Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni ubaya wowote hapo kutoka kwa Siro maana huyo Hamza ni mwana ccm kindakindakiHatoshi.
Keshamuhukumu ni Gaidi, halafu watanzania mtegemee taarifa ya kina na ya kitaalamu ya uchunguzi wa hili tukio kutoka kwa Jeshi la Polisi Tanzania.
Poleni.
Huwa namalizana na wavamiziAlafu wewe ukivamiwa utakimbilia kwa Hamza
Ni tatizo aisee, yaani jamaa kakuta watatu na kaua wote, ina maana silaha zao pia hazikuwa standby..ndio zile unawakuta wanapiga story halafu silaha wameweka chini.. angalau angeua mmoja then wengine wange react chap chap..wakammaliza.Well trained askali and equiped asingeweza pigwa risasi, askali wetu wako na mazoea mabaya. Wengi ffu ni form four pass mark, unamupeleka Police hata reasoning ya mazingira ya kazi kama alishindwa shule uko, sawa atamaliza kozi atapangiwa kituo Cha kazi yanarudi yale yale ya form four division four.
Aseme dhahabu ya Hamza iko wapi?
Vipi na wale vijana wake waliomshambulia lissu mchana kweupe anasemaje, tena Shujaa Hamza kakosea angewasubilia pale mahakamani kisutu awatandike vizuri, wanne sio kabisa.Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro wakati akitoa salamu za jeshi la polisi kwenye msiba wa polisi waliouawa na jamaa aliyejulikana kwa jina la Hamza , ametoa wito kwa jamii kuwa makini na watoto wao kwani kama ikitokea ukawa na mtoto gaidi na anayefanya mambo ya hovyo hovyo kama aliyokuwa anafanya Hamza andika maumivu kwani vyombo vya usalama vikimpata hatabaki salama.
Huenda ARV zimeanza kufeli..
Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro wakati akitoa salamu za jeshi la polisi kwenye msiba wa polisi waliouawa na jamaa aliyejulikana kwa jina la Hamza , ametoa wito kwa jamii kuwa makini na watoto wao kwani kama ikitokea ukawa na mtoto gaidi na anayefanya mambo ya hovyo hovyo kama aliyokuwa anafanya Hamza andika maumivu kwani vyombo vya usalama vikimpata hatabaki salama.
Nilipata kusikia zamani kamanda mmoja akiitwa Inspekta Maguzu nilipouliza kisa wakasema alipenda kutatua matatizo kwa nguvu kuliko weledi.Huyu baba huyu! Kama alivyofanya kwa Mbowe. Anamalizia kabisa hukumu. Kakosa ethics kabisaa, ndio maana jeshi linakwenda bora liende.