IGP Sirro: Ukiwa na mtoto mhalifu halafu usitoe ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama wewe ni tatizo kwa Watanzania

IGP Sirro: Ukiwa na mtoto mhalifu halafu usitoe ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama wewe ni tatizo kwa Watanzania

Mbona kama kapanic inaonesha wazi ni kweli marehemu Hamza alikuwa na matatizo yake na polisi hakuwa na issue za ugaidi, na kibaya kawadhalilisha kweli polisi yani mtu kasimama tu katikati ya barabara ila polisi walikuwa wanapiga risasi pembeni sasa angekuwa gaidi kweli na angetaka kuwadhuru raia hali ingekuaje pale?
kwa upande wa shabaha,
Hakuna police pale mzee,
Mungu azidi kutulindawaTz..
 
"Huwa nawaambia siku zote, usicheze na mtu wa hovyo hovyo, usimwamini kila mtu. Walipomuona huyu mtu wa hovyo hovyo Hamza anawasogelea, walijua ni Mtanzania wa kawaida, kumbe alikuwa na pistol na akafanya alichofanya."- IGP Simon Sirro katika ibada ya kuaga miili ya askari wanne https://t.co/wboL2HHZVt
Makada wa CCM wamekuwa watu wa hovyo hovyo?
 
Kwa kauli hii ilipaswa kesho taarifa ya vyombo via habari Sirro kupangiwa majukumu mengine....

Mama anasubiro nini kumfurusha huyu IGP??
 
2900926_Dp4nlAIWwAIK1ho.jpg

kumwelewa sirro hadi uwe umelewa mbege
 
"Huwa nawaambia siku zote, usicheze na mtu wa hovyo hovyo, usimwamini kila mtu. Walipomuona huyu mtu wa hovyo hovyo Hamza anawasogelea, walijua ni Mtanzania wa kawaida, kumbe alikuwa na pistol na akafanya alichofanya."- IGP Simon Sirro katika ibada ya kuaga miili ya askari wanne https://t.co/wboL2HHZVt
Sirro alete ripoti "independent" ya uchunguzi wa kina alioagiza Mh. Rais. Hizi kauli zinaharibu na zinaingilia uchunguzi. Sirro anaelekea kumtupia lawama Hamza hata kabla ya uchunguzi kukamilika.
 
Ndio maana mnaambiwa muache kubambikia watu kesi ni mambo kama haya. Siro hatoshi kwenye hiyo nafasi rais samia fanya mabadiliko haraka sana.
 
Na Biden nimemsikia pia kuhusu wanajeshi 13 waliokufa
Anasema Hatutasahau na hatutasamehe
Tutawawinda na kuwafanya mlipe”

Ila haya maneno ya kujifariji tu ya Biden
 
Nachukia ugaidi.lakini Hamza kuna hisia flani hivi kaingiza kwa baadhi ya watu,hasa kwa watu wanochukia serikali kwa maumivu ya ongezeko la kodi,miamala,luku n,k.wanamuona Hamza yupo sawa hata kama gaidi.
 
Umejuaje kama ni gaidi? Rais aliagiza uchunguzi wa kina, ripoti umeipata?
Binafsi naona ilipaswa bunge liunde tume ya kuchunguza kiini hasa cha kisa cha Hamza. Ripoti hizo zitatusaidia siku za usoni.

Tuache tabia ya kuishi kama viumbe wasioona mbele na wasioweza kujifunza kutokana na yanayowatokea kila siku.
 
Nadhani hapo anawaonya polisi kua wakiendelea kuzubaa na kumuamini kila mtu katika maeneo yao ya kazi, watakufa kizembe.
 
"Huwa nawaambia siku zote, usicheze na mtu wa hovyo hovyo, usimwamini kila mtu. Walipomuona huyu mtu wa hovyo hovyo Hamza anawasogelea, walijua ni Mtanzania wa kawaida, kumbe alikuwa na pistol na akafanya alichofanya."- IGP Simon Sirro katika ibada ya kuaga miili ya askari wanne https://t.co/wboL2HHZVt
Mjumbe wa halmashauli ya CCM anakuwaje mtu wa hovyo hovyo?yule ni mwenzao ndio mana alipowasogelea hawakuwa na Mashaka nae
 
Back
Top Bottom