IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

Kwa hiyo wanaouza bandari za tanganyika sio wahaini ila wanaopinga uuzwaji ndo wahaini. Ooooh my tanzania
 
Naunga mkono hoja.huezi leta machafuko kwa kutumia kete ya bandari
Yaani jeshi litumie nguvu haswaa kumaliza hao chawa wanaotaka kuaribu nchi
Najua wengi wanaosuport nia yao machafuko yakianza waanze vunja maduka na kuiba mali za watu
 
wataishian kulalamika na kuandamana mitandaoni tu hakuna lolote nani yuko tayari kwenda kuviunjwa miguu kwaajili ya kina mbowe na lissu?
Mimi nitawasha tv mapema sana niwaone waandamanaji wanajitoa ufahamu,hawawezi na hawatoweza waandamane wajionee πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Naunga mkono hoja.huezi leta machafuko kwa kutumia kete ya bandari
Yaani jeshi litumie nguvu haswaa kumaliza hao chawa wanaotaka kuaribu nchi
Najua wengi wanaosuport nia yao machafuko yakianza waanze vunja maduka na kuiba mali za watu
Hakuna kete ya kuhalalisha upuuzi wa aina yeyote
 
Wajinga ndio wanaamini mbowe anapigania maslahi yao
 
Mkuu njia inayotumiwa na chadema ni kuleta mpasuko hawana maana hao
Wenyewe hawana hoja nzito zaid ya matuc na kebehi sasa utawajibu vp kwa hoja
Mtu jukwaani anatoa kauli za kibaguzi afu ndio tukubali kumskiza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…