ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Siku ukifunaniwa itawauliza hayo maswali wafumaniziKwani amefanya kumwingilia kwa nguvu huyo mwanamke?
Kwani amefanya kumbaka?
Muomba anaweza kukubaliwa au kukataliwa.
Kwanini alikubali huyo mwanamke? Si angekataa tu.
Sasa hii kesi yako mkuu inazidi kuwa complicated. Me nikajua huyo mwanamke ni mtu wa hadhi na heshima kumbe ni kahaba aliyekwenda likizo. KhaaaaUko sahihi kwa 100% kuhusu huyu Mwanamke ambaye Mama yake Mzazi ni Muuza Mayai Soko la Kawe kuwa hafai.
Kabla hajaanza Kuishi na huyo Bwana Cherehani alikuwa ni Kahaba sana katika Viunga vya Kawe ambapo hata Mimi Marafiki zangu Watatu bila Kujuana Wote Wamesbambandua na wanasema anayajua Mambo kweli kweli ikiwemo Kutafuna Ndizi vyema na anapenda zaidi kutumia Mtandao wa Simu pendwa wa Tigo.
Ninachomhurumia huyu Bwana wake Cherehani ni kwanba pamoja na Kujisifu Kuncharanga Jamaa Kikatili na Kumdhalilisha ila Mkewe huyo hadi hivi sasa huwa anaenda Kubanduliwa kwa Rafiki yangu mwingine aishiye Tegeta huku Mita chache tu na Wanakoishi kuna Mjeda ( Mwanangu ) nae Anambandua bila Huruma.
Cognizant, umekosea sana kuileta habari hii humu; unapoteza ushahidi, kwani mtuhumiwa anakwenda kuvitupa viungo hivyo. Ungeripoti suala hili police bila ya huyo Cherehani kujuwa, na police wangekwenda kumkamata akiwa na kidhibiti. Haya mambo mengine yote uliyoeleza hapa angesimulia yeye Cherehani akiwa huko police akiwa na kidhibiti chake.
Nani amethibitisha hayo kuwa walikuwa wapenzi ?
Kumbuka huyo ni ndugu yake!
Halafu huyo Mwanaume amefanya kuwabambitikizia tu wakubali lakini sio kweli.
Huenda wamekuri kosa sababu ya vitisho /shinikizo tu vya huyo fundi cherehani.
Yaani itamgharimu sana huyo fundi cherehani.
mpaka mwanamke anafikia hatua ya kuanza kunyanduliwa na mwanaume mwengine jua tayari ww ni dhaifu sehemu flani kwa hiyo let her go to be happy kwanini niweke jealous kwa mwanaume mwenzangu wakati mm nimeshindwa kumtimizia hamu zake 😏 utagombana na wangapi ☺Wanaume wenye mtazamo huu Wana Sifa hizi;
1. Hawana Pesa
2. Hawana Mamlaka
3. Hawana connection ya Watu wenye mamlaka.
Mtu mwenye Pesa, mamlaka au connection ya mamlaka kamwe hawezi kukubali kuingilia katika Himaya yake. Kwani hiyo ni dharau, kuonekana wewe sio lolote na huwezi Fanya lolote.
Ishu hapo sio Mwanamke au MKE, ishu hapo ni vile mwanaume anavyoona kadharauliwa,
Yaani MTU anakuja mpaka nyumbani kwako anamvua Mkeo, anatumia mashuka na kitanda chako, 😀😀
Bado useme hautafanya chochote?
Ukiona hautafanya loloteya jua huna lolote, na wewe sio mwanaume.
Ndio kauli Ile ya MTU wa MTU sumu inapopata MAANA
Wewe mwenyewe nakufahamu vizuri yule jamaa fundi viatu alikufanyaje ukiwa darasa la sita nadhani ushakumbuka haya endeleaPole mkuu kwa mtanga mwenzio
mpaka mwanamke anafikia hatua ya kuanza kunyanduliwa na mwanaume mwengine jua tayari ww ni dhaifu sehemu flani kwa hiyo let her go to be happy kwanini niweke jealous kwa mwanaume mwenzangu wakati mm nimeshindwa kumtimizia hamu zake 😏 utagombana na wangapi ☺
Oyaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41]Walimshtukia kuwa ni mdau ndio maana wakamdunda. Alitaka wampe raha mara 2. Ya kumlala mke wa msela na kuliwa kiboga.
Huyo alikuwa aondoke na nusu ya uume wake,na alivyokuwa punguwani na kwa kujiamini alikolipia kodi mwenye mke humo humo anataka kwenda kumkazia!!!Sina msaada juu ya mtu anaekula mke wa mtu. Unajiaminije kwenda kumla mke wa mtu .. ukikamatwa eti usipigwe ? We mwandishi pia una Mambo ya ajabu kwahiyo unamtetea mgoni?
Tena cherehani ana huruma Sana.
Itakuwa anatafakari akiulizwa kwa nini amekujeruhi hivi? Ulimfanya nini?? Atajibuje hapoo?Huyo majeruhi kwanini hajaenda kushtaki
Atakuwa anajisikia vibaya kila akibadilisha ID wadau wanamgundua tu. Huyu mheshimiwa ana aina fulani ya uandishi haiwezi kujificha.Gentamycine kwa kulalamika hajambo
Kwani alimbaka si walikubalianaakakuibia penzi lako) hiyo ni zaidi ya dharau.