DOKEZO IGP tuokoe na wizi ulioibuka Arusha unatisha

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tanzania hii hunidanganyi shughuli zangu zimenifanya niwajue watanzania wote kwa kina

Majambazi wengi wa Arusha toka zamani wana asili ya kondoa hata ukienda mererani watu katili zaidi ni warangi ndio wanaongoza kwa natukio ya kuua

Duh! Mimi najuaga waarusha na wamasai ndiyo katili
 
Kumeibuka wizi mkoa wa Arusha unaotishia usalama wa wananchi wa kawaida na wafanyabiashara mbalimbali kuvamiwa na kuibiwa either kwa ujambazi wa kutumia pikipiki (tatu mzuka) ama kuibiwa manyumbani na wezi wa kawaida.

Wezi wa pikipiki ama tatu mzuka wamekuwa wakiwaibia watu kwa nguvu huku wakiwadhuru kwa kuwachoma visu ama spoko za baiskeli hata mchana kabisa, huku wakiwanyanganya vitu walivyobeba huku wananchi wa kawaida wakiogopa kuingilia kwa kuhofia maisha Yao.

Hawa wameua watu wengi sana wanojaribu kupambana nao ili kuzuia wizi.

Wezi wa pili ni wezi wa nyumbani na kuvamia sehemu za biashara. Hapa ndio watu wengi wanapoumizi watu zaidi .

Mfano.... Kata ya kimandolu imekumbwa na wezi wanaoiba kila nyumba na sehemu za biashara . Yaaani imekuwa kama imehalalishwa watu kuibiwa nyumba kwa nyumba na sehemu za biashara kila siku bila jeshi la polisi kuchukua hatua zozote za kuzuia wizi huo huku wakijua wahusika wa matukio yote ya wizi .

Mfano kwa kimandolu wanajua kuwa kuna kijana anaitwa ADAM ambaye amekuwa ni mwizi mkuu na ndiye anaye organize wizi wote unaotokea kimandolu. Mwezi watano mwaka Jana kama sijakosea kijana huyo alikamatwa akiwa amekodisha nyumba zaidi ya mbili zikiwa kama warehouse zake za kuifadhi vitu vyake anavyoibia wananchi.

Mwaka jana mwezi wa tano ama wa sita alikamatwa na laptop zaidi ya 30, pikipiki zaidi ya tano , generators zaidi ya kumi , tv haziesabiki na accessories kibao ila akaachiwa kutokana na polisi wasio waaminifu kutoa taarifa za whisle blowers waotoa taarifa. Hivyo wananchi waaogopa kwenda toa ushahidi mahakamani utakoweza kumtia hatiani kwa kuogopa kuja kuuliwa na mtuhumiwa.

Kinachotokea polisi wa doria na baadhi ya polisi central wanakuwa sehemu ya huu ujambazi unaotokea kila siku.

Huyu kijana na washirika wake wamekuwa tishio kwa Kimandolu na sehemu za karibu kwa sababu amekuwa na watu wake ndani ya Jeshi la polisi wanaompa taaarifa.

Chondechonde IGP tunaomba uingilie Kati wizi huu unaotusumbua mjini Arusha . Huyu kijana yupo well trained kiasi cha kwamba ana uwezo wa ku bypass camera na ana mavazi ya kujikinga na camera kutokana na polisi ambao wasio wema wamemtaarifu namna ya kujikinga ili asionekane kwenye camera sehemu mbalimbali anazokwenda kuiba.

Tunaomba IGP na viongozi waandamizi waaingilie kati kuingilia hili tatizo kwa mkoa wa Arusha maaana wananchi tumechoka .
Poleni sana, acheni kutusema wanaume wa dar
 
Nyie si mlikuwa mnawacheka wana daslam wanavyoteswa na panya road
 
waap uyo jamàa Adam alikimbia na anatafutwa sana na Polisi kwa matukio ambayo aliyafanya...sisi ambaye tulikua tunaishi nae karb ndio tunaujua ukweli....shida chuga siasa na fitina ndio zimetawala!!!
 
Hajakimbia mbona yupo na anajulikana anapatikana wapi. Wizi wote wa uvunjaji unaoendelea anaufanya yeye
 
Kumeibuka wizi mkoa wa Arusha unaotishia usalama wa wananchi wa kawaida na wafanyabiashara mbalimbali kuvamiwa na kuibiwa either kwa ujambazi wa kutumia pikipiki (tatu mzuka) ama kuibiwa manyumbani na wezi wa kawaida.

Wezi wa pikipiki ama tatu mzuka wamekuwa wakiwaibia watu kwa nguvu huku wakiwadhuru kwa kuwachoma visu ama spoko za baiskeli hata mchana kabisa, huku wakiwanyanganya vitu walivyobeba huku wananchi wa kawaida wakiogopa kuingilia kwa kuhofia maisha Yao.

Hawa wameua watu wengi sana wanojaribu kupambana nao ili kuzuia wizi.

Wezi wa pili ni wezi wa nyumbani na kuvamia sehemu za biashara. Hapa ndio watu wengi wanapoumizi watu zaidi .

Mfano.... Kata ya kimandolu imekumbwa na wezi wanaoiba kila nyumba na sehemu za biashara . Yaaani imekuwa kama imehalalishwa watu kuibiwa nyumba kwa nyumba na sehemu za biashara kila siku bila jeshi la polisi kuchukua hatua zozote za kuzuia wizi huo huku wakijua wahusika wa matukio yote ya wizi .

