Wanaume wenye mtazamo huu Wana Sifa hizi;
1. Hawana Pesa
2. Hawana Mamlaka
3. Hawana connection ya Watu wenye mamlaka.
Mtu mwenye Pesa, mamlaka au connection ya mamlaka kamwe hawezi kukubali kuingilia katika Himaya yake. Kwani hiyo ni dharau, kuonekana wewe sio lolote na huwezi Fanya lolote.
Ishu hapo sio Mwanamke au MKE, ishu hapo ni vile mwanaume anavyoona kadharauliwa,
Yaani MTU anakuja mpaka nyumbani kwako anamvua Mkeo, anatumia mashuka na kitanda chako, 😀😀
Bado useme hautafanya chochote?
Ukiona hautafanya loloteya jua huna lolote, na wewe sio mwanaume.
Ndio kauli Ile ya MTU wa MTU sumu inapopata MAANA