Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Hata hivyo ni mtu mwema, Hata wewe ukichokozwa unaweza kukosa uvumilivu hata kufanya mambo ya ajabu. Ogopa kitu hasira.Hivi wewe unaweza kuwa na wasiwasi na kada wa chama? Naona picha zinapostiwa mara akiwa na polepole sasa hao askari pengine walijua ni mtu mwema tu
Dah! One day Tukutane mbinguni kwenye haki ya kweli, huku haki haipoMkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro wakati akitoa salamu za jeshi la polisi kwenye msiba wa polisi waliouawa na jamaa aliyejulikana kwa jina la Hamza , ametoa wito kwa jamii kuwa makini na watoto wao kwani kama ikitokea ukawa na mtoto gaidi na anayefanya mambo ya hovyo hovyo kama aliyokuwa anafanya Hamza andika maumivu kwani vyombo vya usalama vikimpata hatabaki salama.
Nafikiri wabongo wengi mnamihemko sana. Mnapenda kushangilia vitu ambavyo havina maana kabisa na ni hatari vikiendelezwa.Hatoshi.
Keshamuhukumu ni Gaidi, halafu watanzania mtegemee taarifa ya kina na ya kitaalamu ya uchunguzi wa hili tukio kutoka kwa Jeshi la Polisi Tanzania.
Poleni.
Hahahahaha...Wazungu wawili ! huyu jamaa hii picha ilimvunjia uaminifu kwa zaidi ya 100%
hatukubaliKwa announcement hii tusubiri kupigwa Shaba mitaani
AlighafilikaMbona kama Vile ametangaza vita?
ni mwendo wa kuliana timing saivi au?
au mwandishi ndio kaiwasilisha vibaya?
View attachment 1911601
Nenda ukasimame na wewe wapige pembeniMbona kama kapanic inaonesha wazi ni kweli marehemu Hamza alikuwa na matatizo yake na polisi hakuwa na issue za ugaidi, na kibaya kawadhalilisha kweli polisi yani mtu kasimama tu katikati ya barabara ila polisi walikuwa wanapiga risasi pembeni sasa angekuwa gaidi kweli na angetaka kuwadhuru raia hali ingekuaje pale?
Mbona kama Vile ametangaza vita?
ni mwendo wa kuliana timing saivi au?
au mwandishi ndio kaiwasilisha vibaya?
View attachment 1911601