Mfano kwa kimandolu wanajua kuwa kuna kijana anaitwa ADAM ambaye amekuwa ni mwizi mkuu na ndiye anaye organize wizi wote unaotokea kimandolu. Mwezi watano mwaka Jana kama sijakosea kijana huyo alikamatwa akiwa amekodisha nyumba zaidi ya mbili zikiwa kama warehouse zake za kuifadhi vitu vyake anavyoibia wananchi.

Mwaka jana mwezi wa tano ama wa sita alikamatwa na laptop zaidi ya 30, pikipiki zaidi ya tano , generators zaidi ya kumi , tv haziesabiki na accessories kibao ila akaachiwa kutokana na polisi wasio waaminifu kutoa taarifa za whisle blowers waotoa taarifa. Hivyo wananchi waaogopa kwenda toa ushahidi mahakamani utakoweza kumtia hatiani kwa kuogopa kuja kuuliwa na mtuhumiwa.

Kinachotokea polisi wa doria na baadhi ya polisi central wanakuwa sehemu ya huu ujambazi unaotokea kila siku.

Huyu kijana na washirika wake wamekuwa tishio kwa Kimandolu na sehemu za karibu kwa sababu amekuwa na watu wake ndani ya Jeshi la polisi wanaompa taaarifa.

Chondechonde IGP tunaomba uingilie Kati wizi huu unaotusumbua mjini Arusha . Huyu kijana yupo well trained kiasi cha kwamba ana uwezo wa ku bypass camera na ana mavazi ya kujikinga na camera kutokana na polisi ambao wasio wema wamemtaarifu namna ya kujikinga ili asionekane kwenye camera sehemu mbalimbali anazokwenda kuiba.

Tunaomba IGP na viongozi waandamizi waaingilie kati kuingilia hili tatizo kwa mkoa wa Arusha maaana wananchi tumechoka .
Hapa ni swala la wananchi kuchukua sheria mikononi tu. Mnamlia timing hata kama ni mchana geto kwake mnamtia moto hadharani
 
Baadhi ya polisi wasio waaminifu especially wale wa doria wanaozunguka na zile diffender na magari mengine ya kiraia wamekuwa wakishirikiana na Hawa waaalifu ikiwemo hata kuwapa waalifu taarifa za siri .
Ndio maana JPM alikua ana deal sana na maaskari wababaifu, hadi wizi ulipungua
 
Kumeibuka wizi mkoa wa Arusha unaotishia usalama wa wananchi wa kawaida na wafanyabiashara mbalimbali kuvamiwa na kuibiwa either kwa ujambazi wa kutumia pikipiki (tatu mzuka) ama kuibiwa manyumbani na wezi wa kawaida.

Wezi wa pikipiki ama tatu mzuka wamekuwa wakiwaibia watu kwa nguvu huku wakiwadhuru kwa kuwachoma visu ama spoko za baiskeli hata mchana kabisa, huku wakiwanyanganya vitu walivyobeba huku wananchi wa kawaida wakiogopa kuingilia kwa kuhofia maisha Yao.

Hawa wameua watu wengi sana wanojaribu kupambana nao ili kuzuia wizi.

Wezi wa pili ni wezi wa nyumbani na kuvamia sehemu za biashara. Hapa ndio watu wengi wanapoumizi watu zaidi .

Mfano.... Kata ya kimandolu imekumbwa na wezi wanaoiba kila nyumba na sehemu za biashara . Yaaani imekuwa kama imehalalishwa watu kuibiwa nyumba kwa nyumba na sehemu za biashara kila siku bila jeshi la polisi kuchukua hatua zozote za kuzuia wizi huo huku wakijua wahusika wa matukio yote ya wizi .

Mfano kwa kimandolu wanajua kuwa kuna kijana anaitwa ADAM ambaye amekuwa ni mwizi mkuu na ndiye anaye organize wizi wote unaotokea kimandolu. Mwezi watano mwaka Jana kama sijakosea kijana huyo alikamatwa akiwa amekodisha nyumba zaidi ya mbili zikiwa kama warehouse zake za kuifadhi vitu vyake anavyoibia wananchi.

Mwaka jana mwezi wa tano ama wa sita alikamatwa na laptop zaidi ya 30, pikipiki zaidi ya tano , generators zaidi ya kumi , tv haziesabiki na accessories kibao ila akaachiwa kutokana na polisi wasio waaminifu kutoa taarifa za whisle blowers waotoa taarifa. Hivyo wananchi waaogopa kwenda toa ushahidi mahakamani utakoweza kumtia hatiani kwa kuogopa kuja kuuliwa na mtuhumiwa.

Kinachotokea polisi wa doria na baadhi ya polisi central wanakuwa sehemu ya huu ujambazi unaotokea kila siku.

Huyu kijana na washirika wake wamekuwa tishio kwa Kimandolu na sehemu za karibu kwa sababu amekuwa na watu wake ndani ya Jeshi la polisi wanaompa taaarifa.

Chondechonde IGP tunaomba uingilie Kati wizi huu unaotusumbua mjini Arusha . Huyu kijana yupo well trained kiasi cha kwamba ana uwezo wa ku bypass camera na ana mavazi ya kujikinga na camera kutokana na polisi ambao wasio wema wamemtaarifu namna ya kujikinga ili asionekane kwenye camera sehemu mbalimbali anazokwenda kuiba.

Tunaomba IGP na viongozi waandamizi waaingilie kati kuingilia hili tatizo kwa mkoa wa Arusha maaana wananchi tumechoka .
Tuma ujumbe huu kwa namba 0684111111 ni mawasiliano ya IGP Wambura utakua salama katika eneo lako. Taarifa zako ni siri hakuna atakaejuwa.
 
Back
Top Bottom