DOKEZO IGP Wambura amrisha upesi Askari wako wa Kawe Police wamkamate upesi huyu Mfanyabiashara Cherehani wa Soko la Kawe

DOKEZO IGP Wambura amrisha upesi Askari wako wa Kawe Police wamkamate upesi huyu Mfanyabiashara Cherehani wa Soko la Kawe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huyo Cherehani atakuwa ametunza sikio na vidole alivyovikata. Polisi wakimvamia watavikuta ( pamoja na video)na haitakuwa vigumu kuvihusisha na aliyepoteza viungo hivyo. Utetezi kuwa alivikata kutokana na hasira hauna mantik maana ni dhahiri alipanga kujeruhi. Mpumbavu zaidi ni huyo ndugu yake aliyekubali kushirikiana nae katika uovu huu.
Cherehani hachomoki kama atafunguliwa mashtaka. Na badala ya kuwa fundisho kwa wanaotembea na wake za watu litakuwa fundisho kwa wale wanaopenda kujichukulia sheria mkononi.

Amandla...
 
Wewe kama raia mwema ulitakiwa utoe ushirikiano kuliko kutamani akamatwe wewe pia ni mfanyabiashara wa mihogo kwa hiyo kukamatwa kwake ndio ahueni kwako maana anaonekana ndiye kikwazo kwako sokoni hapo Kawe.
 
Cognizant, umekosea sana kuileta habari hii humu; unapoteza ushahidi, kwani mtuhumiwa anakwenda kuvitupa viungo hivyo. Ungeripoti suala hili police bila ya huyo Cherehani kujuwa, na police wangekwenda kumkamata akiwa na kidhibiti. Haya mambo mengine yote uliyoeleza hapa angesimulia yeye Cherehani akiwa huko police akiwa na kidhibiti chake.
 
Uko sahihi kwa 100% kuhusu huyu Mwanamke ambaye Mama yake Mzazi ni Muuza Mayai Soko la Kawe kuwa hafai.

Kabla hajaanza Kuishi na huyo Bwana Cherehani alikuwa ni Kahaba sana katika Viunga vya Kawe ambapo hata Mimi Marafiki zangu Watatu bila Kujuana Wote Wamesbambandua na wanasema anayajua Mambo kweli kweli ikiwemo Kutafuna Ndizi vyema na anapenda zaidi kutumia Mtandao wa Simu pendwa wa Tigo.

Ninachomhurumia huyu Bwana wake Cherehani ni kwanba pamoja na Kujisifu Kuncharanga Jamaa Kikatili na Kumdhalilisha ila Mkewe huyo hadi hivi sasa huwa anaenda Kubanduliwa kwa Rafiki yangu mwingine aishiye Tegeta huku Mita chache tu na Wanakoishi kuna Mjeda ( Mwanangu ) nae Anambandua bila Huruma.
Sasa hii kesi yako mkuu inazidi kuwa complicated. Me nikajua huyo mwanamke ni mtu wa hadhi na heshima kumbe ni kahaba aliyekwenda likizo. Khaaaa
 
Cognizant, umekosea sana kuileta habari hii humu; unapoteza ushahidi, kwani mtuhumiwa anakwenda kuvitupa viungo hivyo. Ungeripoti suala hili police bila ya huyo Cherehani kujuwa, na police wangekwenda kumkamata akiwa na kidhibiti. Haya mambo mengine yote uliyoeleza hapa angesimulia yeye Cherehani akiwa huko police akiwa na kidhibiti chake.



Aaah wapi !

Ukweli una asili ya kujidhihirisha.
 
nishawai kusikia stori za huyu mtu na inaonekana siku zake zinahesabika hata na mtoto wa chekechea maana amemchokwa pomoni,natabiri malipo yake ya ubaya hayapo mbali kiviile.
 
Huyo mwanamke na binamu yake inaelekea wameanzana miaka mingi tu, wanajuana fika, kuolewa alitafuta sehemu ya kujisitiri tu na ugumu wa maisha.
 
Nani amethibitisha hayo kuwa walikuwa wapenzi ?

Kumbuka huyo ni ndugu yake!

Halafu huyo Mwanaume amefanya kuwabambitikizia tu wakubali lakini sio kweli.

Huenda wamekuri kosa sababu ya vitisho /shinikizo tu vya huyo fundi cherehani.

