP Sirro: Ukiwa na mtoto mhalifu halafu usitoe ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama wewe ni tatizo kwa Watanzania

Ni tatizo aisee, yaani jamaa kakuta watatu na kaua wote, ina maana silaha zao pia hazikuwa standby..ndio zile unawakuta wanapiga story halafu silaha wameweka chini.. angalau angeua mmoja then wengine wange react chap chap..wakammaliza.
 
Kwa hiyo uchunguzi kumbe umekamilika na kuwa HAYATI SHUJAA HAMZA ni gaidi

Sasa IGP atuambie SHUJAA WA MIOYO YA WATU HAMZA kundi lake la kigaidi ni lipi tujue mapema

Bongo weledi ni hovyo Sana ukiuliza ripot inayosapoti HAMZA ni gaidi iko wapi hawana majibu

Hopeless IGP

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Vipi na wale vijana wake waliomshambulia lissu mchana kweupe anasemaje, tena Shujaa Hamza kakosea angewasubilia pale mahakamani kisutu awatandike vizuri, wanne sio kabisa.
 
Je wakati fedha za marhum Hamza zinatumiwa na Chama kile aliitwa jina gani? Kilichonishangaza ni pale Yuda Polepole alipomkana hadharani Hamza kana kwamba hawajapata kuonana!!!
 
Huyu baba huyu! Kama alivyofanya kwa Mbowe. Anamalizia kabisa hukumu. Kakosa ethics kabisaa, ndio maana jeshi linakwenda bora liende.
Nilipata kusikia zamani kamanda mmoja akiitwa Inspekta Maguzu nilipouliza kisa wakasema alipenda kutatua matatizo kwa nguvu kuliko weledi.

Tuna tatizo mahala fulani nadhani kuna unyimi wa haki au chuki zinajengwa ama kukuzwa badala ya kuungana ili uhalifu utokomezwe
 
Sijaelewa alidhulumiwaje madini? madini unatembea nayo mkononi? kama alikuwa anatembea nayo mkononi acha wayachukue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…