MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
kwa upande wa shabaha,Mbona kama kapanic inaonesha wazi ni kweli marehemu Hamza alikuwa na matatizo yake na polisi hakuwa na issue za ugaidi, na kibaya kawadhalilisha kweli polisi yani mtu kasimama tu katikati ya barabara ila polisi walikuwa wanapiga risasi pembeni sasa angekuwa gaidi kweli na angetaka kuwadhuru raia hali ingekuaje pale?
Yaani Mkuu umeshikilia bango kwelikweli Hizo Dhabu za Hamza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aseme dhahabu ya Hamza iko wapi?
Makada wa CCM wamekuwa watu wa hovyo hovyo?"Huwa nawaambia siku zote, usicheze na mtu wa hovyo hovyo, usimwamini kila mtu. Walipomuona huyu mtu wa hovyo hovyo Hamza anawasogelea, walijua ni Mtanzania wa kawaida, kumbe alikuwa na pistol na akafanya alichofanya."- IGP Simon Sirro katika ibada ya kuaga miili ya askari wanne https://t.co/wboL2HHZVt
Ungekuwa na huo ubavu mngeandamana basi ili gaidi lenu litokeNa mimi askari akinisogelea hata umbali wa mita 10 tu namuwasha moto.
Sirro alete ripoti "independent" ya uchunguzi wa kina alioagiza Mh. Rais. Hizi kauli zinaharibu na zinaingilia uchunguzi. Sirro anaelekea kumtupia lawama Hamza hata kabla ya uchunguzi kukamilika."Huwa nawaambia siku zote, usicheze na mtu wa hovyo hovyo, usimwamini kila mtu. Walipomuona huyu mtu wa hovyo hovyo Hamza anawasogelea, walijua ni Mtanzania wa kawaida, kumbe alikuwa na pistol na akafanya alichofanya."- IGP Simon Sirro katika ibada ya kuaga miili ya askari wanne https://t.co/wboL2HHZVt
Inawezekana kabisa anaongea vernacular language hapaHamjamuelewa Siro. Anamaanisha wanachama wa CCM wanaonekana watu wa ovyo ovyo tu
Biden akiendelea kujifaragua atapigwa tena kitu cha motoNa Biden nimemsikia pia kuhusu wanajeshi 13 waliokufa
Anasema Hatutasahau na hatutasamehe
Tutawawinda na kuwafanya mlipe”
Ila haya maneno ya kujifariji tu ya Biden
Umejuaje kama ni gaidi? Rais aliagiza uchunguzi wa kina, ripoti umeipata?Nachukia ugaidi.lakini Hamza kuna hisia flani hivi kaingiza kwa baadhi ya watu,hasa kwa watu wanochukia serikali kwa maumivu ya ongezeko la kodi,miamala,luku n,k.wanamuona Hamza yupo sawa hata kama gaidi.
Hakuna Ripoti hapo tena Jaji Sirro keshatoa hukumuAmeshahukumu kabla ya ripoti ya uchunguzi
Mjumbe wa halmashauli ya CCM anakuwaje mtu wa hovyo hovyo?yule ni mwenzao ndio mana alipowasogelea hawakuwa na Mashaka nae"Huwa nawaambia siku zote, usicheze na mtu wa hovyo hovyo, usimwamini kila mtu. Walipomuona huyu mtu wa hovyo hovyo Hamza anawasogelea, walijua ni Mtanzania wa kawaida, kumbe alikuwa na pistol na akafanya alichofanya."- IGP Simon Sirro katika ibada ya kuaga miili ya askari wanne https://t.co/wboL2HHZVt