Yaani itamgharimu sana huyo fundi cherehani.
IMG_20221216_143425.jpg

Soma nilipozungushia duara,wewe leo binamu yako akupigie njoo nyumbani tufanye mapenzi usionyeshe hata kushangaa unaenda kumbe tusemeje tofauti ya mlikuwa na mahusiano ya muda mrefu?

Na kwa kuingia huko kichwa kichwa huo ulikuwa mchezo wao wa muda mrefu Cherehani akifata mihogo shamba jamaa anaenda kumkaza huyo mwanamke that's why aliposikia hiyo offer hakujiuliza mara mbili mbili akawahi akakae uchi na mke wa mtu akaishia kupunguzwa viungo.
 
Wanaume wenye mtazamo huu Wana Sifa hizi;

1. Hawana Pesa
2. Hawana Mamlaka
3. Hawana connection ya Watu wenye mamlaka.

Mtu mwenye Pesa, mamlaka au connection ya mamlaka kamwe hawezi kukubali kuingilia katika Himaya yake. Kwani hiyo ni dharau, kuonekana wewe sio lolote na huwezi Fanya lolote.

Ishu hapo sio Mwanamke au MKE, ishu hapo ni vile mwanaume anavyoona kadharauliwa,
Yaani MTU anakuja mpaka nyumbani kwako anamvua Mkeo, anatumia mashuka na kitanda chako, 😀😀
Bado useme hautafanya chochote?

Ukiona hautafanya loloteya jua huna lolote, na wewe sio mwanaume.

Ndio kauli Ile ya MTU wa MTU sumu inapopata MAANA
mpaka mwanamke anafikia hatua ya kuanza kunyanduliwa na mwanaume mwengine jua tayari ww ni dhaifu sehemu flani kwa hiyo let her go to be happy kwanini niweke jealous kwa mwanaume mwenzangu wakati mm nimeshindwa kumtimizia hamu zake 😏 utagombana na wangapi ☺
 
mpaka mwanamke anafikia hatua ya kuanza kunyanduliwa na mwanaume mwengine jua tayari ww ni dhaifu sehemu flani kwa hiyo let her go to be happy kwanini niweke jealous kwa mwanaume mwenzangu wakati mm nimeshindwa kumtimizia hamu zake 😏 utagombana na wangapi ☺

Sigombani na MTU.
Vijana wa siku kuna mambo alafu madogo yanawashinda kuyaelewa.

Ukiwa kama mwanaume, unahitaji heshima, ukiwa kama Baba au mume hicho ni cheo cha utawala na mamlaka kama Rais au mfalme ndani ya familia yako.

Jukumu moja la Baba au Mume au Rais au Mfalme ni kulinda utawala wake kivyovyote vile.
Kulinda Watu wa familia yako na Mali zako ni jukumu lako kama Baba.

Kitendo cha MTU kuingia katika ufalme wako tena ndani kabisa ya mipaka yako, nyumbani kwako akalala na Mkeo (akakuibia penzi lako) hiyo ni zaidi ya dharau.

Kumuadhibu mwizi wa penzi lako sio kwaajili ya Mkeo Bali ni kwaajili yako mwenyewe kama Mtawala.

Ndio maana ukaambiwa MKE wa MTU sumu.
Ukiona MTU unamlia MKE wake alafu akakukaushia basi elewa kuwa MTU huyo Hana Pesa, ni mdhaifu na mnyonge, Hana cheo wala mamlaka, na Pia Hana asili ya uanaume yaani hajiamini.

Nenda Kwa Watu wakubwa au wenye hadhi katongoze Wake zao utaelewa vizuri nini kitatokea
 
Serikali Hailali Mpaka.....
Taarifa Itafanyiziwa Kazi Chap Chap
 
Sina msaada juu ya mtu anaekula mke wa mtu. Unajiaminije kwenda kumla mke wa mtu .. ukikamatwa eti usipigwe ? We mwandishi pia una Mambo ya ajabu kwahiyo unamtetea mgoni?
Tena cherehani ana huruma Sana.
Huyo alikuwa aondoke na nusu ya uume wake,na alivyokuwa punguwani na kwa kujiamini alikolipia kodi mwenye mke humo humo anataka kwenda kumkazia!!!

Ukimkuta anajisifia mbele ya wendawazimu wenzake utamsikia ”yule mama kanielewa show zangu mumewe akisafiri ananiita naenda kujilia vyangu mpaka asubuhi”akibananishwa analia lia.
 
Bado ww mtoa mada, endelea kutembea na wake za watu yatakukuta kama mwenzako.
 
Back
Top Bottom